Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Sasa huyu Abdulrahman alikuwa ni nani kwake Rifa'a ? Maana yake alikuwa ni mume wake tayari.

Sasa usiwe una lugha za kihuni na matusi katika mambo yenye hadhi. Maana ya hadithi hapo ni kuwa mwanamke hawezi kuolewa na Mwanaume au kurudi kwa mume wake wa awali mpaka aolewe na mwingine kisha kisha apewe talaka ya halali na amalize eda yake.
Acha uongo , Muhammad kasema unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you
neno alilotumia Muhammad ni kupigwa machine kwanza , ata akiolewa ni lazima apigwe machine kwanza ndio anaweza toka na kurudi kwa mwanaume wa mwanzo

Embu ona mnavyo wadhalilisha wanawake , yani kapewa talaka akitaka kurudi kwa mume wake labda wamepatana mnamkataza mpaka akatembee na mwanaume mwingine kwanza ndio arudi kwa wa mwanzo , uchafu gani huu
 
neno alilotumia Muhammad ni kupigwa machine kwanza , ata akiolewa ni lazima apigwe machine kwanza ndio anaweza toka na kurudi kwa mwanaume wa mwanzo
Sasa kupigwa machine nje ya ndoa au ndani ya ndoa ? Hapo maana yake ni ndani ya ndoa, sasa kibaya kipi kijana ?
Embu ona mnavyo wadhalilisha wanawake , yani kapewa talaka akitaka kurudi kwa mume wake labda wamepatana mnamkataza mpaka akatembee na mwanaume mwingine kwanza ndio arudi kwa wa mwanzo , uchafu gani huu
Kudhalilishwa hapo hakuna sababu haya mambo au hizi kesi huwa zipo, watu huwa wanaachana na kutaka baadae kurejeana, ndiyo maana sheria ikawa kali ili watu wawe makini na suala la kuachana. Bila hivyo kuachana na kurudiana kungekuwa kama mchezo tu.

Ndiyo maana mwanamke haruhusiwi kurudi kwa mumewe wa mwanzo mpaka aachike kwa huyo mume aliye muoa, na kama hajaolewa haina shida kumrudia mkeo.
 
Vijana walikuwa wanapinga jiwe kukimbia na nguo za Musa uku Musa akiwa uchi analikimbiza
Je hili jiwe kuna mdau anataka kujua kama ndio lile mnalibusu macca au ni tofauti?
Ushawahi kusikia hilo jiwe la Makka limehama ?
 
Sasa kupigwa machine nje ya ndoa au ndani ya ndoa ? Hapo maana yake ni ndani ya ndoa, sasa kibaya kipi kijana ?

Kudhalilishwa hapo hakuna sababu haya mambo au hizi kesi huwa zipo, watu huwa wanaachana na kutaka baadae kurejeana, ndiyo maana sheria ikawa kali ili watu wawe makini na suala la kuachana. Bila hivyo kuachana na kurudiana kungekuwa kama mchezo tu.

Ndiyo maana mwanamke haruhusiwi kurudi kwa mumewe wa mwanzo mpaka aachike kwa huyo mume aliye muoa, na kama hajaolewa haina shida kumrudia mkeo.
Ni vizuri umekiri neno lilotumika ni unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you
Mwamke ndio mnamuadhibu , yani mwanaume ndio mtoa talaka , alafu mwanamke akitaka warudiane mnamlazimisha aolewe apigwe machine kwanza ndio arudi kwa mume wake wa mwanzo , kama hataki hawezi rudi , huu ni uchafu
tumemaliza hilo
 
Nimesoma litakuja kuwa na ulimi na macho na litaongea
Hawa watu hata kwa bahati mbaya Mtume wao Muhammadi akarudi leo na kuwaomba radhi kwa kuwadanganya, na kuwaelekeza waifute ile njia iliyonyooka kama alivyo waagiza ktk qurani, watamkatalia.
Na akirudiarudia kuwasisitiza watamchinja kabisa.
 
Wacha uwongo wewe toka lini waarabu wanamwita Yesu Issa.
Issa ni Nabii wa Allah na sijui kamtoa wapi.
Aliyemwita hivyo ni Allah ili kuwaghiribu Waislamu.
Yesu Waarabu wanamwita Yashua.

Kama unabisha Bofya ktk Youtube video. Andika "Arab Christian Songs"

Uone Waarabu Wakristo wanataja jina gani ili kumsifu Yesu wao.

Allah anawaghiribu kwa kuwabadilishia majina ya Manabii ili hata akiwasingizia maneno ya Uwongo akwepe adhabu kwa Mungu.
Hata huyo Musa aliyeibiwa nguo na jiwe sio Musa wa Kwenye Biblia.
Tafakari sana Dini yako usije ukaishia kuwa mwongo tu.
😁😁Eti dini yangu 😁😁.Unajua dini yangu? Mimi ni muumini kufanya matendo mema na sio kufuatisha hayo maandiko as if the books are perfect.Ila hapo kwa neno Issa umepotosha ilo ni jina tu basi yesu angeendelea kuitwa Jesus.Vipi tukisema yesu ni nabii wa kabila x? Hiyo ni lugha tu acha kudanganya.
 
Ni vizuri umekiri neno lilotumika ni unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you
Mwamke ndio mnamuadhibu , yani mwanaume ndio mtoa talaka , alafu mwanamke akitaka warudiane mnamlazimisha aolewe apigwe machine kwanza ndio arudi kwa mume wake wa mwanzo , kama hataki hawezi rudi , huu ni uchafu
tumemaliza hilo
Soma maandiko vizuri hapo anakuwa tayari ameshaolewa. Kingine Mwanamke anaruhusiwa kuomba talaka yaani kujivua katika ndoa ns hili lipo sana. Mwanaume ni mtoa talaka sababu sisi tumepewa usimamizi wa lazima kwa Wanawake na tusipo wasimamia vyema tunapata madhambi.

Maelezo yako ya mwisho ni upotoshaji wa wazi baada ya kushindwa hoja.
 
Nimesoma litakuja kuwa na ulimi na macho na litaongea
Jiwe la Makka hilo ? Huu ujinga mwingine. Nani amekwambia kinach ongea sharti kiwe na ulimi ?

Weka ushahidi uno onyesha ya kuwa jiwe likiongea lazima liwe na ulimi au mdomo ? Sasa usiwe mjinga kiasi hiki kwa kuufanya uelewa wako mdogo kuwa ni hoja.
 
[emoji16][emoji16]Eti dini yangu [emoji16][emoji16].Unajua dini yangu? Mimi ni muumini kufanya matendo mema na sio kufuatisha hayo maandiko as if the books are perfect.Ila hapo kwa neno Issa umepotosha ilo ni jina tu basi yesu angeendelea kuitwa Jesus.Vipi tukisema yesu ni nabii wa kabila x? Hiyo ni lugha tu acha kudanganya.
Waisrali ndio wanao mjua Yesu Kiundani kupita mtu mwingine yoyote yule.
Alizaliwa kwao.
Alihubiri Injiri kwao
Walimkamata kwao
Wakamtesa kwao
Wakamsuribisha kwao Golgota
Wakamwua kwao
Wakamzika kwao na kaburi lake lipo hadi leo ukienda watakuonesha.
Alifufuka kwao
Akapaa Mbinguni mbele ya macho yao.
Habari hizo hazipo kwenye vitabu vyao vya dini pekee.
Bali hata ktk vitabu vya Historia ya Wayahudi wenyewe.

Anazaliwa mtu huko Saudi Arabia miaka miatano baadae na anakanusha yote hayo kuhusu Yesu wa Israeli.

We kwa akili ndogo tu huoni huyo mtu alikuwa Punguani ?

Ila kwa Issa ni kweli
Issa hajateswa popote
Wala kusuribiwa
Wala kufa
Na haijulikani yuko wapi na alienda wakati gani, nani alishuhudia akienda huko aliko ?

Hebu tumia Logic japo kidogo tu kutafakari hayo maelezo utajiridhisha ulaghai uliotumika.

Yaani utafiti wa Kumjua Yesu Mwisraeli, mtu aende kusikiliza na kuamini katika vyanzo vya Waarabu?
Huyo naye bila kupepesa macho atakuwa Punguani.
 
Soma maandiko vizuri hapo anakuwa tayari ameshaolewa. Kingine Mwanamke anaruhusiwa kuomba talaka yaani kujivua katika ndoa ns hili lipo sana. Mwanaume ni mtoa talaka sababu sisi tumepewa usimamizi wa lazima kwa Wanawake na tusipo wasimamia vyema tunapata madhambi.

Maelezo yako ya mwisho ni upotoshaji wa wazi baada ya kushindwa hoja.
Kuna kitu unaficha makusudi , ila nimeshamaliza kazi , muhammad kaweka wazi mwanamke akipewa talaka haruhusiwi kurudi kwa mume wake wa mwanzo mpaka akatumike na mwanaume mwinginge kwanza
 
Jiwe la Makka hilo ? Huu ujinga mwingine. Nani amekwambia kinach ongea sharti kiwe na ulimi ?

Weka ushahidi uno onyesha ya kuwa jiwe likiongea lazima liwe na ulimi au mdomo ? Sasa usiwe mjinga kiasi hiki kwa kuufanya uelewa wako mdogo kuwa ni hoja.
Muhammad anasema jiwe siku ya mwisho litakuwa na macho mawili na ulimi na litaongea kwa kutoa ushahidi kwa wale walio ligusa
Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961
 
Soma maandiko vizuri hapo anakuwa tayari ameshaolewa. Kingine Mwanamke anaruhusiwa kuomba talaka yaani kujivua katika ndoa ns hili lipo sana. Mwanaume ni mtoa talaka sababu sisi tumepewa usimamizi wa lazima kwa Wanawake na tusipo wasimamia vyema tunapata madhambi.

Maelezo yako ya mwisho ni upotoshaji wa wazi baada ya kushindwa hoja.
Mubarridi Kwa nini mnawafanyia wanawake kama sex toys , yani hakuna kurudiana mpaka akapigwe achine na mwanaume mwingine (Uchafu huu)
  • Yani akipewa talaka akitaka kurudiana na mume wake lazima apate kwanza mwanaume mwingine wapeana utamu ndio arudi kwa mume wake wa kwanza bila hivyo hawezi kurudiana
  • Nukuu
    • "O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
    • Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
 
Duh..
Hii dini ya ajabu sana.
Nguvu zote inapeleka kwenye mitifuano tu.
Halafu mtu aki ihama eti anatakiwa achinjwe.
Kwa lipi la maana hapo.
Ni blah blah tu imejaa
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-

1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka

NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana.

Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko.

Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo

Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.

TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo.

Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha.

Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.

Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.

Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo.

Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana

Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano

Naomba kuwasilisha
Wanaume wengi wanatamani kila sketi inayopendeza, hata ukimpatia wake wanne, hawamtoshi lazima akiona mwanamke aliyeumbika kwa shepu ya Eva- atajaribu kula tunda . Hakuna dini itaweza kidhi mahitaji yote ya mwanaume. Mwanaume anatakiwa kuwa na nidhamu na kujua nafasi yake katika jamii. Hujawahi sikia baba anakula tunda la kuzaa mwenyewe - wanaume ni moto wa kuotea mbali kabisa.
 
Kuna kitu unaficha makusudi , ila nimeshamaliza kazi , muhammad kaweka wazi mwanamke akipewa talaka haruhusiwi kurudi kwa mume wake wa mwanzo mpaka akatumike na mwanaume mwinginge kwanza
Siyo mpaka akatumike tumia lugha stahiki, usahihi ni mpaka akaolewe na mume mwingine na ikitokea ameachika ndiyo huenda akarudi kwa mumeww na si kinyume chake. Hakuna kutumika ndani ya ndoa sababu ndoa ni ibada.

Kutumika ni kwenye maovu. Sasa usiwe mjinga kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom