Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

UNGESEMA mapema kwamba wewe sio muislamu wa suni ili nikuwekee maandiko ya dhehebu lako
hawa ni wa suni ndio wanasema unyonyeshwe na mwanamke
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Hao wanahubiri Dini yao kwa vitisho, Jazba na kuongopa Taqiyya na maandiko yapo.
Hapa wanashindwa tu kusema umewashinda.
Na wala hawarudi nyuma kutafakari mafundisho feki ya huyo mtume wa Majini hata uwaambie kitu gani.
Wameapa kuipigania dini yata kwa kuchinja mtu anayewashinda kwa hoja, kama walivyo apa kumchinja mwislamu mwenzao Salman Rushdie.
Hata wewe jinsi unavyowashinda hapa ungeingia kwenye anga zao lazima wangekutoa roho huku wakimwita mungu wao Allah na kusheherekea.
Kuna badhi ya miji sasa hivi, kwenye mkusanyiko wa watu wakisikia tu mtu anaita kwa sauti "Allah...akbar "
Wanakimbia spidi na kuacha shughuri zao na mali zao kuokoa maisha yao, wanalikmbia jina la mungu Allah linapotajwa.
Ila waislamu wengi hawajui hii siri iliyofichwa.
Kwamba Uislamu ni 100% dini ya Majini na Muhammadi ndiye Mtume wao, na Allah ndiye mungu wao mkuu.
Jinni mkuu Allah ndiye aliyemtokea pangoni na kumlazimisha kusoma ili amtume kwa watu awe mtume wake.

Ili Uislamu uonekane kuwa ni Dini ya Mungu, Allah aliwaghiribu kwa kuchota baadhi ya matukio ya kwenye Biblia.
Halafu akajisahau akanza kuiponda Biblia hiyohiyo anayoitegemea kuwaongopea waumini wake.
Kwa hila yake akachukua masimulizi ya kawaida ya Biblia na kuyaacha mafundisho ya muhimu.
Ndio mana huwezi kuziona Amri Kumi za Musa kwenye Qurani.
Huwezi kuiona Torati wala Zaburi wala Injiri.
Ila yeye anawaongepea kwamba zipo na wao wanaamini bila hata ya kudadisi kuwa "mbona hazipo"

Shuhudia tu hii ajabu ya Allah.

Yesu Kristo alizaliwa Israeli na kukulia huko na kufa huko.
Ndugu zake hadi hii leo wapo.

Ukienda Israeli leo hii ndugu zake Yesu utawakuta na watu wanaenda kila siku kushuhudia ukweli wa Yesu.
Ndugu zake wa damu hadi leo wanathibitisha kuwa.
Yesu alikuwa ndugu yao
Alizaliwa
Alihubiri injiri
Aliteswa
Alisuribiwa na kufa msalabani
Alizikwa na kaburi lake wanakuonesha
Alifufuka
Alipaa Mbinguni.
Stori hii unaipata hadi kwenye vitabu vya historia ya Wayahudi na masimulizi ya kawada ya Waisraeli ambao sio Wakristo.

Hapo inamaana hayo matukio yote ni ya kweli kuhusu kijana wao Yesu.

Allah anamtuma Muhammadi raia wa Saudi arabia, miaka miatano baadae na kukanusha hayo yote pamoja na kubadili jina halisi la Yesu na kumwita Issa.

Hivi wewe ukipata Assignment ya kutafiti maisha ya Yesu, utaenda kuufanya Maka au nyumbani kwake Israeli aliko zaliwa na kufa na kuzikwa ?

Allah kaja na stori zake za mchongo na anaaminika na mamilioni ya watu.

Hadi sasa natafakari nashindwa kuacha kumshangaa Allah.
Ni kiumbe kiongo sana na wengi hawajakishtukia.
 
Hiyo mtu mzima kunyonyeshwa ipo wapi kwenye hiyo hadith uliyoweka reference? Haunionyeshi hadi unakufa
kingereza naona kinakupiga chenga
Aisha mke mtoto wa muhammad anasema allah alishusha ya za kumnyonyesha mtu mzima mara 10 badae allah akasema mtu mzima anyonye mara tano , hizi aya alikuwa ametunja aisha baada ya muhammad kupewa sumu akafa aisha alikuwa bize na mwili wa mume wake , kumbuka muhammad aliwadanganya kwamba akifa hataoza alipo anza kutoa harufu kali ikabidi wapange kumzika , mbuzi akala aya nyingi sana za koran
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
 
Ukafiri mzigo. Kwenye maelezo wapi imesema watu wazima wawe wananyonya.
Hata mimi maziwa ya mwanamke nitanyonya kama ni tiba kwa kunikamulia kwenye chombo. We akili yako inawaza miti kama kwenye biblia.

Ezekiel 23:20​

New International Version​

20 There she lusted after her lovers, whose genitals were like those of donkeys and whose emission was like that of horses.
TUNAENDELE kwa nini allah anasema wanawake hawana akili na ushahidi wao mpaka wewe wawili ndio ufikie wa mwanaume
allah pia anasema wanawake wengi wataenda motoni

tupate nukuuu
Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
Once Muhammad (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Sahih al-Bukhari 304
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-

1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka

NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana.

Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko.

Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo

Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.

TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo.

Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha.

Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.

Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.

Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo.

Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana

Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano

Naomba kuwasilisha
Asante kwa ku appreciate mafundisho ya kiislam...umegusia suala la watoto kugombania mirathi..ni hivi hakuna sheria nzuri ya mirathi haoa duniani kama sheria ya mirathi kwa mujibu wa dini ya kiislam.Jaribu kufuatilia na hili ujifunze zaidi.
 
Je na wewe una appreciate allah kusema mwanamke apigwe
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
kingereza naona kinakupiga chenga
Aisha mke mtoto wa muhammad anasema allah alishusha ya za kumnyonyesha mtu mzima mara 10 badae allah akasema mtu mzima anyonye mara tano , hizi aya alikuwa ametunja aisha baada ya muhammad kupewa sumu akafa aisha alikuwa bize na mwili wa mume wake , kumbuka muhammad aliwadanganya kwamba akifa hataoza alipo anza kutoa harufu kali ikabidi wapange kumzika , mbuzi akala aya nyingi sana za koran
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Wewe ndiyo kinakupiga chenga. Onesha hapo adult suckling imeandikwa wapi kwenye hiyo sahih Muslim. Usilazimishe kama kwenye aya za biblia kuabudu Mungu watatu
 
Je na wewe una appreciate allah kusema mwanamke apigwe
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Mwanamke kupigwa ni kitu cha kawaida ila lugha ya kiarabu ni pana sana kuliko hiyo tafsiri uliyoiweka hapo...kilichokusudiwa hapo ni pigo jepesi which is something acceptable in our societies...ndio maana polisi huwezi kukuta mume kafungwa jela kwa kumchapa kofi mkewe...never haiwezi kutokea kesi ya hivyo.
 
TUNAENDELE kwa nini allah anasema wanawake hawana akili na ushahidi wao mpaka wewe wawili ndio ufikie wa mwanaume
allah pia anasema wanawake wengi wataenda motoni

tupate nukuuu
Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
Once Muhammad (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Sahih al-Bukhari 304
Rekebisha kwanza hapo Allah amesema. Usilete masuala ya uongo. Ujue kwanza Hadith ni nini na chain zake za narrations?
Kuwa motoni kuna shida gani kuwa wengi kuliko Sisi? Wao si wapo wengi kuliko Sisi? Na peponi watakuwa wengi vile vile. Wanaume na wanawake wapo sawa mbele ya Mwenyezi Mungu lakini hawafanani.
Nyie ndiyo wale mnataka 50 kwa 50 kila kitu. Mwisho utauliza Mungu anapendelea kwa nini wanawake hawapati hedhi?
Acha kuropoka kama wachungaji wa wanaopiga makelele.

Subiri nikuoneshe maana ya kumfanya mwanamke kuwa dhalili kwenye biblia

1 Corinthians 14
New International Version

34 Women[f] should remain silent in the churches. They are not allowed to speak,(AZ) but must be in submission,(BA) as the law(BB) says.
35 If they want to inquire about something, they should ask their own husbands at home; for it is disgraceful for a woman to speak in the church.[g]​

Mwanamke kupigwa ni kitu cha kawaida ila lugha ya kiarabu ni pana sana kuliko hiyo tafsiri uliyoiweka hapo...kilichokusudiwa hapo ni pigo jepesi which is something acceptable in our societies...ndio maana polisi huwezi kukuta mume kafungwa jela kwa kumchapa kofi mkewe...never haiwezi kutokea kesi ya hivyo.
Ndio maana muhammad akasema mwanaume asiulizwe chochote anampo mpa kipigo mwanamke
The Prophet (ﷺ) said, "No man shall be asked for the reason of beating his wife". Riyad as-Salihin 68
 
Wewe ndiyo kinakupiga chenga. Onesha hapo adult suckling imeandikwa wapi kwenye hiyo sahih Muslim. Usilazimishe kama kwenye aya za biblia kuabudu Mungu watatu
ivi ni kwamba huelewi au huoni
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
 
ivi ni kwamba huelewi au huoni
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Kamuulize mtu anayejua lugha vizuri akufundishe.
 
Kamuulize mtu anayejua lugha vizuri akufundishe.
Mimi ndio lugha yangu ya kwanza siitaji kuuliza mtu
turudi kunyonyesha mtu mzima
hapa tunamkuta sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
 
Yani nimecheka sana suckle, yani wewe unataka kusema allah aliwaambia mkamnyonye ngombe
Ndiyo maana nakuambia kwenye lugha ni mweupe kichwani. Tafsiri hizo unazozitaka labda kwenye King James Version.
 
Ndiyo maana nakuambia kwenye lugha ni mweupe kichwani. Tafsiri hizo unazozitaka labda kwenye King James Version.
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye

Back
Top Bottom