Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

my dada nisaidie tu maana nimekuwa poziless.....halafu nimekumisso

yaani nikiona jina lako tu nasisimka na hizi bandiko zako moyo wangu walipuka kwa kelele za shangwe nionee huruma mwenzio nateseka kwa ajili yako nipe nafasi naahid sitaichezea katu i love you my number one CC: Madame B
 
Last edited by a moderator:
Wazungu walishachimba dhahabu kitambo wakaondoka nazo wakatuachia mashio, ndo maana kila mgodi utaoenda hutapata chochote
 
Ndugu wadau wa JF,

mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia. Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.

Be careful for AIDS is for real
 
Sitaki kutembea na mwanafunzi aliye chini ya umri wa miaka 18, wala sitaki kulawiti vitoto vidogo. Ila ninaumia moyoni kwa kuchekwa na marafiki lol!

Huwezi kuchekwa kisa hujawahi kukutana na bikra, huyo anayekucheka ana mawazo tasa, watu wanaangalia maendeleo na si kuchekana kwa upuuzi.
 
kaka bora hawa used tu... hao virgin unaowataka ni wasumbufu kichizi... mpaka itoke atakua kesha kusababishia fustrations sana....

Amini nakwambia mwanamke mtamu ni used... hautofurahia lolote ktk kumbikiri mwanamke.. zaidi zaidi unaweza hata usipige bao... mwenzio nishabikiri3 nikiwa chuo... so achana na hizo virgin kabisa.... endelea na haya haya mangara ngara tu...
 
sinza zipo kibao......... nenda kanunueee tena full sealed utachana mwenyewe kwenye karatasi
 
Ndugu wadau wa JF,

mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira.
Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia. Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira.
Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.

Ishi maisha yako, usiwe kama TV kuendeshwa na remote control. Pili acha ngono aisee. Imagine hao uliotembea nao ingekuwa ni dada zako, wadogo zako, wamefanyiwa hivyo.
 
kwani we bkra? kama ni NO(which z obvious) we bkra unamtaka ili iweje! Try 2b fair jombaa...
 
Ndugu wadau wa JF, mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya kukutana kimwili na mwanamke ambaye ni bikira. Sijisikii vibaya sana kwa hali hii, kwa sababu hata mwanamke ambaye siyo bikira ni mzuri pia, ili mradi awe anajitambua na kujiheshimu na kujibidiisha katika maendeleo ya kimaisha pia. Ila nilishamezeshwa sumu na marafiki kwamba wao wameshawahi kulala na wanawake ambao ni mabikira, na wamekuwa wakinicheka mimi ambaye niliwahi kuwaambia sijawahi kulala na mwanamke ambaye ni bikira. Wakati mwingine huwa ninaumia kiasi flani ninavyochekwa na marafiki zangu linapoongelewa swala la mapenzi hasa upande wa ngono, najikaza kiume lakini ninaumizwa kwa kuchekwa kwa jambo kama hilo.
Hv kuna mwanaume bikra?
 
yaani nikiona jina lako tu nasisimka na hizi bandiko zako moyo wangu walipuka kwa kelele za shangwe nionee huruma mwenzio nateseka kwa ajili yako nipe nafasi naahid sitaichezea katu i love you my number one CC: Madame B

Heaven on earth, anakudanganya huyo.
Ana mkewe kijijini...
Sitaki uingie cha kiume shoga.
Shem mwungwana...napeleka taarifa kwa wifi na kaka.
 
Last edited by a moderator:
Utapata siku moja usihofu mkuu endelea kutafuta...,lakini jiandae kujisikia vibaya pia pale marafikizako watakavyokutenga utakapopata HIV lol!.
 
Back
Top Bottom