Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

Ataendelea huko alipo na hapa alipoondoka.
Note my comment!
This is Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Uliadimika sana Mkuu!! Binafsi nimekutag Mara kadhaa ila nikaona kimya nikajua tu moyo wako una SONONEKO KUU kutokana na Msiba wa Mr.Legacy... bila shaka u bukheri wa afya!
 
bila shaka nilisononeka sana .lakini maisha lazima yaendelee.
Naendelea kujilinda kwa nguvu za mola
 
Inshallah.. am glad to see you again bro!

Tuipende na kuijenga nchi yetu bila kujali itikadi zetu..!!
 
Back
Top Bottom