Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Muhammad anasema jiwe siku ya mwisho litakuwa na macho mawili na ulimi na litaongea kwa kutoa ushahidi kwa wale walio ligusa
Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961
Hiki ni kitu kando na si jiwe la kwanza kuongea ndiyo maana nikakuuliza nani alikwambia ya kuwa sharti la kuongea ji lazima uwepo mdomo au ulimi ?
 
Mubarridi Kwa nini mnawafanyia wanawake kama sex toys , yani hakuna kurudiana mpaka akapigwe achine na mwanaume mwingine (Uchafu huu)
  • Yani akipewa talaka akitaka kurudiana na mume wake lazima apate kwanza mwanaume mwingine wapeana utamu ndio arudi kwa mume wake wa kwanza bila hivyo hawezi kurudiana
  • Nukuu
    • "O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
    • Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
Jaribu kuweka kila kitu mahala pake sema mpaka aolewe siyo apate Mwanaume mwingine, sababu hapo haiongelewi zinaa, unaposema akapate Mwanaume mwingine unamaanisha mpaka wa zinaa. Sasa sema hivi mpaka akaolewe na aachike, huu ndiyo usahihi. Ndoa ni ibada.
 
Ngoja Muhammad akujibu
umeona neno sweetness , muhammad anasema mwanamke hawezi kurudi kwa mume wake wa mwanzo mpaka atoe utamu kwanza
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
 
Siyo mpaka akatumike tumia lugha stahiki, usahihi ni mpaka akaolewe na mume mwingine na ikitokea ameachika ndiyo huenda akarudi kwa mumeww na si kinyume chake. Hakuna kutumika ndani ya ndoa sababu ndoa ni ibada.

Kutumika ni kwenye maovu. Sasa usiwe mjinga kiasi hiki.
Allah ndio katumia ayo maneno na sio mimi kama unakasirika nayo unampinga allah
kasema lazima aolewe na apate hii sexual intercourse ndio anaweza kurudi kwa mume wa kwanza
Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
 
Mubarridi
Mwanamke akipewa talaka na akaamua kukaa hivyo bila mwanaume badae wakataka kurudiana je inaruhusiwa?
 
Ngoja Muhammad akujibu
umeona neno sweetness , muhammad anasema mwanamke hawezi kurudi kwa mume wake wa mwanzo mpaka atoe utamu kwanza
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Sasa inakuwaje unarudia kile kile ? Huo utamu nje ya ndoa au wapi ?
 
Allah ndio katumia ayo maneno na sio mimi kama unakasirika nayo unampinga allah
kasema lazima aolewe na apate hii sexual intercourse ndio anaweza kurudi kwa mume wa kwanza
Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
Sasa mbona hujatumia neno msingi la "kuolewa" unaleta uhuni wa kijinga jinga ?
 
Mubarridi
Mwanamke akipewa talaka na akaamua kukaa hivyo bila mwanaume badae wakataka kurudiana je inaruhusiwa?
Haruhusiwi mpaka aolewe na kuachaka kwa kawaida bila mkono wa nje katoka hilo.

Maana ya kukaa eda kwa Mwanamke kwa miezi minne na siku kumi, ni kujitazamia kama kuna makosa yalitokea na kusameheane ila mpaka zinatoka talaka tatu na eda imeisha, hapo ni mpaka aolewe na Mwanaume mwingine. Hapa kuna hekima kubwa inayo onyesha uzito na ubaya wa kuachana na watu wawe makini.
 
Unajitahidi kutoa ufafanuzi lakni dini unayoitetea hujasoma. Naomba nikuweke sawa kidogo. Eda ya talaka huwa ni tohara tatu (Menstruation cycle 3) kwa anayepata period. Kwa ambaye hapati period ni miezi mitatu.

Miezi hii mitatu mke aliyeachika anatakiwa kukaa ndani ya nyumba ya mumewe wakiwa wanalala tu vitanda tofauti au vyumba tofauti. Mume anatakiwa kumuhudumia kwa kila kitu kasoro sex. Hii hekima yake ni kurudisha mioyo nyuma endapo mume ataona kosa alilofanya na kuamua kumrejea mkewe ndani ya kipindi hiki cha miezi mitatu.

Ndani ya hii miezi mitatu, mke hana hiyari ikiwa mume atataka kumrejea.. ni kwenda kitandani kwake na kumwambia tu "nimekurejea" kisha akaanza kula maisha. Ikitokea ndani ya miezi mitatu hajamrudia, mwanamke atarudi kwao na anaruhusiwa kuolewa na mtu mwengine sasa.. na hata huyu mumewe kama atamuhitaji baada ya miezi mitatu atalazimika kumuoa upya!.

Hekima nyingine ya hii miezi mitatu ni kutaka kujua ikiwa ameondoka kwa mumewe akiwa mjamzito ama laa.. kuepusha kusingizia mtu mwengine mtoto asiye wake ikiwa mtu ataachwa leo na kuolewa kesho!.

Kuhusu eda ya miezi minne na siku kumi ni eda ya kufiwa na mume na sio eda ya talaka.
 
Haruhusiwi mpaka aolewe na kuachaka kwa kawaida bila mkono wa nje katoka hilo.

Maana ya kukaa eda kwa Mwanamke kwa miezi minne na siku kumi, ni kujitazamia kama kuna makosa yalitokea na kusameheane ila mpaka zinatoka talaka tatu na eda imeisha, hapo ni mpaka aolewe na Mwanaume mwingine. Hapa kuna hekima kubwa inayo onyesha uzito na ubaya wa kuachana na watu wawe makini.
Unaona huo uchafu , yani allah aliona kuweka ugumu wa talaka ni kuwatesa wanawake watoe utamu kwa mwanaume mwingine ndio warudiane
 
Sasa inakuwaje unarudia kile kile ? Huo utamu nje ya ndoa au wapi ?
Huu ni uchafu na udhalilishaji
  • "O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
  • Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
 
Unaona huo uchafu , yani allah aliona kuweka ugumu wa talaka ni kuwatesa wanawake watoe utamu kwa mwanaume mwingine ndio warudiane
Shida ipo kwa anayekuelimisha na yy hajui. Iko hivii.. baada ya kuachika talaka tatu.. kwakuwa mtoaji talaka ni mwanaume, hiyo ni dalili kuwa amemchoka huyo mke. Kwahyo sheria inamtaka asipewe nafasi ya kumrudia tena huyo mke kwa sababu anamdhalilisha kwa kumuacha mara kwa mara. Mke anaruhusiwa kwenda kuolewa na mume mwengine maana huyu amemshindwa tayari. Huyu mume akioa na akiona ni mke anayefaa kuishi nae, anaendelea kula maisha ja mume wa mwanzo hana chake tena. Ikitokea kama jamaa atamuacha, basi yule mume wa mwanzo ndo anaweza kumuoa. Mbona ni simple and clear!
 
Kuna kisa jamaa anaitwa Rifa alimpa talaka mke wake badae huyu mwanamke akaolewa na adburrahman, huyu mwanamke akawa anapoke kipigo kutoka kwa abdul mpaka akawa wa kijani , akaenda kwa Muhammad kushtaki , muhammad hakujali kipigo alicho pewa ila akamwambia kama unataka kumuacha abdul urudi kwa rifa lazima abdul apige machine kwanza ndio urudi kwa mume wako wa mwanzo,
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 5825
 
Maana ya ndoa ni kula mzigo.. hiyo ni sheria. Kama alikubali kuolewa ni lazima mzigo upigwe
 
Unajitahidi kutoa ufafanuzi lakni dini unayoitetea hujasoma. Naomba nikuweke sawa kidogo. Eda ya talaka huwa ni tohara tatu (Menstruation cycle 3) kwa anayepata period. Kwa ambaye hapati period ni miezi mitatu.
Shukrani kwa masahihisho.
 
Maana ya ndoa ni kula mzigo.. hiyo ni sheria. Kama alikubali kuolewa ni lazima mzigo upigwe
Issue sio kukubali , Muhammad anasema mwanamke akiachika hawezi kamwe kurudi kwa mume wa kwanza mpaka achukuliwe na mwanaume mwingine na mzigo uliwe , tena muhamad anasema lazima apate utamu wa mwanume mwingine kwanza ndio arudi
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
 
Issue sio kukubali , Muhammad anasema mwanamke akiachika hawezi kamwe kurudi kwa mume wa kwanza mpaka achukuliwe na mwanaume mwingine na mzigo uliwe , tena muhamad anasema lazima apate utamu wa mwanume mwingine kwanza ndio arudi
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Sasa kijana unajua kama huna hoja ? Sasa hapo ubaya uko wapi ? Maana naona unarudia marejeo yale yale na ushapewa ufafanuzi, hapo inazingatiwa kutotoka nje ya sheria na si kinyume chake na kutia uzito na kulipa thamani jambo la ndoa.
 
Shida ipo kwa anayekuelimisha na yy hajui. Iko hivii.. baada ya kuachika talaka tatu.. kwakuwa mtoaji talaka ni mwanaume, hiyo ni dalili kuwa amemchoka huyo mke. Kwahyo sheria inamtaka asipewe nafasi ya kumrudia tena huyo mke kwa sababu anamdhalilisha kwa kumuacha mara kwa mara. Mke anaruhusiwa kwenda kuolewa na mume mwengine maana huyu amemshindwa tayari. Huyu mume akioa na akiona ni mke anayefaa kuishi nae, anaendelea kula maisha ja mume wa mwanzo hana chake tena. Ikitokea kama jamaa atamuacha, basi yule mume wa mwanzo ndo anaweza kumuoa. Mbona ni simple and clear!
Sawa umejaribu kueleza vizuri.

Hadi hapo inaonesha Mke aliyeachwa na Mumewe ananyimwa haki zake za msingi.

Ili amrudie ni lazima Mke aolewe na Mume mwingine aachike ndio anaweza kurudiwa na Mumewe.

Hapo tuchukulie Mke alikuwa anampenda mumewe wakati anaachika kwakuwa talaka katoa Mume.

Sasa kama hali ya sasa unayoiona wanaume ni wengi kuliko wanawake na pia wanawake wengi bado hawajaolewa.

Ni vipi ikiwa huyo Mke mtalikiwa akakosa Mume wa kumwoa baada ya talaka na alikuwa anampenda mumewe bado ?

Itakuwaje kama Mume wa kwanza akaamua kumrudia mkewe aliyeolewa na mume mwingine na huyo mume akawa hataki kutoa talaka kwa mke mtalikiwa, ?

Ikiwa mke anampenda bado na anataka kurudiana na mume wake wa mwanzo je mume wa pili atalazimishwa kutoa talaka ?
 
Sasa kijana unajua kama huna hoja ? Sasa hapo ubaya uko wapi ? Maana naona unarudia marejeo yale yale na ushapewa ufafanuzi, hapo inazingatiwa kutotoka nje ya sheria na si kinyume chake na kutia uzito na kulipa thamani jambo la ndoa.
Ni kumuadhibu mwanamke pasi na sababu , kuna mwanamke anaweza achika na asiwe na upendo na mwanaume mwingine na aamue kukaa bila mwanaume akisubiri warekebishe warudiane , ila allaha anakataza anasema lazima akatow utamu kwanza kwa mwanaume mwingine ndio warudiane, ili tumemaliza na ni uchafu wa hali ya juu

Back
Top Bottom