Katika mambo ya kisiasa nchini, dini ya kiislamu wana tatizo gani?

Status
Not open for further replies.
Kwa sababu ni mtu mzima siwezi kuwalaumu wazazi wako kwa kutokana na tabia yako.
Hao ambao umewatukana ndio waliosababisha imepatikana hii unayoiita Tanganyika (Tanzania) na unayosema unaipigania, je hao wenye akili walikuwa wapi zaidi ya kuwa vibaraka wa Wakoloni!
Unaposema Masheikh unapaswa useme idadi yao halafu tutakupa idadi ya Maaskofu, Wachungaji na na Mapdri waliokuwa wakiunga mkono Serikali zilizowahi kuwa katili (hii ikasome).
Halafu kama ni kweli wewe ni mpenda haki eleza pia awamu iliyowahi kuwa katili kuwahi kutokea bila kujali maslahi ya imani yako.
 
Hakuna kitu kibaya kama kusahihisha uovu kwa uovu. Dini zitawavua sana utu.
 
Pia acheni unafiki, waislamu wakijitoa kupambana mnawaita magaidi.

Waislamu kibao wamewekwa gerezani kisa mambo ya siasa, wewe hujui?

Wale wa Zanzibar wamekaza jela miaka 8 kisa kupigania uhuru wao na mlikuwa mnawaita magaidi.

Maneno aliyoyasema lisu, angesema muislamu muda huu angekuwa anaitwa gaidi ila mkristo anaitwa mpambanaji/mwanamapinduzi.
 
Lini mliwaacha mkapa na magufuli?!!!! Hebu tuelezee kidogo msomi.
 
Hiyo sehemu inawastua kweli, wanatamani wadanganye kwamba alikuwa anatetea lkn clip hakuna. Kimsingi kikubwa kinachoendelea ni chuki tu ya kidini basi.....
 
Acha ushoga wewe, mbona wakina Mwamposa wametulia haja kukemea hawajakemea.

UCHAWA wa BAKWATA haufanyi uislamu kuwa na kasoro, hao ni CCM wenzao
Kuna jambo kubwa la kishari ya kidini linaendelea.........Kuna watu wameagizwa washushe Malaki ya nyuzi za kidini za kuponda Imani ya mama na jamii yake kwenye platforms zote. Huu ni mpango maalum fuatilia tu vzr hapa JF utagundua. Hali itaendelea hivyo Hadi atakapotoka. Tutarajie matusi makubwa zaidi kwa Waislamu. Ni viongozi wengi tu wa kikristo wanaunga mkono serikali lkn je, umewahi kuona Uzi wowote wa kuwatukana kiasi hiki?!! Ni viongozi wengi tu wa kiislamu hawapo kabisa na serikali lkn umewahi kuona Uzi wa kuwasifia?!!!!

Kuna jambo kubwa linaendelea........
 
Education
 
Hii siyo kweli, kwani hakuna mtu mwenye mpango wa kumtukana kiongozi wa Dini ambaye hana kauli tata, mbona shekhe mkuu mfuti hawamtukani? Kiongozi ukijiheshimu na kuheshimu haki za binadamu kupenda haki kukataa utekaji mauaji vitendo haramu vya kishetani, hskuna mtanzania atakutukana acha kupotosha acha propaganda za kizamani tambua kuwa watanzania wa sasa wameamka wanajua wabaya na wema
 
Wewe ndiyo ulimtuma shekhe ubwabwa kwenda kuongea ujinga? Kama hutaki lawama acha kuwa chawaccm na kujitoa fahamu kuongea ujinga kusapoti ukatili kuingilia uhuru wa mahakama ingawa sasa ni mahakamaccm
 
Waliowatetea mashehe wazanzibar ni wakiristo kwani waliwekwa ndani na mwisilam mwenzoa kikwete na maneno yao yalikuwa na vitisho vikali tofauti na kauli ya Lisu ambayo haina ubaya
 
Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Bila kujali rangi yake, dini yake, kabila lake au sifa nyingine yoyote; anayepinga HAKI ya waTanzania kujichagulia viongozi wanaowataka huyo ni adui wa taifa hili.

Hawa waislam wanaoweka mbele uislam wa Samia na Genge lake; huku akivuruga umoja wa nchi hii ni maadui zetu wote. Wasiweke mbele dini kuwa kinga yao ya ubaguzi, na kuihamishia kwa wanaokata maovu.
 
Mwamposa, mzee wa upako, Tony Kapora, askofu Mwanamapimduzi nao ni mashekhe?
Hawa ni wasaka fursa, oote inaoatikana; haijalishi ni nani anayewaa hiyo fursa. Hata shetani akitokea watamaka marumaru aonekane mzuri.
Usifikiri hawajui kinachotokea; ila kwa kuwa Samia anaweza kuwafuga, kwa sasa wao tayari kuuza roho zao kwake.

Tuombe itokee huyo tegemeo lao aoteze uwezo wa kuwahudumia; utaona hali yao itakavyo geuka haraka sana.
 
Mashekh ubwabwa ndo unaozungumzia hapa Ila fahamu wapo waislamu wengi na wanaelewa mambo Sana Ila sio waongeaji.
 
Kujenga hoja na kuhutubia kadamnasi sio kitu kidogo shekh, kunahitaji angalau uwe umefika dara la saba, sasa kama hata darasa la saba hukumaliza unategemea nini
 
Aisee na smartphone NI haramu pia
Wewe Shekhe ndio umesema hivyo kwamba Smartphone haramu, Shekhe kakomaa humo kwenye simu kuna vitu vyenu mnaangalia sijui nini na upuuzi kibao eti ooh acha kutumia Smartphone, nikataka kumuuliza umeninunulia wewe hii au?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…