Hiki ni kitu kando na si jiwe la kwanza kuongea ndiyo maana nikakuuliza nani alikwambia ya kuwa sharti la kuongea ji lazima uwepo mdomo au ulimi ?Muhammad anasema jiwe siku ya mwisho litakuwa na macho mawili na ulimi na litaongea kwa kutoa ushahidi kwa wale walio ligusa
Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961
Jaribu kuweka kila kitu mahala pake sema mpaka aolewe siyo apate Mwanaume mwingine, sababu hapo haiongelewi zinaa, unaposema akapate Mwanaume mwingine unamaanisha mpaka wa zinaa. Sasa sema hivi mpaka akaolewe na aachike, huu ndiyo usahihi. Ndoa ni ibada.Mubarridi Kwa nini mnawafanyia wanawake kama sex toys , yani hakuna kurudiana mpaka akapigwe achine na mwanaume mwingine (Uchafu huu)
- Yani akipewa talaka akitaka kurudiana na mume wake lazima apate kwanza mwanaume mwingine wapeana utamu ndio arudi kwa mume wake wa kwanza bila hivyo hawezi kurudiana
- Nukuu
- "O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
- Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
Ngoja Muhammad akujibuJaribu kuweka kila kitu mahala pake sema mpaka aolewe siyo apate Mwanaume mwingine, sababu hapo haiongelewi zinaa, unaposema akapate Mwanaume mwingine unamaanisha mpaka wa zinaa. Sasa sema hivi mpaka akaolewe na aachike, huu ndiyo usahihi. Ndoa ni ibada.
Allah ndio katumia ayo maneno na sio mimi kama unakasirika nayo unampinga allahSiyo mpaka akatumike tumia lugha stahiki, usahihi ni mpaka akaolewe na mume mwingine na ikitokea ameachika ndiyo huenda akarudi kwa mumeww na si kinyume chake. Hakuna kutumika ndani ya ndoa sababu ndoa ni ibada.
Kutumika ni kwenye maovu. Sasa usiwe mjinga kiasi hiki.
MubarridiSiyo mpaka akatumike tumia lugha stahiki, usahihi ni mpaka akaolewe na mume mwingine na ikitokea ameachika ndiyo huenda akarudi kwa mumeww na si kinyume chake. Hakuna kutumika ndani ya ndoa sababu ndoa ni ibada.
Kutumika ni kwenye maovu. Sasa usiwe mjinga kiasi hiki.
Sasa inakuwaje unarudia kile kile ? Huo utamu nje ya ndoa au wapi ?Ngoja Muhammad akujibu
umeona neno sweetness , muhammad anasema mwanamke hawezi kurudi kwa mume wake wa mwanzo mpaka atoe utamu kwanza
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Sasa mbona hujatumia neno msingi la "kuolewa" unaleta uhuni wa kijinga jinga ?Allah ndio katumia ayo maneno na sio mimi kama unakasirika nayo unampinga allah
kasema lazima aolewe na apate hii sexual intercourse ndio anaweza kurudi kwa mume wa kwanza
Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
Haruhusiwi mpaka aolewe na kuachaka kwa kawaida bila mkono wa nje katoka hilo.Mubarridi
Mwanamke akipewa talaka na akaamua kukaa hivyo bila mwanaume badae wakataka kurudiana je inaruhusiwa?
Unajitahidi kutoa ufafanuzi lakni dini unayoitetea hujasoma. Naomba nikuweke sawa kidogo. Eda ya talaka huwa ni tohara tatu (Menstruation cycle 3) kwa anayepata period. Kwa ambaye hapati period ni miezi mitatu.Haruhusiwi mpaka aolewe na kuachaka kwa kawaida bila mkono wa nje katoka hilo.
Maana ya kukaa eda kwa Mwanamke kwa miezi minne na siku kumi, ni kujitazamia kama kuna makosa yalitokea na kusameheane ila mpaka zinatoka talaka tatu na eda imeisha, hapo ni mpaka aolewe na Mwanaume mwingine. Hapa kuna hekima kubwa inayo onyesha uzito na ubaya wa kuachana na watu wawe makini.
Unaona huo uchafu , yani allah aliona kuweka ugumu wa talaka ni kuwatesa wanawake watoe utamu kwa mwanaume mwingine ndio warudianeHaruhusiwi mpaka aolewe na kuachaka kwa kawaida bila mkono wa nje katoka hilo.
Maana ya kukaa eda kwa Mwanamke kwa miezi minne na siku kumi, ni kujitazamia kama kuna makosa yalitokea na kusameheane ila mpaka zinatoka talaka tatu na eda imeisha, hapo ni mpaka aolewe na Mwanaume mwingine. Hapa kuna hekima kubwa inayo onyesha uzito na ubaya wa kuachana na watu wawe makini.
Huu ni uchafu na udhalilishajiSasa inakuwaje unarudia kile kile ? Huo utamu nje ya ndoa au wapi ?
Shida ipo kwa anayekuelimisha na yy hajui. Iko hivii.. baada ya kuachika talaka tatu.. kwakuwa mtoaji talaka ni mwanaume, hiyo ni dalili kuwa amemchoka huyo mke. Kwahyo sheria inamtaka asipewe nafasi ya kumrudia tena huyo mke kwa sababu anamdhalilisha kwa kumuacha mara kwa mara. Mke anaruhusiwa kwenda kuolewa na mume mwengine maana huyu amemshindwa tayari. Huyu mume akioa na akiona ni mke anayefaa kuishi nae, anaendelea kula maisha ja mume wa mwanzo hana chake tena. Ikitokea kama jamaa atamuacha, basi yule mume wa mwanzo ndo anaweza kumuoa. Mbona ni simple and clear!Unaona huo uchafu , yani allah aliona kuweka ugumu wa talaka ni kuwatesa wanawake watoe utamu kwa mwanaume mwingine ndio warudiane
Ngoja Muhammad akujibuShida ipo kwa anayekuelimisha na yy hajui. Iko hivii.. baada ya kuachika talaka tatu.. kwakuwa mtoaji talaka ni mwanaume, hiyo ni dalili kuwa amemchoka huyo mke. Kwahyo sheria inamtaka asipewe nafasi ya kumrudia tena huyo mke kwa sababu anamdhalilisha kwa kumuacha mara kwa mara. Mke anaruhusiwa kwenda kuolewa na mume mwengine maana huyu amemshindwa tayari. Huyu mume akioa na akiona ni mke anayefaa kuishi nae, anaendelea kula maisha ja mume wa mwanzo hana chake tena. Ikitokea kama jamaa atamuacha, basi yule mume wa mwanzo ndo anaweza kumuoa. Mbona ni simple and clear!
Maana ya ndoa ni kula mzigo.. hiyo ni sheria. Kama alikubali kuolewa ni lazima mzigo upigweNgoja Muhammad akujibu
Kuna kisa jamaa anaitwa Rifa alimpa talaka mke wake badae huyu mwanamke akaolewa na adburrahman, huyu mwanamke akawa anapoke kipigo kutoka kwa abdul mpaka akawa wa kijani , akaenda kwa Muhammad kushtaki , muhammad hakujali kipigo alicho pewa ila akamwambia kama unataka kumuacha abdul urudi kwa rifa lazima abdul apige machine kwanza ndio urudi kwa mume wako wa mwanzo,
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 5825
Shukrani kwa masahihisho.Unajitahidi kutoa ufafanuzi lakni dini unayoitetea hujasoma. Naomba nikuweke sawa kidogo. Eda ya talaka huwa ni tohara tatu (Menstruation cycle 3) kwa anayepata period. Kwa ambaye hapati period ni miezi mitatu.
Issue sio kukubali , Muhammad anasema mwanamke akiachika hawezi kamwe kurudi kwa mume wa kwanza mpaka achukuliwe na mwanaume mwingine na mzigo uliwe , tena muhamad anasema lazima apate utamu wa mwanume mwingine kwanza ndio arudiMaana ya ndoa ni kula mzigo.. hiyo ni sheria. Kama alikubali kuolewa ni lazima mzigo upigwe
Sasa kijana unajua kama huna hoja ? Sasa hapo ubaya uko wapi ? Maana naona unarudia marejeo yale yale na ushapewa ufafanuzi, hapo inazingatiwa kutotoka nje ya sheria na si kinyume chake na kutia uzito na kulipa thamani jambo la ndoa.Issue sio kukubali , Muhammad anasema mwanamke akiachika hawezi kamwe kurudi kwa mume wa kwanza mpaka achukuliwe na mwanaume mwingine na mzigo uliwe , tena muhamad anasema lazima apate utamu wa mwanume mwingine kwanza ndio arudi
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Sawa umejaribu kueleza vizuri.Shida ipo kwa anayekuelimisha na yy hajui. Iko hivii.. baada ya kuachika talaka tatu.. kwakuwa mtoaji talaka ni mwanaume, hiyo ni dalili kuwa amemchoka huyo mke. Kwahyo sheria inamtaka asipewe nafasi ya kumrudia tena huyo mke kwa sababu anamdhalilisha kwa kumuacha mara kwa mara. Mke anaruhusiwa kwenda kuolewa na mume mwengine maana huyu amemshindwa tayari. Huyu mume akioa na akiona ni mke anayefaa kuishi nae, anaendelea kula maisha ja mume wa mwanzo hana chake tena. Ikitokea kama jamaa atamuacha, basi yule mume wa mwanzo ndo anaweza kumuoa. Mbona ni simple and clear!
Ni kumuadhibu mwanamke pasi na sababu , kuna mwanamke anaweza achika na asiwe na upendo na mwanaume mwingine na aamue kukaa bila mwanaume akisubiri warekebishe warudiane , ila allaha anakataza anasema lazima akatow utamu kwanza kwa mwanaume mwingine ndio warudiane, ili tumemaliza na ni uchafu wa hali ya juuSasa kijana unajua kama huna hoja ? Sasa hapo ubaya uko wapi ? Maana naona unarudia marejeo yale yale na ushapewa ufafanuzi, hapo inazingatiwa kutotoka nje ya sheria na si kinyume chake na kutia uzito na kulipa thamani jambo la ndoa.