Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.
Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la huyo mtu ambae walikuwa wanafuatilia mawasiliano yake ya simu. Otherwise, hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.
Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika. Jambo limezua jambo.
Sometimes I wish huyu mtu angekuwa hai ingekuwa poa sana.
Kusikiliza clip inayomumbua mtu alietangulia mbele za haki, wakati mwingine inaleta huruma fulani kibinadamu tofauti na kama leo hii angekuwa bado yuko hai.
Hili liwe funzo kwa hawa walio madarakani hivi sasa.
Soma Pia:
Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka