Katika Marais wote waliopita Tanzania namkubali Kikwete zaidi

Katika Marais wote waliopita Tanzania namkubali Kikwete zaidi

Ila kweli, awamu ya nne haikuwa na machawa, machawa wameanza awamu ya tano, ya sita ndio wakipa jina kabisa official
Umerokota talking points za wapumbavu na musingi wake ni kufunika upumbavu. ww unayarudia hayo kwa mujazba tu.😜
 

Attachments

  • images - 2025-01-29T205223.150.jpeg
    images - 2025-01-29T205223.150.jpeg
    37.1 KB · Views: 2
Unaposema “ Sisi” nyie wakina nani? Kama ni chawa wa Kikwete basi Sawa kwani mmefumba macho kwa mambo yaliyo kuwa wazi kwani kila
mwenye akili aliyaona!
Kwanini “ Home Shopping Centre” walibadili jina mara tu Magu alipoingia madarakani? Ufisadi mtupu uliokithiri! Nyie chawa mnaita ukweli huu mambo ya kijiweni!!
Kwahiyo kampuni ikibadilishwa jina ni Ufisadi?
Wee kweli ni Empty headed..
 
View attachment 3217066

sijui ni kwanini Legacy yake haizumgumziwi kabisa,

shule za kata ni moja ya kitu muhimu zaidi alichoifanyia Tanzania, na hakitasahaulika...

Mwana demokrasia na mwana diplomasia ambae hakuna aliyewahi kumfikia Tanzania hii...

Hata chuo kikuu cha UDOM na miradi mingine ameitekeleza yeye mwenyewe akiwa madarakani.

lakini hakuna anaeongelea na kupongeza jitihada
zake.

ni kwasababu ya hulka yake na demokrasia yake ya kuruhusu kila kitu kusemwa hadharani ? l


Legend JK
Hakuna rais alikuwa wa hovyo kama Kikwete. Ukiona unamkubali, jua nawe ni hovyo kama yeye mwanangu.
 
Hakuna rais alikuwa wa hovyo kama Kikwete. Ukiona unamkubali, jua nawe ni hovyo kama yeye mwanangu.
hahahh huo ni mtazamo wako tuu mkuu kwasababu pia yeye aliruhusu madhaifu yake kuongelewa,

hakuweka effort ya kuzuia watu kumuongelea wanavyotaka
 
Kwahiyo kampuni ikibadilishwa jina ni Ufisadi?
Wee kweli ni Empty headed..
Wewe ndio empty headed kwani hujui kuwa “ Home Shopping Centre “ na “ GSM” are two different entities hivyo huwezi kumshitaki GSM mahakamani kwa ufisadi ullofanywa na Home Shopping Center!!
Wewe bwege hujui mbinu za wizi za Hawa mafisadi, Tulia kaa kimya ule kande!
 
NYERERE was a LEGEND....huwezi kumlinganisha na Rais yoyote Mwingine...labda aje huko baadae
Ogopa sana mtu aliyechukua Nchi wakati 90% ya nchi ni nyumba za nyasi. Hakuna Hospitali, hakuna umeme, hakuna barabara, hakuna kiwanda, hakuna wataalam wa aina yeyote....

Yaani yeye ndiye alianza Nchi from the scratch.....Nyerere alikuwa super GENIUS!
Hawa wengine wanakuja wakati mambo yakiwa mazuri
Mfano: Mzee Ruhsa aliwezesha bidhaa muhimu zipatikane ndani ya Nchi; Mkapa akaweka utaratibu wa kukusanya kodi baada ya bidhaa kuwepo ndani ya Nchi...Mzee kikwete alivyoingia akawa na fursa ya kufanya mengi kwa sababu Kodi ilikusanywa kwa wingi nk nk nk
Kimsingi Kila mmoja alifanya nafasi yake ILA aliyefanya kazi kubwa na ya kipekee kabisa ni Mwalimu Nyerere
Uko sahihi kabisa mkuu.
Kwa mtizamo wangu Nyerere, Mwinyi na Mkapa ni marais walioweka misingi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Waliofuatia walikuta almost kila kitu kipo kwenye mstari hivyo ilikuwa suala la kufanya maamuzi sahihi ya mgawanyo na matumizi sahihi ya rasilimali za nchi ili nchi ipige hatua za kimaendeleo haraka. Kikwete, Magufuli na Samia.

Kwa upande wangu kila mtu atamsifia rais kulingana na jinsi sera zake zilivyokuwa zinamnufaisha au kumbana. Hivyo tuishi humo humo tu kwenye vipaumbele vyetu.
 
Back
Top Bottom