marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Kama lipi, kuna mambo yakitokea, kisheria mwanamke ana haki ya kuomba talaka, mfano mume kapata ugonjwa mzigo hauwezi kutenda kazi tena, hapo unampa talaka nae akale raha za dunia.
MUTAH ni kuchukua mwanamke kwa siku kadhaa na umlipe kwa mapatano , inaweza kuwa siku tatu na mkitaka mnaweza ongeza , sio kwa shia tu ipo pia kwa sunn
Hao wanahubiri Dini yao kwa vitisho, Jazba na kuongopa Taqiyya na maandiko yapo.UNGESEMA mapema kwamba wewe sio muislamu wa suni ili nikuwekee maandiko ya dhehebu lako
hawa ni wa suni ndio wanasema unyonyeshwe na mwanamke
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
kingereza naona kinakupiga chengaHiyo mtu mzima kunyonyeshwa ipo wapi kwenye hiyo hadith uliyoweka reference? Haunionyeshi hadi unakufa
TUNAENDELE kwa nini allah anasema wanawake hawana akili na ushahidi wao mpaka wewe wawili ndio ufikie wa mwanaumeUkafiri mzigo. Kwenye maelezo wapi imesema watu wazima wawe wananyonya.
Hata mimi maziwa ya mwanamke nitanyonya kama ni tiba kwa kunikamulia kwenye chombo. We akili yako inawaza miti kama kwenye biblia.
Ezekiel 23:20
New International Version
20 There she lusted after her lovers, whose genitals were like those of donkeys and whose emission was like that of horses.
Asante kwa ku appreciate mafundisho ya kiislam...umegusia suala la watoto kugombania mirathi..ni hivi hakuna sheria nzuri ya mirathi haoa duniani kama sheria ya mirathi kwa mujibu wa dini ya kiislam.Jaribu kufuatilia na hili ujifunze zaidi.Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-
1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka
NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana.
Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko.
Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo
Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.
TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo.
Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha.
Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.
Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.
Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo.
Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana
Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano
Naomba kuwasilisha
Je na wewe una appreciate allah kusema mwanamke apigweAsante kwa ku appreciate mafundisho ya kiislam...umegusia suala la watoto kugombania mirathi..ni hivi hakuna sheria nzuri ya mirathi haoa duniani kama sheria ya mirathi kwa mujibu wa dini ya kiislam.Jaribu kufuatilia na hili ujifunze zaidi.
Wewe ndiyo kinakupiga chenga. Onesha hapo adult suckling imeandikwa wapi kwenye hiyo sahih Muslim. Usilazimishe kama kwenye aya za biblia kuabudu Mungu watatukingereza naona kinakupiga chenga
Aisha mke mtoto wa muhammad anasema allah alishusha ya za kumnyonyesha mtu mzima mara 10 badae allah akasema mtu mzima anyonye mara tano , hizi aya alikuwa ametunja aisha baada ya muhammad kupewa sumu akafa aisha alikuwa bize na mwili wa mume wake , kumbuka muhammad aliwadanganya kwamba akifa hataoza alipo anza kutoa harufu kali ikabidi wapange kumzika , mbuzi akala aya nyingi sana za koran
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Mwanamke kupigwa ni kitu cha kawaida ila lugha ya kiarabu ni pana sana kuliko hiyo tafsiri uliyoiweka hapo...kilichokusudiwa hapo ni pigo jepesi which is something acceptable in our societies...ndio maana polisi huwezi kukuta mume kafungwa jela kwa kumchapa kofi mkewe...never haiwezi kutokea kesi ya hivyo.Je na wewe una appreciate allah kusema mwanamke apigwe
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Rekebisha kwanza hapo Allah amesema. Usilete masuala ya uongo. Ujue kwanza Hadith ni nini na chain zake za narrations?TUNAENDELE kwa nini allah anasema wanawake hawana akili na ushahidi wao mpaka wewe wawili ndio ufikie wa mwanaume
allah pia anasema wanawake wengi wataenda motoni
tupate nukuuu
Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
Once Muhammad (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Sahih al-Bukhari 304
Ndio maana muhammad akasema mwanaume asiulizwe chochote anampo mpa kipigo mwanamkeMwanamke kupigwa ni kitu cha kawaida ila lugha ya kiarabu ni pana sana kuliko hiyo tafsiri uliyoiweka hapo...kilichokusudiwa hapo ni pigo jepesi which is something acceptable in our societies...ndio maana polisi huwezi kukuta mume kafungwa jela kwa kumchapa kofi mkewe...never haiwezi kutokea kesi ya hivyo.
ivi ni kwamba huelewi au huoniWewe ndiyo kinakupiga chenga. Onesha hapo adult suckling imeandikwa wapi kwenye hiyo sahih Muslim. Usilazimishe kama kwenye aya za biblia kuabudu Mungu watatu
Wapi imezungumziwa mtu mzima hapo ulipofanya bold?ivi ni kwamba huelewi au huoni
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
Kamuulize mtu anayejua lugha vizuri akufundishe.ivi ni kwamba huelewi au huoni
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings)
KWA hiyo wewe unaelewa ten clear sucklings, ni kwa mtotoWapi imezungumziwa mtu mzima hapo ulipofanya bold?
Hata wewe vile vile. Au mwenzetu huwa haunywi maziwa? We unajua maziwa yanapatikana kwa binadamu peke yake?KWA hiyo wewe unaelewa ten clear sucklings, ni kwa mtoto
Mimi ndio lugha yangu ya kwanza siitaji kuuliza mtuKamuulize mtu anayejua lugha vizuri akufundishe.
Yani nimecheka sana suckle, yani wewe unataka kusema allah aliwaambia mkamnyonye ngombeHata wewe vile vile. Au mwenzetu huwa haunywi maziwa? We unajua maziwa yanapatikana kwa binadamu peke yake?
Ndiyo maana nakuambia kwenye lugha ni mweupe kichwani. Tafsiri hizo unazozitaka labda kwenye King James Version.Yani nimecheka sana suckle, yani wewe unataka kusema allah aliwaambia mkamnyonye ngombe
sahla analalamika mtu ana mandevu kwa nini anyonye , muhammad anasema lazima anyonyeNdiyo maana nakuambia kwenye lugha ni mweupe kichwani. Tafsiri hizo unazozitaka labda kwenye King James Version.