Katika Marais wote waliopita Tanzania namkubali Kikwete zaidi

Nonsense
 
Jk
Jk alikuw best president
 
Polojo hizi
 
Hivi ni nani alitoa amri ya kumuua Sheikh Ponda kule Morogoro?

God is great, Ponda alijeruhiwa bega tu.
 
Hii nchi ina wapumbavuh wengi mpaka naona aibu hata kurudi Kuja Ishi Tanzania. Ngoja niendelee kubaki ishi huku ughaibuni. Wewe utakuwa ni Division 5 kilaza wa vyeti fake.
Subiri kupigwa pingu, Trump hawataki, Waingereza hawawataki, yaani hakuna mzungu anayekuhitaji huko na labda unarudi na singlendiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œ
 
Eti wewe naniii wewe NadeOj huyo jamaa si ndo alitaka kutuibia gas yetu na kuipeleka kwao Bagamoyo. katuachia legacy kubwa sana yeye na mwenzake Mizengo + Pinda
 
Nilikuwa nawaandikia mara kwa mara kuwaTanzania haitapata rais kama Kikwete kwa muda mrefu sana. Haijawahi kupata kabla yake na itatuchukuwa muda sana kupata mbadala wake.

Sifa kuu ya Kikwete ni, anajuwa kula na vipofu.
 
Namkubali

1. J. K. Nyerere 20/100
2. A. H. Mwinyi 20/100
3. B. W. Mkapa 30/100
4. J. M. Kikwete 20/100
5. J. P. J. Magufuli 70/100
6. S. S. Hassan 15/100
 
Hoja hafifu
ni mojawapo ya mazuri yeke ali ajiri kwa wakati (AJIRA ZA WATUMISHI WA UMMA) na kuongeza mishahara ya watumishi wa umma NA KUPANDISHA MADARAJA KILA BAADA YA MIAKA 3 MPAKA 2 KWA WAKATI.ni moja ya mazuri yake hata kama ni hafifu.

Mana kuna mwingine hakuajiri wala kuongeza mishahara ya watumishi kwa miaka 5.?
 
Gesi Tumepigwa alisemaga Mwamba ??!
😳!
 

NYERERE was a LEGEND....huwezi kumlinganisha na Rais yoyote Mwingine...labda aje huko baadae
Ogopa sana mtu aliyechukua Nchi wakati 90% ya nchi ni nyumba za nyasi. Hakuna Hospitali, hakuna umeme, hakuna barabara, hakuna kiwanda, hakuna wataalam wa aina yeyote, watu wavivu wanategemea serikali iwalishe......tumetoka mbali!

Yaani yeye ndiye alianza Nchi from the scratch.....Nyerere alikuwa super GENIUS!
Hawa wengine wanakuja wakati mambo yakiwa mazuri
Kila Rais kwa kipindi chake alifanya ya kwake mazuri;
Mfano: Mzee Ruhsa aliwezesha bidhaa muhimu zipatikane ndani ya Nchi; Mkapa akaweka utaratibu wa kukusanya kodi baada ya bidhaa kuwepo ndani ya Nchi...Mzee kikwete alivyoingia akawa na fursa ya kufanya mengi kwa sababu Kodi ilikusanywa kwa wingi nk nk nk
Kimsingi Kila mmoja alifanya nafasi yake ILA aliyefanya kazi kubwa na ya kipekee kabisa ni Mwalimu Nyerere
 
Alivoondoka huyu mzee hatujawahi kupata rais tena ebu ngoja tuone 2030 labda tutapata rais
 
Walikufa?
Unawaongezea mshahara wezi majambazi tena wenye vyeti feki?

Ww umesikia wapi watu wanaongezewa mshahara kama peremende.?

Kuna nchi yeyote ile unayoijua inawaongezea mishahara watu wake kiholelaholela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…