Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-
1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka
Unaandika kitu usichokijua kwenye ukristo talaka ruksa kama mmoja wenu amezini na ikathibitika hivyo
 
Uislamu ni dini ya haki sio tu ndoa mambo mengi katika uislamu yametolewa ufumbuzi ila wachache katika watu ndio wataelewa.
Kwenye kuoa vitoto vya miaka 11 au 9 kama mwamedi imetoa ufafanuzi gani?
 
Madhehebu yote,yanaruhusu talaka kwa kosa la uzinzi,biblia ndio imeagiza hivyo
Nilimsikia padri mmoja amelitolea ufafanuzi kwamba ndoa katoriki haina talaka ila kama mmoja wao kufumaniwa wanakaa kwenye usuluhishi na kama kila mtu akila 50 zake huruhusiwi tena kuona hadi mmoja wapo afariki
Hata kama mume au mke atakuwa apigi shoo vizuri lazima umvumilie tu ndio kauli ile ya kwenye shida na raha tabu na magonjwa inapotumika
 
Nilitaka niseme neno la hovyo sana kwa waumini wa kiislam kuhusiana na ndoa na talaka, ila acha nibakize akiba ya maneno.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom