Hiki ni kitu kando na si jiwe la kwanza kuongea ndiyo maana nikakuuliza nani alikwambia ya kuwa sharti la kuongea ji lazima uwepo mdomo au ulimi ?Muhammad anasema jiwe siku ya mwisho litakuwa na macho mawili na ulimi na litaongea kwa kutoa ushahidi kwa wale walio ligusa
Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961