SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Tupo pamoja Mkuu, Kwa masikitiko mwenda zake alifanya jitihada kubwa sana kuharibu mazuri yake, kuzuia asitajwe kwa mazuri na akalazimisha asifiwe yeye kwa mtutu na damu..!!View attachment 3217066
sijui ni kwanini Legacy yake haizumgumziwi kabisa,
shule za kata ni moja ya kitu muhimu zaidi alichoifanyia Tanzania, na hakitasahaulika...
Mwana demokrasia na mwana diplomasia ambae hakuna aliyewahi kumfikia Tanzania hii...
Hata chuo kikuu cha UDOM na miradi mingine ameitekeleza yeye mwenyewe akiwa madarakani.
lakini hakuna anaeongelea na kupongeza jitihada
zake.
ni kwasababu ya hulka yake na demokrasia yake ya kuruhusu kila kitu kusemwa hadharani ? l
Legend JK