Katika moja ya hotuba Hayati Magufuli alitamka hadharani kuwa walikuwa wana-track simu za mtu ambaye hakumtaja na alithibitisha walipata nakala

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.

Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la huyo mtu ambae walikuwa wanafuatilia mawasiliano yake ya simu. Otherwise, hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.

Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika. Jambo limezua jambo.

Sometimes I wish huyu mtu angekuwa hai ingekuwa poa sana.

Kusikiliza clip inayomumbua mtu alietangulia mbele za haki, wakati mwingine inaleta huruma fulani kibinadamu tofauti na kama leo hii angekuwa bado yuko hai.

Hili liwe funzo kwa hawa walio madarakani hivi sasa.

Soma Pia:
Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
 
Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakumtaji jina, otherwise hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.

Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika.

Jambo limezua jambo.

Hatari sana.
Ndio muda umefika sasa kwa watu kulipia madhambi yao.
 
Kama nitaambiwa nichague kati ya unyonge wa kudhulumiwa na maguvu ya kudhulumu basi nipo tayari kukubali unyonge wa kudhulumiwa..

Kudhulumu na kuonea hakuna heri yoyote na majuto huja baadae
 
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.

Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la huyo mtu ambae walikuwa wanafuatilia mawasiliano yake ya simu. Otherwise, hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.

Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika.

Jambo limezua jambo.

Sometimes I wish huyu mtu angekuwa hai ingekuwa poa sana.

Kusikiliza clip inayomumbua mtu alietangulia mbele za haki, wakati mwingine inaleta huruma fulani kibinadamu tofauti na kama leo hii angekuwa bado yuko hai.

Hili liwe funzo kwa hawa walio madarakani hivi sasa.
Hakuwa na print outs wala print ins.....

Na kama walikuwa nazo, basi ni za mawasiliano ya kawaida tu....
Zingekuwa ni prints ambazo zina substance za "threats kwa national security/interests" kama chawa wake kina comte wanavyodai, ni kwanini wasingemshitaki kwa kosa la uhaini ambalo adhabu yake ni kifungo cha maisha au kifo...?

Je, si kwamba wangeweza kumwondoa mtu ambaye ni kikwazo na threat kwao na CCM yao kwa njia halali za kisheria? Tunadhani ni kwanini waliamua kutumia njia hiyo kumuua kwa risasi zile...?

JIBU NI HILI: Tundu Lissu hakuwa, bado si na kamwe hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi na taifa lake lake la Tanganyika....!

Tundu Lissu siku zote na wakati wote ni threat kwa serikali na CCM na mtawala yeyote wa CCM. Alikuwa hivyo wakati wa Magufuli na ndivyo alivyo sasa wakati huu wa Chura Kiziwi aitwaye Samia Suluhu Hassan. Waliona wapitie kwenye kisingizio kisicho na justification facts za "ni threat kwa national security" ili mradi wamuue tu asiisumbue serikali na CCM....!

Na kuwa adui wa serikali iliyo madarakani kwa sababu ya mapungufu yake si kosa la jinai...
 
Let him rest in peace!. Na kwa wasiojua saa hizi yuko wapi, mkae mkujua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.

Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la huyo mtu ambae walikuwa wanafuatilia mawasiliano yake ya simu. Otherwise, hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.

Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika.

Jambo limezua jambo.

Sometimes I wish huyu mtu angekuwa hai ingekuwa poa sana.

Kusikiliza clip inayomumbua mtu alietangulia mbele za haki, wakati mwingine inaleta huruma fulani kibinadamu tofauti na kama leo hii angekuwa bado yuko hai.

Hili liwe funzo kwa hawa walio madarakani hivi sasa.
Upepo wa maandamano umekoma sasa mmehamia Tigo?
Halafu kuna watu wanawasema vibaya Watanzania eti hawajielewi kwa kutoshiriki maandamano ya kisiasa? Hao ndo hawajielewi maana mtu mwenye akili zake timamu hawezi fata chama kinachoongozwa na mihemko.
Kweli chizi huwa anaona wengine wote machizi isipokuwa yeye-Marehemu Kanumba
 
Kama alitenda uovu atashutumiwa tuu,Yesu alitenda mema kila ulimi unakiri ,asubuhi,mchana,Jioni.
Ila Yesu alikuwa ni Mungu pamoja nasi, the Bible imeweka yale ya ki Mungu tuu, yale ya kibinaadamu, haikuyaweka!, kuna wanawake 3 alikuwa anaandamana nao kila mahali, Veronica, Maria Salome na Maria Magdalena.
P
 
Ni sawa na ukisikiliza nyimbo za Justin Bieber kwa sasa unalia kama una watoto unalia nakuambia.... sikuzote anaimba kulialia tu kumbe anatuambia kitu kuhusu Diddy siye tumekazana,bado anampenda Selena🙄 ....tuwalinde watoto.....wenye pesa waacheni watoto jamani
 
Ila Yesu alikuwa ni Mungu pamoja nasi, the Bible imeweka yale ya ki Mungu tuu, yale ya kibinaadamu, haikuyaweka!, kuna wanawake 3 alikuwa anaandamana nao kila mahali, Veronica, Maria Salome na Maria Magdalena.
P
Bro Pascal uko vizuri sana,ila kuna mambo yanyotendeka kwa kweli yanahuzunisha na kutia Aibu sana kuyasikia!
 
Hakuwa na print outs wala print ins.....

Na kama walikuwa nazo, basi ni za mawasiliano ya kawaida tu....
Zingekuwa ni prints ambazo zina substance za "threats kwa national security/interests" kama chawa wake kina comte wanavyodai, ni kwanini wasingemshitaki kwa kosa la uhaini ambalo adhabu yake ni kifungo cha maisha au kifo...?

Je, si kwamba wangeweza kumwondoa mtu ambaye ni kikwazo na threat kwao na CCM yao kwa njia halali za kisheria? Tunadhani ni kwanini waliamua kutumia njia hiyo kumuua kwa risasi zile...?

JIBU NI HILI: Tundu Lissu hakuwa, bado si na kamwe hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi na taifa lake lake la Tanganyika....!

Tundu Lissu siku zote na wakati wote ni threat kwa serikali na CCM na mtawala yeyote wa CCM. Alikuwa hivyo wakati wa Magufuli na ndivyo alivyo sasa wakati huu wa Chura Kiziwi aitwaye Samia Suluhu Hassan. Waliona wapitie kwenye kisingizio kisicho na justification facts za "ni threat kwa national security" ili mradi wamuue tu asiisumbue serikali na CCM....!

Na kuwa adui wa serikali iliyo madarakani kwa sababu ya mapungufu yake si kosa la jinai...
Excellent.

Lissu alikuwa threat tangu utawala wa Benjamin Mkapa akiwa mwanaharakati. Amekuwa “mwanasiasa” by accident tu.

He remains a notorious activist and uncompromising threat to the powers that be - anywhere, anyhow, all the time. Wamuulize JK.
 
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.

Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la huyo mtu ambae walikuwa wanafuatilia mawasiliano yake ya simu. Otherwise, hii kesi ingekuwa inaisha mapema sana kama itafunguliwa.

Hata hivyo, huu ni ushahidi tosha wa kimazingira kuhusiana na kina nani walihusika. Jambo limezua jambo.

Sometimes I wish huyu mtu angekuwa hai ingekuwa poa sana.

Kusikiliza clip inayomumbua mtu alietangulia mbele za haki, wakati mwingine inaleta huruma fulani kibinadamu tofauti na kama leo hii angekuwa bado yuko hai.

Hili liwe funzo kwa hawa walio madarakani hivi sasa.

Soma Pia:
Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Niwekee link ya hiyo clip nami niitathimini mkuu.
 
Chadema wanacheza Ngoma ya makundi ndani ya CCM 😀
Almuradi ni makundi ya Watanzania, si rahisi kuchora mstari ulionyoka kutenganisha jamii.

Pia wapo makada kibao wa CCM na makamanda wao wanaoitegemea CHADEMA kuwanyooshea mambo ndani ya dola, when the chips are down.
 
Back
Top Bottom