Hao ndo wale viziwi,vipofu na mabubuBrother naona unapata tabu Sana na yeye kwsababu huyo hayuko kwenye uhitaji wa kufahamishana bali yeye yuko kwenye kushindana. Kila aya katika qur-an ina sababu ya kuteremshwa kwake kwaio mim nadhani angeyajua hayo bas angekua Tayar kufahamishwa.
Mutah boy vyote navifahamu kabla sijaweka ata lazima nisome tafsir kama tatu nijue maana ya Aya , kumbuka Koran bila tafsir haieleweki kabisa
Ukifuatilia hadi leo Mashehe wazito wanaoa visichana vidogo sana.Mtoto wa miaka SITA eti ni mke wa mtume na wanalala kabisa kitanda kimoja , huyu jammaa alikuwa ana Devil kama alivyokiri mwenyewe
Mutah boy , Aya gani embu wela wazi nikujibu sababu za Allah kuandika kwenye tablet yakeHujanielewa nnachomaanisha hapa je umewahi kupitia sababu ya kuteremshwa kwake hio aya?
Mutah boy kwa nini hutaki kujibu sababu za wewe kulindwa na shetaniHao ndo wale viziwi,vipofu na mabubu
Sehemu ambapo nawaona hampo seriously ni kumpinga mpaka AllahUjinga na ujuha ndo ulokua nao haya tuoneshe wapi Muhammad kafanya dhambi?
Huyu devil ambae alikuwa ni companion wa muhammad alikuwa Kuna mda adi anamfanyisha mapenzi bila yeye Muhammad kujuaKukopi ni suala moja!
Umielewaje? Unaifafanuaje?
copy and paste yko hlf ata kiswahili hujui hya itafsiri iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hujuiSehemu ambapo nawaona hampo seriously ni kumpinga mpaka Allah
Yani Allah anasema wazi kabisa atamsaheme Muhammad dhambi zilizo pita na atakazo fanya kasha samehe
Wewe unakuja una m challenge Allah unauliza wapi Muhammad kafanya dhambi Yani unafanya Allah kusema kamsehe halikuwa hajui kama Muhammad kafanya madhambi
Koran 48:2That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come...
Unapo debate heshimu dini Yako na mungu wako acha kumdhalilisha
Mbona sisi watu hatujui kufikiria?Mungu katika biblia si anasema waisraeli wapigeni maadui zenu ili mpate nchi ya ahadi.Hao waliopigwa vita na waisraeli Wana kosa gani?Mungu wao ni yupi?Kama ni masanamu na wanastahili adhabu basi wanawake wanastahili kupigwa wanapokosea.Kwa nini Allah anasema mwanamke apigwe , hili hakuna Alie jibu
4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Huyu ni mungu kweli anasema wanawake wapigwe
Na mwanaume anapokosea anastahili kufanywaje kwa mujibu wa allahMbona sisi watu hatujui kufikiria?Mungu katika biblia si anasema waisraeli wapigeni maadui zenu ili mpate nchi ya ahadi.Hao waliopigwa vita na waisraeli Wana kosa gani?Mungu wao ni yupi?Kama ni masanamu na wanastahili adhabu basi wanawake wanastahili kupigwa wanapokosea.
You guys got poor thinking.
Nadhani ushanielewa.Hapo unachokitaka ni kubishana sasa so nenda kamuulize Allah.Na mwanaume anapokosea anastahili kufanywaje kwa mujibu wa allah
Tukubaliane, nikiweka reference utasadiki? Ili nijue nadili na mtu wa aina gani?Hakuna ata tejea moja , hapa naona ni uongo tu umeandika bila reference, alafu kiharabu unaandika kama kiswahili ili iweje?
Kumbuka waislamu ndio companion yenu ni shetani sisi wakristo Mungu wetu kasema tunalindwa na Malaika mda wote
Mungu wa biblia anasema
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.
Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
Kaka unajua Kiarabu ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2120495
dini ya haki???? tazama yanayojiri huko afganstani, tena tazama asilimia zaidi ya 90% ya makundi ya kigaidi, najua kuna waislamu moderate, lakini ukifuata koran , inaruhusu mambo kaa ya kuua kafili, yaani watu ambao sio waislamu, kweli uongo??????????Uislamu ni dini ya haki sio tu ndoa mambo mengi katika uislamu yametolewa ufumbuzi ila wachache katika watu ndio wataelewa.
We Kafiri Tumia Akili..
Hata Na Wewe Ni Shetani Vilevile upo Hapa kupoteza Watu..
Nimekuuliza Maswali Mengi Hujajibu Hata Moja..
Aya Gani Katika Qur'an Inasema Hayo Maneno Ya Waislam Kulindwa Na Shetani..?
Qur'an Inafundisha Nini Kuhusu Mashetani...[emoji116]
Qur'an 24:21.. Enyi mlio amini! Msizifuate nyayo za Shet'ani. Na atakaye fuata nyayo za Shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu..
Qur'an 17:53. Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.
Qur'an 17:37.. Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi...
Zipo Nyingi Ila Hizi Ni Mfano Tu Wa Qur'an inavyowafundisha Waislam kuhusu ubaya wa Shetani..
Kuhusu Kujilinda Pia Qur'an Imetupa Muongozo Wa Kumtegemea MWENYEZI MUNGU MMOJA[emoji116]
Qur'an 114:1-6.. 1. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 2. Mfalme wa wanaadamu, 3. Mungu wa wanaadamu, 4. Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, 5. Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, 6. Kutokana na majini na wanaadamu.
TOA HIYO AYA YAKO NAISUBIRIA KAMA WEWE KWELI KIDUME..
Sifa Kubwa Ya Shetani Ni kupoteza Watu kwa Uongo na kuficha Ukweli. Hata Wewe Kafiri Pia Ni Shetani Wa Kibinadamu..
Wakorintho 15:18
Hivyo basi, wooote waliolala katika Kristo wamepotea...
Kwaiyo kile kiapo Cha "mpaka kifo..." Kishafanyiwa mabadiliko
Nilimsikia padri mmoja amelitolea ufafanuzi kwamba ndoa katoriki haina talaka ila kama mmoja wao kufumaniwa wanakaa kwenye usuluhishi na kama kila mtu akila 50 zake huruhusiwi tena kuona hadi mmoja wapo afariki
Hata kama mume au mke atakuwa apigi shoo vizuri lazima umvumilie tu ndio kauli ile ya kwenye shida na raha tabu na magonjwa inapotumika
Uislam ndio dini pekee ilio weka mikakati mizuli kila sekta kama ukifatilia vizuri vitabu maisha tunayoishi kama tungefuata talatibu za kiislam bc tungeishi vizur xna