Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Tatizo gani? Yaani kubuni uwongo na kuuleta humu ndiyo kuonyesha tatizo la jina Jesus? Inakuwa neno kutoka lugha ya asili lisiwe na tatizo na tatizo lichukuliwe kwenye translation. Pili, value ya herufi e au E imetolewa kutoka lugha gani ili kuleta jumla ya namba 666 iliyoandikwa kwenye Biblia?
 
Sijatumia namba 666 ambayo ipo katika Biblia, kwanza hata sijui ni andiko gani linasema hiyo namba

Tatizo ambalo lipo ni sawa na tatizo ambalo linahusu watu kutengeneza picha ya Yesu vichwani mwao kwa kumfananisha na yule muigizaji katika sinema ya Yesu.
 
ukianza na Jibu "666" mbona unaweza tengeneza hesabu yoyote ile na jibu likawa hilo
 
Kwa nini hukutumia asili ya neno la Kigiriki 'Ieosus' na badala yake umetumia lugha ya translation 'Jesus' ambacho ni Kilatini? Pia, hizo namba ulizotumia zinatokana na lugha gani?
 
Kwa nini hukutumia asili ya neno la Kigiriki 'Ieosus' na badala yake umetumia lugha ya translation 'Jesus' ambacho ni Kilatini? Pia, hizo namba ulizotumia zinatokana na lugha gani?
Katika numerology namba zote ni sawa na hazibagui Lugha, nimetumia jina la JESUS kwani ndilo ambalo lina tatizo na sio hayo majina mengine
 
Hili jina la JESuS lina upungufu nini mbona jina lile lile YESU haileti hesabu hizo
 
Nmekaa kutafakari eti unazidisha kwa tisa 9, hiyo 9 inapatikanaje na kwanini isiwe 8.
 
Nmekaa kutafakari eti unazidisha kwa tisa 9, hiyo 9 inapatikanaje na kwanini isiwe 8.
Katika numerology namba ambazo zinatumika kama ufunguo (The key to the Universe) ni 3,6 na 9.

Tumetumia 9 kwasababu ni namba kuu na inahusiana na ukuu au cheo cha juu,

Hata namba 666 ambayo inahusiana na mkuu fulani, ina usawa wa 9.
 
Unaakili sana mkuu, niliwaza the same
 
Una kitu utafika mbali hasa Jehanam ya moto

Hiyo ni Roho ya mpinga Kirsto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…