Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Ni kumuadhibu mwanamke pasi na sababu , kuna mwanamke anaweza achika na asiwe na upendo na mwanaume mwingine na aamue kukaa bila mwanaume akisubiri warekebishe warudiane , ila allaha anakataza anasema lazima akatow utamu kwanza kwa mwanaume mwingine ndio warudiane, ili tumemaliza na ni uchafu wa hali ya juu
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Huko si kumuadhibu sababu kunaangaliwa usalama wake Mwanamke mpaka anaachwa ujue mume hana shida naye tena.

Kingine huyo Mwanamke akiachika anaweza akampenda mwingine zaidi ya juyo aliye muacha. Hapa usilete dhana, sababu haya yapo.
 
Sawa umejaribu kueleza vizuri.

Hadi hapo inaonesha Mke aliyeachwa na Mumewe ananyimwa haki zake za msingi.

Ili amrudie ni lazima Mke aolewe na Mume mwingine aachike ndio anaweza kurudiwa na Mumewe.

Hapo tuchukulie Mke alikuwa anampenda mumewe wakati anaachika kwakuwa talaka katoa Mume.

Sasa kama hali ya sasa unayoiona wanaume ni wengi kuliko wanawake na pia wanawake wengi bado hawajaolewa.

Ni vipi ikiwa huyo Mke mtalikiwa akakosa Mume wa kumwoa baada ya talaka na alikuwa anampenda mumewe bado ?

Itakuwaje kama Mume wa kwanza akaamua kumrudia mkewe aliyeolewa na mume mwingine na huyo mume akawa hataki kutoa talaka kwa mke mtalikiwa, ?

Ikiwa mke anampenda bado na anataka kurudiana na mume wake wa mwanzo je mume wa pili atalazimishwa kutoa talaka ?
Nimeeleza vizuri kuhusu jambo la talaka hapo juu.. mlolongo mzima wa talaka inavyoenda katika uislamu, unaonekana husomi.. narudia kwa faida yako na wengine:
Talaka katika uislamu ni MARA TATU,na sio TALAKA TATU kama wengi mjuavyo..

Mtu anapopewa talaka kwa MARA YA KWANZA,haruhusiwi kuondoka nyumbani kwa mumewe mpaka ipite miezi mitatu, na muda huu mke hana hiyari endapo mume atataka kumrudia..na mume anawajibika kumuhudumia kwa muda wote huo.

Akimrudia baada ya talaka ya kwanza, akamuacha tena TALAKA YA PILI, utaratibu ni huohuo kama wa talaka ya kwanza.
Akimrudia tena na kumuacha kwa mara ya tatu, hapo ndipo ambapo mume anapoteza haki za kumrudia tena.. kwakua hii itaenda kumdhalilisha zaidi mwanamke.. na huenda mwanaume akawa anafanya mchezo kwa kumuacha na kumrudia.. ndipo anapopewa ban huyu mume, aache mke akaolewe na mume mwengine.. hii ni ngumu kuelewa pia?
 
Sawa umejaribu kueleza vizuri.

Hadi hapo inaonesha Mke aliyeachwa na Mumewe ananyimwa haki zake za msingi.

Ili amrudie ni lazima Mke aolewe na Mume mwingine aachike ndio anaweza kurudiwa na Mumewe.

Hapo tuchukulie Mke alikuwa anampenda mumewe wakati anaachika kwakuwa talaka katoa Mume.

Sasa kama hali ya sasa unayoiona wanaume ni wengi kuliko wanawake na pia wanawake wengi bado hawajaolewa.

Ni vipi ikiwa huyo Mke mtalikiwa akakosa Mume wa kumwoa baada ya talaka na alikuwa anampenda mumewe bado ?

Itakuwaje kama Mume wa kwanza akaamua kumrudia mkewe aliyeolewa na mume mwingine na huyo mume akawa hataki kutoa talaka kwa mke mtalikiwa, ?

Ikiwa mke anampenda bado na anataka kurudiana na mume wake wa mwanzo je mume wa pili atalazimishwa kutoa talaka ?
Uislam ni dini inayolinda haki za kila mmoja kwenye kila jambo. Talaka ametoa mwanaume, sawa.. na mke bado anampenda mumewe.. kwahiyo ww umeangalia haki moja tu ya mke kumpenda mumewe lakni hujaangalia udhalilishaji ambao huyu mume anaufanya kwa kumrudia na kumuacha kiholela huyu mke mpaka mara zote tatu?!
Yaani mtu akuache mara 3 halafu useme bado anakupenda?! Mapenzi gani hayo?! Usichukie dini, angalia facts
 
Nenda kasome hicho kisa nimeweka , mwanamke alilazimika kwenda kwa mwanaume mwingine maana alikuwa anataka kurudi kwa mume wake wa kwanza , mwanamke akaona asitoe utamu maaana anataka kurudi kwa mume wake wa mwanzo , huyu abdul akawa anampiga sana kwa nini anamnyima
wwalivyo enda kwa muhammad, muhammad akasema lazima jamaa apige machine ndio urudi kwa mume wako
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 5825
 
Mungu ametupa akili kwa sababu.. Zamani ulikua huwezi to dare kuhoji wala kuuliza na mimi kama muilsm na nimezaliwa kwenye uislam nakubali kuwa dini yetu ina contradictions nyingi pia. Mwisho wa siku nitabaki kuwa Muislam sababu ndio dini niliozaliwa nayo na kurithishwa ila lazima nitumie akili Mungu alienipa ku question kitu ambacho nakiona hakipo sawa.
Usia wangu kwako ni ule ule, kuisoma Dini kwanza.
 
Mwambie tena labda atakusikiliza mana yy kashikilia na fact zake za mtandaoni bila ya kujua kua maadui wa Uislamu wapo wengi huko mitandaoni na fake website zao
Hii Dini (Uislam) ni Ilmu iliyohifadhiwa. Asidhani Qur'an iliteremshwa tu watu wakajichukulia wajisomee wenyewe. Imeteremshwa hii Qur'an pamoja na Mtume ili awafundishe watu na awafafanulie.
 
Yaani Waislamu mpo radhi kabisa kushiriki dini moja na Majini ?
Kuswali nayo Misikitini
Mko radhi kabisa?

Majini hayahaya tunayoyasikia yanakuja kutubu Misikitini na nyinyi mnaona kawaida tu.

Kila nikifikiria hii hiari nabaki nashindwa kuuelewa Uislamu.

Sijui nikiuliza hivi ndio nakashifu dini ama vipi.
Makundi ya Majini kwa siku mala tano kuswali nayo pamoja Msikitini.[emoji83]☻[emoji48][emoji90][emoji84]
Na maisha yanaendelea kawaida tu...!
 
Akili za kuambiwa changanya na zako bahati nzuri sisi hatufuati matamanio ya nafsi zetu bali tunaangalia tulichoamrishwa

Sisi sio wale wa kuwasingizia mitume wa Mungu kua wamezini mara Mungu yesu mara mwana wa Mungu ata hamueleweki kiukweli kwaio kitulize tu wewe kma hujui kitu katika Uislamu

Hii sio dini ya kusomewa aya 3 au 2 tena kwa wiki mara.1 hlf mkatoleshwa sadaka huku mkitajirisha wenzenu nyie mkifa njaa

Tafakari vizuri juu ya nn Maana ya Uislamu na Ukristo
 
Hii Dini (Uislam) ni Ilmu iliyohifadhiwa. Asidhani Qur'an iliteremshwa tu watu wakajichukulia wajisomee wenyewe. Imeteremshwa hii Qur'an pamoja na Mtume ili awafundishe watu na awafafanulie.
Tatizo watu wengi hawapendi kusoma dini yao
Apo nilimuuliza swali dogo tuu ivi ushawahi kuona doctor alosoma google? inshort hakunijibu lile swali sasa kma dr wa.google sasa utafahamu vipi dini yako kma hujapiga goti?
 
Yaani Waislamu mpo radhi kabisa kushiriki dini moja na Majini ?
Kuswali nayo Misikitini
Mko radhi kabisa?

Majini hayahaya tunayoyasikia yanakuja kutubu Misikitini na nyinyi mnaona kawaida tu.

Kila nikifikiria hii hiari nabaki nashindwa kuuelewa Uislamu.

Sijui nikiuliza hivi ndio nakashifu dini ama vipi.
Makundi ya Majini kwa siku mala tano kuswali nayo pamoja Msikitini.[emoji83]☻[emoji48][emoji90][emoji84]
Na maisha yanaendelea kawaida tu...!
Vipi kuhusu Mapepo Kanisani?
 
Nenda kasome hicho kisa nimeweka , mwanamke alilazimika kwenda kwa mwanaume mwingine maana alikuwa anataka kurudi kwa mume wake wa kwanza , mwanamke akaona asitoe utamu maaana anataka kurudi kwa mume wake wa mwanzo , huyu abdul akawa anampiga sana kwa nini anamnyima
wwalivyo enda kwa muhammad, muhammad akasema lazima jamaa apige machine ndio urudi kwa mume wako
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 5825
Hiki kitu kinachoitwa "mume wake" unachokisema hapa sikuelewi. Uislam hauna maisha ya pingu za maisha. Mtu akishakuacha maanake huyo si mumeo tena. Aliyekuoa ana haki ya kupata tendo la ndoa ndio ukamilifu wa ndoa wenyewe.. sasa mtu kaachika halafu bado unaita mumewe tena??;
 
Tatizo watu wengi hawapendi kusoma dini yao
Apo nilimuuliza swali dogo tuu ivi ushawahi kuona doctor alosoma google? inshort hakunijibu lile swali sasa kma dr wa.google sasa utafahamu vipi dini yako kma hujapiga goti?
Naam ni kusoma. Yeye na Sisi tunatakiwa kusoma Dini yetu. Nimesoma baadhi ya Comments zake. Mara anakataa Hadith kabisa, anafuata Qur'an tu sehemu nyengine anakuambia Dini imefundisha tutafute Elimu hata ikiwa China sasa sijui maneno haya kayatoa sehemu gani katika Qur'an (maana hayapo katika Qur'an na wala sio Hadith). Mara baadhi ya "Wanachuoni wakubwa" wanakataa Hadith (hawataji majina). Mara aandike Hadith zimeandikwa na watu miaka 300 baada ya Mtume, sijui kaokota wapi hii.

Sunnah imeanza kuwekwa katika Maandishi tokea wakati wa Maswahaba, bali Mtume mwenyewe akiwa hai. Wengi waliihifadhi vifuani mwao. Ila kadri muda ulivyokwenda ndio kukawa na haja ya kuihifadhi Sunnah kwa namna madhubuti hasa baada ya kuibuka na kuongezeka Wazushi na Waongo, Fitna, nk. Ndio zikafanyika juhudi kutoka kwa Wanachuoni waliojitolea Uhai wao wote kuikusanya, kuihakiki (kwa kutumia misingi na kanuni madhubuti) na kuihifadhi Sunnah sahihi. Na Misingi ya Kielimu ikawekwa na Fani zikachipua ili kuhakiki na kuchuja Sunnah Sahihi na kubainisha Uzushi na Uongo. Mpaka leo ikaweza kujulikana kwamba hiki kimethibiti na hiki hakijathibiiti tena sio kwa matamanio ya Nafsi, bali kwa kufuata misingi na masharti ya Kielimu.

Tunatakiwa kuisoma hii Dini.

Cc Mubarridi
 
Vipi kuhusu Mapepo Kanisani?
Mapepo kanisani unaona kabisa watu wanapandisha na tunayakemea yawatoke.
Hayo ni yamewaingia watu kwa kurushiwa na wabaya wao au kumwingia mtu bila ridhaa yake na watu hao wanakuja Makanisani ili waombewe watokwe na hayo mapepo, kama alivyofanya kiongozi wetu Yesu Kristo.
Na wala mapepo sio Makristo.
Ila kwa upande wa Ninyi wenzetu habari haipo hivyo.
Hayo mapepo tunayoyakemea Makanisani nyumba yao ya Ibada ni Msikiti.

Ilitolewa mada humu, baadhi ya Mashehe walikiri kabisa kuwa Majini ni Maislamu na yanashiriki nguzo zote za Kiislamu pamoja na Waislamu watu.
Mada hii haielezwi sana kwa Waislamu ndio maana baadhi yao wakisikia wanakasirika.
Mashehe wengi wanakiri kuwa baada ya kusomea Uislamu wanafika mahali inawalazimu kusoma somo maalum la kuwafahamu Waislamu wenzao Majini, na namna ya kushirikiana nao katika hatua zote za ibada za Kiislamu.
Maana wanashiriki nao kwenye dini na tunaona Nabii Muhammadi aliwasilimisha makundi na makundi ya Majini kuwa Waislamu.

Hivi nyinyi waislamu mnaridhika kabisa kujumuika na Majini kwenye dini moja ?
 
Wanawake wenu siku hizi hawataki wake wenza,nimeona mifano mingi ya marafiki zangu akitaka kuongeza mke inakua issue japo uwezo huo anao...wanawake wa kizazi hiki ataomba talaka aondoke yeye
Uislam ndio dini pekee ilio weka mikakati mizuli kila sekta kama ukifatilia vizuri vitabu maisha tunayoishi kama tungefuata talatibu za kiislam bc tungeishi vizur xna
 
Hiki kitu kinachoitwa "mume wake" unachokisema hapa sikuelewi. Uislam hauna maisha ya pingu za maisha. Mtu akishakuacha maanake huyo si mumeo tena. Aliyekuoa ana haki ya kupata tendo la ndoa ndio ukamilifu wa ndoa wenyewe.. sasa mtu kaachika halafu bado unaita mumewe tena??;
ALItaka kurudiana akaambia haiwezekani mpaka aolewe na mwanaume mwingine, akakubali ili aweze kurudi kwa mume wake wa mwanzo , alivyo fika huko akawa hampi maana aliolewa kwa kulazimishwa na Sheria alizo weka Muhammad , Muhammad akamwambia hawezi kurudi kwa mume wa mwanzo mpaka jamaa ale mzigo kwanza
 
Naam ni kusoma. Yeye na Sisi tunatakiwa kusoma Dini yetu. Nimesoma baadhi ya Comments zake. Mara anakataa Hadith kabisa, anafuata Qur'an tu sehemu nyengine anakuambia Dini imefundisha tutafute Elimu hata ikiwa China sasa sijui maneno haya kayatoa sehemu gani katika Qur'an (maana hayapo katika Qur'an na wala sio Hadith). Mara baadhi ya "Wanachuoni wakubwa" wanakataa Hadith (hawataji majina). Mara aandike Hadith zimeandikwa na watu miaka 300 baada ya Mtume, sijui kaokota wapi hii.

Sunnah imeanza kuwekwa katika Maandishi tokea wakati wa Maswahaba, bali Mtume mwenyewe akiwa hai. Wengi waliihifadhi vifuani mwao. Ila kadri muda ulivyokwenda ndio kukawa na haja ya kuihifadhi Sunnah kwa namna madhubuti hasa baada ya kuibuka na kuongezeka Wazushi na Waongo, Fitna, nk. Ndio zikafanyika juhudi kutoka kwa Wanachuoni waliojitolea Uhai wao wote kuikusanya, kuihakiki (kwa kutumia misingi na kanuni madhubuti) na kuihifadhi Sunnah sahihi. Na Misingi ya Kielimu ikawekwa na Fani zikachipua ili kuhakiki na kuchuja Sunnah Sahihi na kubainisha Uzushi na Uongo. Mpaka leo ikaweza kujulikana kwamba hiki kimethibiti na hiki hakijathibiiti tena sio kwa matamanio ya Nafsi, bali kwa kufuata misingi na masharti ya Kielimu.

Tunatakiwa kuisoma hii Dini.

Cc Mubarridi
Umesema kweli kabisa. Watu Dini wanaichukulia kirahisi rahisi sana, wakati watu wametumia miaka na mikaka kuipigania hii dini.

Allah atuwafikishe tuzidi kuisoma dini yetu na kuifanya kazi.

Shukrani kaka.
 
Mbona Allah kaweka wazi kabisa
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Kama kuna janga ambalo Waislamu watakuja kulijutia siku za Mwisho ni kukubali bila kuhoji kitendo cha Mtume wao Muhammadi kuwaingiza katika Dini ya Majini.

Au nisema kitendo cha kuwakaribisha Majini wote katika Dini ya Kiislamu.
Hapa nimeshindwa kutanabaishwa tu kuwa ni nani hasa alianza kuwa Mwislamu kati ya Watu na Majini.

Mi nina uhakika kabisa hata aliyemtokea Mtume kule pangoni na bila kujitambulisha akaanza kumkaba kikatili hadi akaugua na kumlazimisha kusoma alikuwa Jinni mkuu.

Ni Jinni huyohuyo aliye walaghai hadi walisujudie na kuliabudu Jiwe Jeusi la Maka.

Na Waislamu hawataki kabisa kuhoji hili tatizo. Ukiwaambia wanabaki kukasirika tu.

Mimi mwenyewe nikiwa Mkatoriki wakati huo nilihoji sana Ibada za Bikira Maria na mambo ya kuvaa rozali hadi nikaamua kuachana na Ukatoriki nilipoona nashindwa kupewa jibu la kuniridhisha.

Ni muda sasa kwa Waislamu wenye ulewa kukataa ibada za Majini za kusujudia Jiwe la maka na kuwaabudu miungu ya Uza, Lutta na Manata.

Wanakengeuka namna gani hawa ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ngoja waje kukuita kafiri.
 
Back
Top Bottom