Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Wapo vizuri sana, naipenda Allah, (Mungu mmoja) asiyegawanyika nafsi tatu ndio maana kawaangazia kuhusu ndoa. Wakristu swala la mke mmoja halieleweki! Ndio wanaongoza kwa nyumba ndogo mtaani. Ni kichekesho! Mke mmoja anapojifungua au itokee matatizo mengine mwanaume utaweza kuvumilia kweli? Ndicho chanzo cha kuchepuka. Wazee wetu wa zamani walijua hilo na waliishi kama Waislamu.
HI research kwamba Wakristo ndio wanaongoza kwa nyumba ndogo mmeifanyia wapi wakuu? Kuna Waislamu wana mke zaidi ya mmoja na still anachepuka, kuna Wakristo wana mke mmoja na hawachepuki. Mwanaume by nature (bila kujali dini yake ) hatosheki na IDADI ya wanawake, unaweza kua nao 4 na still ukatongoza wengine vile vile. Hao hao wenye wake zaidi ya mmoja kwa karne hi ambayo tunakula vyakula vya kukahanga wake zao wanpigwa sana na wanaume wengine (haijalishi dini yake ) cause hawatoshelezwi na waume zao!
 
Mbona ipo vile vile Musa kakimbiza jiwe akiwa uchi, au utaka kupinga nini?
Haya amekimbia uchi siumeridhika nafikir tuishe hapa sitohitaji mdahalo tena kila mtu abaki na kile anachokiamini.
 
Ukweli ndio huo , lakini nawashangaa napo weka hadith mnaanza kuzikataa na kusema sio sahih ,
Mnapo wekewa ukweli mnakasirika hayo maandiko sio mimi nimetunga ni maandiko yenu , ila naona huwa mnastuka na kushangaa maana mengi mmefichwa hamyajui

By Allah, nothing prohibits Moses to take a bath along with us, but scrotal hernia. Moses once went for a bath and placed his clothes on a stone and the stone moved on with his clothes. Moses ran after it saying: 0 stone, my clothes,0 stone, my clothes, and Banu Isra'il had the chance to see the private parts of Moses,...Sahih Muslim 339
 
Hizi hadith zinatuumbuaga sana waislam wallah. Mimi ndio maana nazipinganga namini quran tu peke yake maana hujui ukweli ni upi na uongo ni upi ila sasa masheikh wanakwambia hadith ni za ukweli hizi hadithi ambazo wameniandika watu miaka 300 huko baada ya Muhammad kufariki..
 
Nilishikwambia toka mwanzo ukiweka hadith weka hadith nzima bila kupunguza wala kuongeza kitu na ukiona hujaelewa basi uliza ufafanuliwe
Kwa mfano hiyo hadith iko hivi Ban israel Walikuwa wana tamadun ya kuoga pamoja mussa yeye alikuwa akijitenga na kuoga pekee kitendo hicho ndo kilipekea kuzushiwa maneno hayo mwisho Allah akaona ngoja amsafishe nabii/Mtume wake kwa njia hiyo kitu ambacho mwisho wa siku kilimaliza uzushi wote. Sasa wewe unavyosema kaabishwa labda utufafanulie kaaibishwa kivipi?
 
Hili nimeshamaliza , naweka hadith na reference ili ubishi usiwepo
Tumeshamaliza Allah aliamua kumtembeza uchi nabii wake, na allah hakuwa na njia nyingine zaidi ya hiyo
 
Hizi hadith zinatuumbuaga sana waislam wallah. Mimi ndio maana nazipinganga namini quran tu peke yake maana hujui ukweli ni upi na uongo ni upi ila sasa masheikh wanakwambia hadith ni za ukweli hizi hadithi ambazo wameniandika watu miaka 300 huko baada ya Muhammad kufariki..
kijana unapotoka ivo huwezi kuamini quran tupu bila ya hadithi kma ww ni Muislamu kweli

Nikikuuliza nielezee jinsi ya kutia udhu au kuosha maiti kwa kutumia quran peke ake utashindwa ila kwa ufafanuzi wa hadithi utaweza

Kasome dini yako usisikilize maneno ya mitandaoni kwani kuna fake site nyingi za kuuharibu Uislamu
 
That's the thing huoni kuna hadith nyingi zinc contradiction? Hata the biggest scholars wq kiislam Duniani can't come to a conclusion hadithi ipi ya ukweli na ipi ya uongo
 
Umekaa chini ukasoma au ndo za kusikia tuu?
 
Naweza nikawa sijasoma zote ila huwa mimi napenda sana kuwasikilizaga scholars wakubwa wa kiislam na wanakuaga wana engage in debates na scholars wa madhehebu mengine kama sisi waislam tunavyotoa kasoro kuhusu ukristo,basi na wenzetu nao wanatoa kasoro ya dini yetu pia.
 
Nishajua tatizo lako

Tafuta Markaz nenda ukasome
Uislamu hauchukuliwi mitandaoni
 
Nishajua tatizo lako

Tafuta Markaz nenda ukasome
Uislamu hauchukuliwi mitandaoni
Unakosea! Dunia imebadilika. Teknolojia imefanya kila kitu kiwe out there tena Karne hii ya vijana wanaotaka kuhoji na kujua kila kitu hamna tena siri. Zamani nakambuka ulikua huwezi kuhoji kitu ila times have changed. Sasa unavyosema eti Uislam haichukuliwi mitandaoni sijui nikuelewe vipi maana hata Quran yenyewe ipo mitandaoni
 
Hili nimeshamaliza , naweka hadith na reference ili ubishi usiwepo
Tumeshamaliza Allah aliamua kumtembeza uchi nabii wake, na allah hakuwa na njia nyingine zaidi ya hiyo
Sitohitaj uni quote chochote mana siwezi kujadiliana na watu wa namna yako.
 
Unakosea! Dunia imebadilika. Teknolojia imefanya kila kitu kiwe out there tena Karne hii ya vijana wanaotaka kuhoji na kujua kila kitu hamna tena siri. Zamani nakambuka ulikua huwezi kuhoji kitu ila times have changed. Sasa unavyosema eti Uislam haichukuliwi mitandaoni sijui nikuelewe vipi maana hata Quran yenyewe ipo mitandaoni
Kasome Dini acha ubishi.
 
Hili nimeshamaliza , naweka hadith na reference ili ubishi usiwepo
Tumeshamaliza Allah aliamua kumtembeza uchi nabii wake, na allah hakuwa na njia nyingine zaidi ya hiyo
Hawataki uwa quote tena. Kwani hawataki kuambiwa ukweli wao.
Sisi wajuzi tulishamshitukia Allah kitambo sana.
Anawataja Manabii wa kwenye Biblia halafu anawaelezea tofauti kabisa na walivyofanya.
Hiyo ni kutaka aaminiwe. Dini nyingi zina vitabu vyake na Manabii wake.
Ila Qurani bila kutajataja matukio na wahusika wa kwenye biblia inashindwa kabisa kujitegemea yenyewe.
Eti Musa aliibiwa nguo na jiwe halafu likakimbia nazo.
Ni nonsense tupu.
 
Unakosea! Dunia imebadilika. Teknolojia imefanya kila kitu kiwe out there tena Karne hii ya vijana wanaotaka kuhoji na kujua kila kitu hamna tena siri. Zamani nakambuka ulikua huwezi kuhoji kitu ila times have changed. Sasa unavyosema eti Uislam haichukuliwi mitandaoni sijui nikuelewe vipi maana hata Quran yenyewe ipo mitandaoni
Ayo ni maoni yko
we umewahi kuona wapi Doctor alosoma google na akapewa cheti kua huyu ni professional doctor nijibu hili swali kwanza?
 
Back
Top Bottom