embu weka wazi muhammad anapo sema jambo anakuwa amelitoa wapi? maana mimi nimesema kwa allah wewe umepingaRekebisha kwanza hapo Allah amesema. Usilete masuala ya uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
embu weka wazi muhammad anapo sema jambo anakuwa amelitoa wapi? maana mimi nimesema kwa allah wewe umepingaRekebisha kwanza hapo Allah amesema. Usilete masuala ya uongo.
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Rudi Kwenye mada Kwa Nini mnawadharau wanawake kiwango hiki?MITHALI 5
19 Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri:
matiti yake na yakutosheleze siku zote,
nawe utekwe daima na upendo wake.
Unaelewa nini kuhusu hadith tuanzie hapo. Maana inaelekea unaquote vitu ambavyo hauvielewi.embu weka wazi muhammad anapo sema jambo anakuwa amelitoa wapi? maana mimi nimesema kwa allah wewe umepinga
Rudi Kwenye mada Kwa Nini mnawadharau wanawake kiwango hiki?MITHALI 5
19 Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri:
matiti yake na yakutosheleze siku zote,
nawe utekwe daima na upendo wake.
Hadith ni maagizo ya Allah kupitia Muhammad , maelezo ya kutosha kusaidia Koran ieleweke , kumbuka Koran ni mashahiri ambayo ukisoma bila maelezo ya ziada hutaelewaUnaelewa nini kuhusu hadith tuanzie hapo. Maana inaelekea unaquote vitu ambavyo hauvielewi.
Nyie wakristo mnavyokuwa mnakata viuno kanisani mnatoa wapi?
Nimeshakuambia tokea mwanzo kunyonya maziwa hapo sio kwa tafsiri yako ya kichwani kwako. Mwanamke anaweza kumkamulia mtoto hata kwenye chombo akanywa hayo maziwa.Rudi Kwenye mada Kwa Nini mnawadharau wanawake kiwango hiki?
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Niambie wewe biblia maneno ya nani? Kuna biblia yenye vitabu 84, nyingine 73 na vitabu 66. Kuna contradictions kibao ambaye hakuna mtu anayeweza kujibu hata atumie njia gani.Rudi Kwenye mada Kwa Nini mnawadharau wanawake kiwango hiki?
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Hadith ni maagizo ya Allah kupitia Muhammad , maelezo ya kutosha kusaidia Koran ieleweke , kumbuka Koran ni mashahiri ambayo ukisoma bila maelezo ya ziada hutaelewa
Mfano Koran inasema Jua linazama kwenye matope , ukirudi kwenye Hadith Muhammad anaelezea kwa undani Jua livyo zama kwenye matope chini ya miguu ya Allah na linaomba kwa Allah kila siku linapo taka kuchomoza
Ukafiri kweli mzigo. Mtafute kwenye mitandao Professor Bart D Ehrman , huyu ni professor wa biblia by professional utamuelewa.Rudi Kwenye mada Kwa Nini mnawadharau wanawake kiwango hiki?
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Hadith ni maagizo ya Allah kupitia Muhammad , maelezo ya kutosha kusaidia Koran ieleweke , kumbuka Koran ni mashahiri ambayo ukisoma bila maelezo ya ziada hutaelewa
Mfano Koran inasema Jua linazama kwenye matope , ukirudi kwenye Hadith Muhammad anaelezea kwa undani Jua livyo zama kwenye matope chini ya miguu ya Allah na linaomba kwa Allah kila siku linapo taka kuchomoza
Biblia ni kina Cha maarifaNiambie wewe biblia maneno ya nani? Kuna biblia yenye vitabu 84, nyingine 73 na vitabu 66. Kuna contradictions kibao ambaye hakuna mtu anayeweza kujibu hata atumie njia gani.
Biblia ni kina Cha maarifa
Kwa nini Binti wa watu analalamika Muhammad hata hamsikilizi na anamlazimisha mambo ya kunyonya
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonye
Sahih-Muslim 1453e
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ... :.
Maneno ya muhammad ni maneno ya Allah kama unabisha Kiri hapa wazi uone waislamu wenzanko watakochikufanyaUkafiri kweli mzigo. Mtafute kwenye mitandao Professor Bart D Ehrman , huyu ni professor wa biblia by professional utamuelewa.
Ukitaka hadith uelezewe uelewe sayansi yake ufundishwe pia
Kamwe siwezi kupinga maneno ya biblia, kamwe ataniwekewe upanga shingoni neno la Mungu wangu siwezi kulipinga,Haya ndiyo maarifa?
1 Wakorintho 1:25
Neno: Bibilia Takatifu
25 Kwa maana huu ‘upumbavu’ wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Hilo la mwanzo nimeshakujibu. Hata Yesu mwenyewe alikuwa analalamika kwenye biblia jinsi walivyomfanya hadi analia. Kulalamika sio hoja.
Mi nataka nijue huo upumbavu wa Mungu na udhaifu wake kwenye hiyo wakorintho. Maana hizi aya za biblia sijasikia unakanusha au kuleta ufafanuzi.
Kwenye maswali ya contradictions nitakuwa nakuonea tu. Upumbavu wa Mungu na udhaifu ni upi kwenye biblia?
Na je mume akipata matatizo mke aende wapi?? Dini ya kiislamu imewaweka wanawake chini sana
Unazungumzia biblia ya Allah au ya wakristo na wayahud?Niambie wewe biblia maneno ya nani? Kuna biblia yenye vitabu 84, nyingine 73 na vitabu 66. Kuna contradictions kibao ambaye hakuna mtu anayeweza kujibu hata atumie njia gani.
Allah anasema mwanaume asiulizwe anapo toa kipigo kwa mwanamke why?Ukafiri kweli mzigo. Mtafute kwenye mitandao Professor Bart D Ehrman , huyu ni professor wa biblia by professional utamuelewa.
Ukitaka hadith uelezewe uelewe sayansi yake ufundishwe pia
Mzee hukunilipia ada, acha kunipa ugonjwa wa kichwa, tembeza lugha adhimu ya taifa.What the hell is this?
Mungu wa biblia ambayo imewachafua mitume/manabii wake kwa uzinzi.Safi Sana unaona wazi Mungu wa biblia anatoa adhabu kwenye dhambi , ila Allah anapongeza na kumkanya Muhammad asiache kubaka house girl
Soma hicho kisa uone Mungu wa kweli anavyo toa adhabu kwa dhambiMungu wa biblia ambayo imewachafua mitume/manabii wake kwa uzinzi.
2 SAMWELI 11
Uzinzi wa Daudi na Bathsheba
2. Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari la jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho.
3 Naye Daudi akatuma mtu akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bathsheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?
4 Basi Daudi akatuma wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye..
Sikulaumu inaelekea mgeni kwenye mambo ya biblia. Kuna mwenzako alishawahi kushangaa ambaye sio mkatoliki kukuta vitabu 7 vya ziadaUnazungumzia biblia ya Allah au ya wakristo na wayahud?
Subiri nikuwekee hadith za kusoma. Hizo weak achana nazo. Utachagua mwenyewe kama unaipenda hiyo umtumie kwenye agenda zako Sawa. Mi naenda na hii;Allah anasema mwanaume asiulizwe anapo toa kipigo kwa mwanamke why?
The Prophet (ﷺ) said, "No man shall be asked for the reason of beating his wife". Riyad as-Salihin 68