Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ali Kamwe anafanya utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto utani wa mpira huwaga hauchagui chochote as long ushaingia kwenye Simba na Yanga haijalishi upo kitengo gani au unafanya biashara na gani utataniwa tu.Ali Kamwe anafanya utoto
Hayo mtayajua nyie na club yenu, ngojea tuwaone wanasheria wenu.Wanasheria wetu na nani, ishu ni Ally Kamwe na Sandaland, ulivyojaa ushabiki unadhani mie namtetea Ahmed Ally,Simba haijawahi kumshitaki Kamwe.
Sandaland sio Simba,Utoto utani wa mpira huwaga hauchagui chochote as long ushaingia kwenye Simba na Yanga haijalishi upo kitengo gani au unafanya biashara na gani utataniwa tu.
Haya naona Yanga ktk 10 watatoa 3B na wao watabakiwa na Bil 7.
Kwani mwanasheria wenu ndiye huyu huyu anayeshindwa kesi kila siku? Vipi kesi ya Kagoma iliishia wapi?Hayo mtayajua nyie na club yenu, ngojea tuwaone wanasheria wenu.
Ila cha ajabu kama Yanga akimpeleka mahakamani Ahmed atasimamiwa na mawakili wenu. Huyo anaye uza jezi na timu yenu ni sawa na suruali moja halafu utoe hela mfuko wa kulia then uweke mfuko wa kushito then useme ,hiyo hela sio ya suruali hiyo.Sandaland sio Simba,
Sandaland ni biashara binafsi ya mtu ambayo Simba ni wateja wake tu.
Kushindwa kesi anamaana mwanasheria ni mbaya, vp nyie mwanasheria wenu kwa Lawi na Awesu ilikuwaje. Maana Awesu mlitupa Taulo baada ya kuchemka TFF na kuwaomba KMC mkae mezani au nao ni wabovu.Kwani mwanasheria wenu ndiye huyu huyu anayeshindwa kesi kila siku? Vipi kesi ya Kagoma iliishia wapi?
Simba waliona hakuna haja ya kukomaa na Lawi wakati Hamza keshaonesha kiwango kikubwa.But unarukaruka tu kishabiki, hoja ilikuwa Ally Kamwe amekosea au la, wewe ukadai hakuna kesi, viongozi wako wa utopolo wameona dogo kaharibu, badala ya kudili na Sanda, wanaishitaki Simba, hizo ndio akili za kitopoloKushindwa kesi anamaana mwanasheria ni mbaya, vp nyie mwanasheria wenu kwa Lawi na Awesu ilikuwaje. Maana Awesu mlitupa Taulo baada ya kuchemka TFF na kuwaomba KMC mkae mezani au nao ni wabovu.
Hamna haja mlichemka TFF na Coastal walishinda na wakakataa kuwauzua Lawi japo mliomba make nao mezani.Hivyo hivyo kwa Awesu mlishindwa TFF, ila KMC wakakubali kukaa meza moja nyie. Tatizo hamjui mpira na hamjui utani, maswala ya utani wa mpira huwezi kuyapeleka kwa pilato. Hivi ushawahi kuona au kushuhudia utani wa River Plate na Boca Junior, kabla ya mechi mashabiki wanapigana nje ya uwanja na kutukanana,mashabiki na viongozi wao ,vp ushawahi kuona wanapelekana kwa Pilato au Zamalek na Al Ahly.Simba waliona hakuna haja ya kukomaa na Lawi wakati Hamza keshaonesha kiwango kikubwa.But unarukaruka tu kishabiki, hoja ilikuwa Ally Kamwe amekosea au la, wewe ukadai hakuna kesi, viongozi wako wa utopolo wameona dogo kaharibu, badala ya kudili na Sanda, wanaishitaki Simba, hizo ndio akili za kitopolo
Huwez kumtenga sandaland na simba kama ambavyo umeshindwa kumtenga ally kamwe nayanga huo niutani wahizi timu mbili nakesi hakuna,Hapo issues sio kati ya aly kamwe na simba, hapo issue ni kati ya wafanya biashara sandaland na aly kamwe kama msemaji wa yanga.
OkHuwez kumtenga sandaland na simba kama ambavyo umeshindwa kumtenga ally kamwe nayanga huo niutani wahizi timu mbili nakesi hakuna,
Mwanasheria wa utopolo ndiye aliyemshauri Mkude amfungulie kesi Mo, ndiye analiyeshindwa na Morrison, ndiye aliyesababisha timu yenu kufungiwa kusajili. Wanasheria wa Simba wamefanya Awesu na Kagoma wanacheza Simba now, hata Lawi Simba wangemtaka angecheza SimbaHamna haja mlichemka TFF na Coastal walishinda na wakakataa kuwauzua Lawi japo mliomba make nao mezani.Hivyo hivyo kwa Awesu mlishindwa TFF, ila KMC wakakubali kukaa meza moja nyie. Tatizo hamjui mpira na hamjui utani, maswala ya utani wa mpira huwezi kuyapeleka kwa pilato. Hivi ushawahi kuona au kushuhudia utani wa River Plate na Boca Junior, kabla ya mechi mashabiki wanapigana nje ya uwanja na kutukanana,mashabiki na viongozi wao ,vp ushawahi kuona wanapelekana kwa Pilato au Zamalek na Al Ahly.
Ulikuwepo wakati anamshauri?Mwanasheria wa utopolo ndiye aliyemshauri Mkude amfungulie kesi Mo, ndiye analiyeshindwa na Morrison, ndiye aliyesababisha timu yenu kufungiwa kusajili. Wanasheria wa Simba wamefanya Awesu na Kagoma wanacheza Simba now, hata Lawi Simba wangemtaka angecheza Simba
Kwa KMC mlichemka TFF,then mkaomba kukaa mezani na KMC maana mlitaka kwenda kihuni.Mwanasheria wa utopolo ndiye aliyemshauri Mkude amfungulie kesi Mo, ndiye analiyeshindwa na Morrison, ndiye aliyesababisha timu yenu kufungiwa kusajili. Wanasheria wa Simba wamefanya Awesu na Kagoma wanacheza Simba now, hata Lawi Simba wangemtaka angecheza Simba
Awesu anacheza timu gani? kama unaweza kumuua kwa asali kwa nini utumie sumu? ukweli ni kwamba Yanga walishindwa kumfanya Kagoma achezee Yanga, Simba wameweza kuwafanya wote Kagoma na Awesu wachezee SimbaUlikuwepo wakati anamshauri?
Kwa KMC mlichemka TFF,then mkaomba kukaa mezani na KMC maana mlitaka kwenda kihuni.
Awesu anacheza timu gani? kama unaweza kumuua kwa asali kwa nini utumie sumu? ukweli ni kwamba Yanga walishindwa kumfanya Kagoma achezee Yanga, Simba wameweza kuwafanya wote Kagoma na Awesu wachezee Simba
Issue sio kucheza je mlivyo enda TFF na wansheria wenu mlishinda kesi zidi ya Awesu?Awesu anacheza timu gani? kama unaweza kumuua kwa asali kwa nini utumie sumu? ukweli ni kwamba Yanga walishindwa kumfanya Kagoma achezee Yanga, Simba wameweza kuwafanya wote Kagoma na Awesu wachezee Simba
Huu upumbavu utaukuta sana maeneo ya Pwani tena unatumiwa sana na watu wajinga wajinga kama Manara.Ila manara ni hamnazo sana....kuna kauli katoa hapo ya kichoko sanaa..."huyo ni muislam mwenzako..msamehe tu" huu ndo ujinga ambao watanzania tulio nao...kwa hyo angekuwa mkristu asingestahili kusamehewa?bulshiit