Kama hawawezi mbona mnaandamana humu kulialia ooh Mashekh hawafai. Nyie mnaoweza fanyeni basi waacheni Mashekh.Mageuzi yafanywe na wavaa kobazi we unaota uko unakunya wewe, hawahawa masheikh ubwa ubwa vichwa vya panzi
Hawa hawa wazee wa akilo nusu kijiko..? Wanamageuzi yapi kama sio njaa tupu. 🤣🤣🤣🤣Kumbe unaumia sana Mashekh kwenda tofauti na Wakristo!
Maana yake wajua kabisa Mashekh ndio wanamageuzi wa kweli wakiamua. Kama huamini fanyeni nyie wagalatia basi waacheni Mashekh.
Basi fanyeni nyie kwani lazima Mashekh!?Acha mikwara ya kipumbavu...watu hata kujiongoza wenyewe hamuwezi mtawezaje kuleta mabadiliko? Mikwara yote mkipewa ubwabwa tu mnanywea...mbona mna malalamiko ya mambo mengi tu miaka nenda rudi na hamfanyi lolote? Mnasubiri mtume arudi? Masheke kibao wamedakwa kwa ugaidi, mkiru mlifanyiwa mambo ya ajabu na hatukusikia kelele yeyote. Nyie ni watu gani?
Uhuru upi waliuleta..? Acha uongo wewe. Uhuru hautafutwi kwenye vijiwe vya kahawa na kashata. Unaandika pumba mmezoea kudanganyana kwa hadithi za kiwaki. Uhuru wa Tanganyika ulitafutwa kwa mazungumzo sasa kwa akili hizi za mashekh wangeweza kibagaini kweli na wazungu..? Ingekua mashekh wamepambania uhuru mpaka leo tungekua chini ya mkoloni kwa maana wangelishwa pilau ja nyama ya ngamia alafu wanaufyata.Usijizime data. Kumbuka hao mashekhe ndio waliotafuta Uhuru wa nchi hii.
Ndio waliomkaribisha na kumpokea Nyerere Dar-es-salaam.
Ndio waliowakaribisha Dar makafiri wote waliojazana Dar.
Na hata leo Mashekhe wakiamua kufanya mabadiliko mtakimbia nchi.
Waislamu hawaogopi kufa kwani hawana cha kupoteza sio nyie wagalatia mnajificha nyuma ya keyboard na No Reforms No Election. Sisi tukitaka letu seriously tunakuja hadharani, hatuoni tabu kujivisha mabomu.
Mbona unakuja hapa kulialia na Mashekh. Si mfanye wenyewe. Kwani Mashekh wamekuzuia nini wewe ikiwa hawana hata shule!Hawa hawa wazee wa akilo nusu kijiko..? Wanamageuzi yapi kama sio njaa tupu. 🤣🤣🤣🤣
NAKAZIAAcha mikwara ya kipumbavu...watu hata kujiongoza wenyewe hamuwezi mtawezaje kuleta mabadiliko? Mikwara yote mkipewa ubwabwa tu mnanywea...mbona mna malalamiko ya mambo mengi tu miaka nenda rudi na hamfanyi lolote? Mnasubiri mtume arudi? Masheke kibao wamedakwa kwa ugaidi, mkiru mlifanyiwa mambo ya ajabu na hatukusikia kelele yeyote. Nyie ni watu gani?
Hakuna kitu.Kwa hiyo unabisha mashekhe kupigania uhuru wa nchi hii!
Kuna kilio umekiona nimewaonea huruma maana mna ujinga mwingi sana pambaneni mkasomeshe watoto waje kuwa mashekh wenye uelewa pia. Itawasaidia hata katika kusimamia shughuli zenu.Mbona unakuja hapa kulialia na Mashekh. Si mfanye wenyewe. Kwani Mashekh wamekuzuia nini wewe ikiwa hawana hata shule!
Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hiliUhuru upi waliuleta..? Acha uongo wewe. Uhuru hautafutwi kwenye vijiwe vya kahawa na kashata. Unaandika pumba mmezoea kudanganyana kwa hadithi za kiwaki. Uhuru wa Tanganyika ulitafutwa kwa mazungumzo sasa kwa akili hizi za mashekh wangeweza kibagaini kweli na wazungu..? Ingekua mashekh wamepambania uhuru mpaka leo tungekua chini ya mkoloni kwa maana wangelishwa pilau ja nyama ya ngamia alafu wanaufyata.
Kwa chuki ulizojazwa dhidi ya Uislamu huwezi kumhurumia Mwislamu weweKuna kilio umekiona nimewaonea huruma maana mna ujinga mwingi sana pambaneni mkasomeshe watoto waje kuwa mashekh wenye uelewa pia. Itawasaidia hata katika kusimamia shughuli zenu.
Ww. Ni mpumbav na elim yako haijakusaidia kitu.Wakuu nileo tena.
Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.
Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?
Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo kimantiki zaidi.
Meshekh wengi ni chenga sana yaani ni low IQ katika maswala nyeti.
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu cha utekaji na uuaji hadi ubakaji nk lakini shekh mmoja sijui kala tende zenye masala ya bangi. Eti anatetea wauaji daah.
Ajabu siku reforms zikifanyika utawasikia wanasema historia imewasahau. Hata zama za uhuru walikua snitch sana hawa watu.
Sikatai wapo wachache wanaojua wajibu na kipi waongee na kupi watulie. Ila katika 100% wanaojitambua kwa wenzetu muslim ni 20% walio bakia acha waitwe tu majina ya hovyo.
Ndugu zanguni waislam somesheni saaana watoto na wekeni vigezo mtu ili awe shekh lazima apige kitabu pia. Kuondoa huu ujinga mnaotuonesha kwenye jamii zetu.
Walaaaniwe wale wote wanao tetea wauaji watekaji wafiraji.
Watanzania ndugu zangu tuipende Tanzania (Tanganyika) kuliko chama chochote, Dini yeyote yenye kutuona mafwala au inayotumika kutukandamiza.[mwamposa tapeli], Kabila, uchawa na wasanii wetu woote wa injili, taarabu, Hip Hop, Bongo fleva, kaswiida nk
Hawa watu wanao tumika kutuletea ugumu katika mambo ya mabadoliko tuwakatae
NO REFORMS NO ELECTION
Waislam ndio walimsokesha na kumpa maarifa au sio 🤣🤣🤣🤣Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hili
Nyerere alikuja Dar, na hao Waislam ndio walikuwepo.Huna uwezo wa kufuta Historia. Nyerere mwenyewe anakiri waislamu ndio waliompokea na kufanya nae kazi mpk misikitini. Nyerere hakwenda Kanisani kwa hili
Wakamteua mmoja katika Kambi ya ponjoro akaongee ujinga ule. Na wote wakakubaliana. Kikwete anajipotezea heshima kidogo aliyo baki nayo so far.Unafiki unawasumbua
View attachment 3396705
Nakazia.Nyerere alikuja Dar, na hao Waislam ndio walikuwepo.
Ila hawakupigania Uhuru kama dini.
Miaka hiyo kila mtu alishiriki kwa imani yake ikiwemo MACHIEF na uchawi wao
Nipo naishi na waislam vyema saana. Wala hata sina baya na waislam sema tu kuna baadhi yao wanauzi. Kuna waislam wamenyooka mpka unajua huyu mtu sasa wa dini ila kuna wengine wanaweka njaa mbele. Hata kwa wakristo wapo wenye njaa ambao wanaweka tumbo mbele. Na huwa sina chuki na dini yeyote bali nachukia watu wanao tumia dini vibayaKwa chuki ulizojazwa dhidi ya Uislamu huwezi kumhurumia Mwislamu wewe
usidhani mtu anapouawa basi waislamu hutoa waraka au msimamo,waislamu kupitia shehe wao wakati wa kuzika hutoa hotuba na mara nyingi huwa haizidi dk 5 na walifanya hivyo kwa huyo shehe aliyeuawa,huwa hawapayuki bila kuzingitia misingi ya haki,kuongea bila ushahidi na kuchanganya dini na siasaMsimamo wao kwa pamoja umeusikia wapo au wametoa waraka wa kukemea wapi. Kuna shekh alikufa zanzibar umesikia wakikemea japo ni mwenzao aliuliwa mzee kibao ambae ni muislam watu waliopaza sauti sana katika imani n wakristo wakiongozwa na Roman.
Mkuu katika haya yanayotokea, yaliyokwisha kutokea nchini sio ya kukemea chooni kwa dini kubwa na yenye wafuasi wengi kama Islam kwa Tanzania. Hii ilipaswa iwe nchi nzima kwenye sala zao iwekwe na ikiwezekana watoe na waraka ila ni hapo wameyumba wakae wajitafakari.usidhani mtu anapouawa basi waislamu hutoa waraka au msimamo,waislamu kupitia shehe wao wakati wa kuzika hutoa hotuba na mara nyingi huwa haizidi dk 5 na walifanya hivyo kwa huyo shehe aliyeuawa,huwa hawapayuki bila kuzingitia misingi ya haki,kuongea bila ushahidi na kuchanganya dini na siasa