Katika Marais wote waliopita Tanzania namkubali Kikwete zaidi

Ila kweli, awamu ya nne haikuwa na machawa, machawa wameanza awamu ya tano, ya sita ndio wakipa jina kabisa official
Umerokota talking points za wapumbavu na musingi wake ni kufunika upumbavu. ww unayarudia hayo kwa mujazba tu.😜
 
Kwahiyo kampuni ikibadilishwa jina ni Ufisadi?
Wee kweli ni Empty headed..
 
Hakuna rais alikuwa wa hovyo kama Kikwete. Ukiona unamkubali, jua nawe ni hovyo kama yeye mwanangu.
 
Hakuna rais alikuwa wa hovyo kama Kikwete. Ukiona unamkubali, jua nawe ni hovyo kama yeye mwanangu.
hahahh huo ni mtazamo wako tuu mkuu kwasababu pia yeye aliruhusu madhaifu yake kuongelewa,

hakuweka effort ya kuzuia watu kumuongelea wanavyotaka
 
Kwahiyo kampuni ikibadilishwa jina ni Ufisadi?
Wee kweli ni Empty headed..
Wewe ndio empty headed kwani hujui kuwa “ Home Shopping Centre “ na “ GSM” are two different entities hivyo huwezi kumshitaki GSM mahakamani kwa ufisadi ullofanywa na Home Shopping Center!!
Wewe bwege hujui mbinu za wizi za Hawa mafisadi, Tulia kaa kimya ule kande!
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
Kwa mtizamo wangu Nyerere, Mwinyi na Mkapa ni marais walioweka misingi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Waliofuatia walikuta almost kila kitu kipo kwenye mstari hivyo ilikuwa suala la kufanya maamuzi sahihi ya mgawanyo na matumizi sahihi ya rasilimali za nchi ili nchi ipige hatua za kimaendeleo haraka. Kikwete, Magufuli na Samia.

Kwa upande wangu kila mtu atamsifia rais kulingana na jinsi sera zake zilivyokuwa zinamnufaisha au kumbana. Hivyo tuishi humo humo tu kwenye vipaumbele vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…