Uliadimika sana Mkuu!! Binafsi nimekutag Mara kadhaa ila nikaona kimya nikajua tu moyo wako una SONONEKO KUU kutokana na Msiba wa Mr.Legacy... bila shaka u bukheri wa afya!