Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

Status
Not open for further replies.
Hawaachani nyuma hao.

Kuwa hayawani utakavyokuwa ua utakavyoua baka utakavyobaka but as longer as unaabudu kama wao unanena kama wao watasimama na wewe hadi mwisho wako ufike,ogopa sana jamii hata kuua inatetea siyo jambo la kawaida kwa binadamu anayejitambua.
 

Kwanza tambua uislam hataki mantiki.

Uislamu una elimu yake inayojitegemea. Sio elimu dunia
 
Halafu nyinyi msiwe kama wapuuzi msioielewa hii Tanzania.

Masheikh walionyooka hawajihusishi na siasa za UPINZANI wala CCM

Hawa masheikh mnaowaona ni masheikh wa BAKWATA ambao ni CCM B

Hamna namna ya kutenganisha BAKWATA na CCM

BAKWATA ni kama CWT tu, taasisi zipo kwa ajili ya kuinufaisha serikali
 
Kabisa mkuu inafikirisha kiongozi wa dini anatetea uuaji. Hapana aisee hii dini kweli ni ya majini
 
Unaweza ukawa sahihi sasa nikuulize mbona wao hawatoi waraka kama.TEC wanavyo fanyaga au kukemee live kupitia kiongozi wenu mkuu..?
 
Kwanza tambua uislam hataki mantiki.

Uislamu una elimu yake inayojitegemea. Sio elimu dunia
Elimu yake inawafundisha nn maana dini ndio msingi wa haki; maadili utu na kuweka jamii katika namna nzuri bila kuumizana ..?
 
Mkuu nime address kwenye uzi wangu. Sio kwamba kwa wakristo wote wamenyooka hapana. Kuna viongozi wa makanisa ni chawa mfano mwamposa na kule KKKT nao wana uchawa kuanzia mkuu wao wa kanisa. Huyu gwaji boy mm simuelewi kwa kweli. Ndio maana simsemei na nawaonya Chadema wasimtumie kama.referrence
 
Kama unahitaji kuelewa basi ELEWA, BAKWATA = CCM

Pale hakuna uislamu

Ukimuona sheikh ni BAKWATA basi jua either ni Mganga wa viongozi/ Chawa/ mchumia tumbo
 
Hawa wanao fanya kazi ya kufafanua mema na mabaya(dini"Uksrito, Uislam nk"), hapo Duniani, ndivyo wanvyojiita,

Wana eleza mema na mabaya, hili ni baya usifanye, hili ni zuri Fanya.

Sasa wanababaika katika kuonesha hii ni dhuluma au dhuluma.

Hawajui haki au la. Wanaambatana na Wanyonyaji.

Wao wakikaa kimyaa, Watu wahatanyamaza wataendelea kupaza sauti.Na mbeleni wata wenye ufahamu watazisusia dini zao.

Alaa kumbe dini zenyewe ndio hizi zinababaika katika kutambua haki na dhuluma, potelea Mbali.
 
Kama unahitaji kuelewa basi ELEWA, BAKWATA = CCM

Pale hakuna uislamu

Ukimuona sheikh ni BAKWATA basi jua either ni Mganga wa viongozi/ Chawa/ mchumia tumbo
Sawa mkuu sawa sawa na kina mwamposa ni waganga wa wanasiasa. Katika ukirsto hakuna kupakwa mafuta eti ya upako ule n uchawi
 
Watu wao hao mkuu. Waganga wao hao.
 
lakini shekh mmoja sijui kala tende zenye masala ya bangi. Eti anatetea wauaji daah.
Hapo bangi umeisingiziaa mkuu ,bangi ukivuta Ile ya Arusha inayosokotwa Kwenye rizlaa na c makushaboo,,uwezii ropoka km shee alivyoropokaa aiseee..

BANGI IHESHIMIWEE MKUU
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…