We Kafiri Tumia Akili..
Hata Na Wewe Ni Shetani Vilevile upo Hapa kupoteza Watu..
Nimekuuliza Maswali Mengi Hujajibu Hata Moja..
Aya Gani Katika Qur'an Inasema Hayo Maneno Ya Waislam Kulindwa Na Shetani..?
Qur'an Inafundisha Nini Kuhusu Mashetani...[emoji116]
Qur'an 24:21.. Enyi mlio amini! Msizifuate nyayo za Shet'ani. Na atakaye fuata nyayo za Shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu..
Qur'an 17:53. Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.
Qur'an 17:37.. Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi...
Zipo Nyingi Ila Hizi Ni Mfano Tu Wa Qur'an inavyowafundisha Waislam kuhusu ubaya wa Shetani..
Kuhusu Kujilinda Pia Qur'an Imetupa Muongozo Wa Kumtegemea MWENYEZI MUNGU MMOJA[emoji116]
Qur'an 114:1-6.. 1. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 2. Mfalme wa wanaadamu, 3. Mungu wa wanaadamu, 4. Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, 5. Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, 6. Kutokana na majini na wanaadamu.
TOA HIYO AYA YAKO NAISUBIRIA KAMA WEWE KWELI KIDUME..
Sifa Kubwa Ya Shetani Ni kupoteza Watu kwa Uongo na kuficha Ukweli. Hata Wewe Kafiri Pia Ni Shetani Wa Kibinadamu..
Wakorintho 15:18
Hivyo basi, wooote waliolala katika Kristo wamepotea...