Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Siwajui majina. Waislamu wote ni ndugu zangu nani amekwambia kama nawajua wote kwa majina ?
Unamanisha hata umeshindwa ku Google na kujua hata majina kama haya ya Majini wa Kiislamu ?

Wewe sio Mwislamu kabisa

Na kuanzia leo usiniulize swali lolote kuhusiana na Mada za Kidini

Umeshindwa hata kujua haya Majina Kumi tu.
Ya ndugu zako Majini wa Kiislamu ?

Pimbi kabisa wewe.

10 types of Jinn according to Islam

Hinn هين

Ghoul – الغول

Jann – جان

Marid – مارد

Ifrit – إفريت

Shiqq – شق

Nasnas – نسناس

Palis – باليس
 
Makafiri lazima muwepo ili muonje jahannam. Wote hatuwezi kuwa tunaabudu Mwenyezi Mungu mmoja.
Nyie wenzetu mna miungu watatu

1Wakorintho 1:25

25 Kwa maana huu ‘upumbavu’ wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
We ulitakiwa unijibu kwanza hoja yangu ya Uislamu na Majini hapo uliponinukuu halafu ndio uulize hilo swali lako.

Umeninukuu nikizungumzia Uislamu na Majini halatu unaleta jedwali ambalo mimi sijalizungumzia kabisa huoni kuwa unashindwa kueleweka ?

Ziko hoja nyingi za imani, mimi nimeandika jinsi Waislamu walivyoingizwa katika Dini ya Majini na Muhammadi.

Au Muhammadi alivyo wakaribisha Majini wote akina Jinni Makata kwenye Uislamu.

Badala ya kunijibu hoja yangu unaleta Kijedwali chako ambacho sio hoja inayozungumziwa.

Nijibu hoja zangu hapo juu ndio na wewe uulize maswali yako.

Waislamu mkiletewa hoja zinazowashinda kujibu, mnaingiza mada nyingine ili kukwepa hoja ya msingi.

Jibuni hoja ya msingi

[emoji117]Uswahiba wenu na Majini na ibada zenu kuliabudu Jiwe Jeusi la Maka
Linaitofautishaje Dini ya Kiislamu na imani nyingine za Kishirikina kama Freemasoni na Illuminanti ?

Hii sio kashfa kwakuwa ipo kwenye Uislamu.
Sura ya Majini ipo.
Kuabudu Jiwe Jeusi la Maka ipo

Jibuni hiyo hoja halafu kama mnaswali muulize.
 
Yesu Kristo ni raia wa Israeli
Historia yake yote inapatikana katika vitabu vya historia ya Wayahudi
Na sio kati vitabu vya Waarabu.

Hebu soma basi hata kitabu kimoja tu cha Wayahudi.
Au funga safari Israeli utaoneshwa mahali
Aliposulubiwa Yesu msalabani.
Na alipozikwa baada ya Kufa.
Na Kaburi lake lipo Israeli utaoneshwa.

Sijui nisema ujinga au Maradhi sijui,
Hivi unasomaje na kuamini kuhusu maisha ya Yesu Mwisraeli kwenye vitabu vya Wakureshi ?

Yaani Maisha Mwarabu Muhamadi ukayasome kwenye historia ya Wamakonde wa Mtwara na uamini ?
Watu ambao hata sio kabila moja.

Au ndio Majini yenyewe yanawalazimisha muamini hivyo ?

Issa ni Nabii wa Dini ya Kiislamu
Hakuwahi kuteswa
Wala kusulubiwa msalabani
Wala kufa
Na haijulikani yuko wapi
Na alienda lini

Hebu nenda Youtube mda huu, andika "Arab Christian Songs"
Sikiliza Wakristo wa Uarabuni wanamwita vipi Nabii wao Yesu Kristo.
Nenda sasa hivi na uje ulete mrejesho hapa sasa hivi.

[emoji117]Jamani kama humu kuna mtu ambaye sio Mwislamu wala Mkristo aende YuoTube asikilize nyimbo za Wakristo Waarabu aje atupe Jibu wanamwitaje Yesu Kristo

Maana hawa jamaa hawakubali kabisa kuusikia ukweli

Hii ndio zawadi ya kuingizwa katika Dini ya Majini.
Mnalazimishwa Rangi ya Bluu muiite Nyeusi na bila kuhoji mnakubali.

Hii ni Hatari kubwa.

Tatizo Waislamu hawataki kabisa kuambiwa Ukweli uliondikwa kwenye Qurani yao.
Ukweli ambao unaonesha madhaifu dhahili kabisa.
Mnaswalije na Majini chungu nzima Misikitini alafu mnadhani mko salama.
Jinga kabisa
 
Utakuja kujuta wewe

itoshe kusema ivo
 
We Kwa uelewa wako majini ni nini kwanza? Unipe vifungu kwenye biblia. Maana nakuona unaropoka vitu havipo
Wapo majini waislamu na wapo majini makafiri. Sasa sijui wewe upo kwenye kundi gani?
Nimenukuu kafiri anasema majini ni malaika walioasi. We kwa upande wako majini wametokea wapi Kwa imani yako? Usiropoke maneno matupu we unayeabudu miungu watatu
 
Wapi mimi nimesema Majini ni Malaika walioasi?
Umeninukuu wapi nikisema hivyo ?

Kwani Waislamu watu, wote ni wema ?
Na hao Waislamu wasio wema wanaswali wapi ?

Wewe unamtambua Jini Mwema na asiye Mwema ?
Je Jinni M'baya haruhusiwi kutubu Msikitini ?
Hao Majini unaosema ni wema huwa hawakosei kabisa ?

Fungua akili yako wewe.
Majini wote ni Waislamu na wote wanafanya ubaya ndio maana wanaswali ili kutubu dhambi zao.

Wema ni Malaika tu ambao wako Mbinguni.

Mnafikia mahali hadi mnayatetea Majini kwa nguvu zote.
Akili za kutafakari zimewatoka kabisa.

Mimi sasa nasema nimechoka kuwafumbua macho.
Nanawa Mikono.
 
Lete aya majini wote waislamu na hakuna makafiri we muabudu miungu mitatu.
 
Lete aya majini wote waislamu na hakuna makafiri we muabudu miungu mitatu.
View attachment 2117934
72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

72:2 - Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

Naomba na wewe unipe Aya ya qurani inayosema.

" Kundi moja la watu lili isikia Qurani na kuiamini "

Hapo ndipo utakapo tambua kuwa Dini ya Kiislamu ni ya akina nani.
 
Uzuri wa haya ya mwanzo ipo wazi bila kusogea sura nzima. Unaona kabisa inasema kundi moja la majini. Nikisema kundi moja la watu wamefanya kitu fulani haina maana kundi lote.
Unanipa kazi ya kukufundisha Kiswahili hapa. Kwa hiyo kwa majini kuna makafiri pia.
 
Ha..ha...ha
Toka Mwaka uanze ndio nimecheka kwa mara ya kwanza.

Nimekumbuka andiko moja hivi Mungu anasema wazi kabisa.

Hosea 4:6
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;"
 
Mungu ata akisema yupo 10 shida ni nini?
Mungu tunapima ukweli wake na uwepo wake
Kama mungu anasema Jua linazama matopeni anasema manii inatoka kwenye UTI wa mgongo na yupo mmoja utamuamini?
Ongezea pia na upumbavu Kwa mujibu wa makafiri. Hili swali haukunijibu upumbavu na udhaifu wa Mungu ni upi?

1 Wakorintho 1:25​

25 Kwa maana huu ‘upumbavu’ wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.

Miungu watatu? Ushirikina ulioje.
 
Ni nani kaandika hayo maandiko nenda kasome sura nzima utapata jibu,

Nimekwambia Mungu ata akisema nipo 10 shida Yako nini? Mungu ni muweza wa kila kitu anaamua yeye mwenyewe aweje

Ndio maana nimesema mungu anasema Jua linazama matopeni na manii inatoka kwenye UTI wa mgongo utamuamini huyu mungu ambae hajui ata uumbaji?
 
Hata wakiwa ishirini sawa tu. Nijibu swali usiruke kwa kulazimisha nisome sura nzima. Aya unazozinukuu huwa unasoma sura nzima? Nataka nijue upumbavu wa Mungu ni upi? Tumia hata uongo wa kanisa. Kumbuka sijaingiza tafsiri yangu

1 Wakorintho 1:25​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Mungu wa kwenye biblia naweza kumpiga ngumi kutokana anaweza fanya lolote atakalo?
 
Ni Yesu pekee atoaye tumaini. Nyie pambaneni na kugawana wake na mali sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…