Huko si kumuadhibu sababu kunaangaliwa usalama wake Mwanamke mpaka anaachwa ujue mume hana shida naye tena.Ni kumuadhibu mwanamke pasi na sababu , kuna mwanamke anaweza achika na asiwe na upendo na mwanaume mwingine na aamue kukaa bila mwanaume akisubiri warekebishe warudiane , ila allaha anakataza anasema lazima akatow utamu kwanza kwa mwanaume mwingine ndio warudiane, ili tumemaliza na ni uchafu wa hali ya juu
"O Messenger of Allah, she is lying; he is having intercourse with her, but she wants to go back to her first husband." The Messenger of Allah said: "She cannot do that until she tastes his sweetness." Sunan an-Nasa'i 3413
Kingine huyo Mwanamke akiachika anaweza akampenda mwingine zaidi ya juyo aliye muacha. Hapa usilete dhana, sababu haya yapo.