Katika Marais wote waliopita Tanzania namkubali Kikwete zaidi

Tupo pamoja Mkuu, Kwa masikitiko mwenda zake alifanya jitihada kubwa sana kuharibu mazuri yake, kuzuia asitajwe kwa mazuri na akalazimisha asifiwe yeye kwa mtutu na damu..!!
 
Huyo ni jambazi anayetabasami
 
Hizi story za vijiweni kutoka kwa watu wenye chuki, tumezizowea, laiti kungekuwa na ushahidi mzalendo feki mwenda zake asingekosa cha kufanya....

ILA SISI TUNAKUMBUKA WAKATI WAKE PROF. MUSSA ASSAD ALITUSANUWA YA KUWA, KULIKUWA NA UPOTEVU WA KIASI CHA 1.5T KTK ZAMA ZAKE, KILICHOMKUTA ASSAD NI KUKABIDHI OFISI KWA KISINGIZIO CHA KUPINGANA NA MUHIMILI WA BUNGE, HUKU YEYE MWENYEWE (JIWE) AKIWA KINARA WA KUINGILIA MIHIMILI MINGINE...
 
Bado RUDISHA kumbukumbu, shule za kata ni Lowasa alikuwa msimamizi na initiator, chini ya JK, ni hivyo tu, kama unaishi Tanzania!
Unless kama unaishi kwenye SAYARI Fulani hivi!!
 
Bado RUDISHA kumbukumbu, shule za kata ni Lowasa alikuwa msimamizi na initiator, chini ya JK, ni hivyo tu, kama unaishi Tanzania!
Unless kama unaishi kwenye SAYARI Fulani hivi!!
Tufanye initiator wa shule za kata ni Lowasa.

Kama unaweza kupata hansard za bunge za miaka ya 2000-2005, zifuatilie hasa hotuba za kufunga bunge zilizokuwa zikitolewa na waziri mkuu enzi hizo.

Sijaanza kufatilia mambo ya viongozi leo hii.

Uzuri nimekupa mpaka rejea, tafuta hizo hansard za bunge, kukiwa hakuna mijadala ya shule za sekondari za kata miaka hiyo, najitoa JF.

Kama ni wakuelewa umeelewa, tofauti na hapo basi unaleta mambo ya ushabiki wa utimu mlionao vijana wa enzi hizi ili mpate vyeo kwa kujipendekeza kwa mnaodhani watawarahisishia kuoata vyeo.
 
 
Unaposema “ Sisi” nyie wakina nani? Kama ni chawa wa Kikwete basi Sawa kwani mmefumba macho kwa mambo yaliyo kuwa wazi kwani kila
mwenye akili aliyaona!
Kwanini “ Home Shopping Centre” walibadili jina mara tu Magu alipoingia madarakani? Ufisadi mtupu uliokithiri! Nyie chawa mnaita ukweli huu mambo ya kijiweni!!
 
Ukitaka origin ya shule za kata Tanzania mwanzilishi kabisa ni Sr Wilbroad Slaa ambaye kwa kuhamasisha wananchi ili Jimbo la karatu liwe na shule kila kata!

Kutoka pale serikali ika copy na kupaste, na Lowasa akaanza ku populize wakambeza anajenga majengo walimu hakuna,...na vifaa vya maabara na maabara hakuna
 
Yaelekea wewe ulizaliwa familia ya mboga saba, hivyo hukuona hekaheka za wanakijiji kujificha wanaposikia siku ya kusakwa watu ambao hawajalipia michango ya ujenzi wa sekondari miaka ya 2000 hadi 2007.

Pia hukushuhudia namna mtu aliyekimbia mji wake na katika mji akakutwa kuku au mbuzi au ng'ombe na akachukuliwa kwa imani mwenye mfugo lazima atakwenda kufuatilka mfugo wake ofisini ndiyo maana unashabikia kichawachawa.

Sikusimuliwa, niliona kwa macho yangu.
 
Sioni Cha maana hapa ulichoandika, ni nonsense to me!!

I won't respond anymore!!
 
HAYO NI MAHABA YAKO BINAFSI KAA NAYO KWA KUTULIA..
 
Division 5. Singlendi ni nini? Mimi nipo sana USA. sina mpango wa kurudi huko mnakoongozwa na vilaza....nanyi mnashabikia hao vilaza mkiwa mmebemendwa kiakili. Nmeoa na nina mtoto wa mwanamke wa kizungu. Kifupi siyo illegal.
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on....

Povu linakutoka na khanga moja. Nataka utokwe povu lote leo.
 
Blah blah blah na porojo jingi tu.

Tutajie nchi inayoongeza mishahara kiholelaholea kama JK

kama huna jibu kaombe yesu wako akupe.
 
Mwamba alizingua alipotumia muda mrefu kuwapotosha wenzake kuwa mkutano mkuu wa ccm unaweza kufanya maamuzi yoyote hata kwenda kinyume na katiba
 
Blah blah blah na porojo jingi tu.

Tutajie nchi inayoongeza mishahara kiholelaholea kama JK

kama huna jibu kaombe yesu wako akupe.
Kupanda madara na nyongeza ya mshahara ipo kwa mujibu wa sheria ya kanuni ya utumishi wa umma(KISHERIA ) za nchi yetu ,NI STAHIKI HAKI ZA WATUMISHI SIO HISANI
Wizara ya Katiba na Sheria
PDF
Kanuni za Utumishi wa Umma 2014

2.Mfano wa raisi wa nchi nyingine anayeongeza mishahara/mfano wa nchi jirani hapo Kenya tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250129-203917.jpg
    302 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250129-203709.jpg
    238.9 KB · Views: 2
Narudia tena. Usiniwekee porojo.

Hayo yote nayajua, haya kwenye hilo PDF lako linasema ni Lazima Rais aongeze Mshahara? 👈Usijibu hili


Tutajie batanzani, nchi gani inayoongeza mishahara kiholelaholea kama alivyofanya JK?
 
Narudia tena. Usiniwekee porojo.

Hayo yote nayajua, haya kwenye hilo PDF lako linasema ni Lazima Rais aongeze Mshahara? 👈Usijibu hili


Tutajie batanzani, nchi gani inayoongeza mishahara kiholelaholea kama alivyofanya JK?
zipo nyingi sana acha tuanze na nji jirani hapo KENYA TU.
 

Attachments

  • Screenshot_20250129-203917.jpg
    302 KB · Views: 1
zi
Narudia tena. Usiniwekee porojo.

Hayo yote nayajua, haya kwenye hilo PDF lako linasema ni Lazima Rais aongeze Mshahara? 👈Usijibu hili


Tutajie batanzani, nchi gani inayoongeza mishahara kiholelaholea kama alivyofanya JK?
zipo nyingi sana acha tuanzie east africa hapo jirani kenya tu
 

Attachments

  • Screenshot_20250129-203709.jpg
    238.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250129-203917.jpg
    302 KB · Views: 0
  • Screenshot_20250129-203709.jpg
    238.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…