Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

MUTAH ni kuchukua mwanamke kwa siku kadhaa na umlipe kwa mapatano , inaweza kuwa siku tatu na mkitaka mnaweza ongeza , sio kwa shia tu ipo pia kwa sunn
Hi inatofauti gani na uasherati...
 
Msaidie kafiri mwenzako kwanza​

1 Wakorintho​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
AAAh mzee ukafiri umetoka wapi?? Mimi najua kafiri ni mtu yoyote asiyefirwa...kinyume cha kafiri ni kafirwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakibadilisha Sana Hicho kisa Chako Mpaka Umeamua Sasa Utunge Chako Kafiri Wa Kishetani

We Kilete kwa kiswahili Basi Kwani Kuna kichaka gani Hapo unajificha hutaki tusome Wengi huku Hawajui English..
Kitabu nachosoma ni Cha kingereza sasa

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960

Pinga hapa ka muhammad hajasema devil ame submit na akasema shahada ?
 
AAAh mzee ukafiri umetoka wapi?? Mimi najua kafiri ni mtu yoyote asiyefirwa...kinyume cha kafiri ni kafirwa

1 Wakorintho​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.

Punguza hasira we kafiri
 
Tuache kuwa hujui kiarabu wala maana ya Qareen kama ilivyotajwa kwenye hadith.

Ikiwa kama wewe ni mkweli hebu tupe andiko iwe kwenye Quran au hadith linalosema Mungu amewapa kazi majini/mashetani wawalinde waislam.
Nimekuwekea mpaka Hadith number nenda kajiridhishe , ujionee devil kasema shahada
 
We Kafiri Hicho unachokileta Wewe Kama kweli ndio ushahidi wa haya maneno yako hapa [emoji116] Na Huwezi kukileta kwa kiswahili na hakipo katika Qur'an Basi hakuna haja ya kuendelea na Mdahalo Kwakua Hakina Tafsiri so ni mafunzo fake yasiyofaa kutafsiriwa ndio Maana hutaki kuyatafsiri.pView attachment 2121140
Nimeshakwambia kama wewe unapinga Hadith weka wazi? Kwamba haukubali Hadith zote
 
Haina Tofauti Bali Ni Uasherati kabisa ndio Maana UISLAM ulikataza Hilo Jambo.. kwakua katika Historia liliwahi kuwa Ndio wapotoshaji wanatumia Kupotosha Watu ilihali wanajua katika UISLAM halipo Hata wewe Naamini Nikikuuliza umewahi ona Muislam anafanya hivyo au kusapoti hivyo hautampata..

Hilo Jamba Ni mfano wa Mambo wanayofanya mashahidi wa yehova katika Ukristo. Je tuwahukumu Wakristo Wote kwa Mufundisho Ya Mashahidi Wa Jehova..? Kuwa Hakuna Moto Wala Ufufuo Nk..?
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad mbele za watu , yeye ndio aliamrisha mutah alaweka wazi unachukua mwanamke siku tatu ukitaka kuongeza unaweza ongeza siku

Soma Sana maandiko Yako
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Heshimu maandiko Yako na maneno ya mtume wako ambayo ni maagizo ya allah
 
Uzi huu umegeuka kuwa uwanja wa mabishano.
 
H
"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960

Hapa Muhammad anakiri shaitan ambae yupo nae Kawa muislamu
Hadith haijasema kila muislam ila Mtume Muhammad s a.w amesema kuwa kila mwanadamu anaezaliwa huwa na huyu Qareen ( jini/sheytwaan) ambae kazi yake anapewa na iblis ili kumchochea mwanadamu atende maasi tu mpaka kufa kwake.

Qareen hamlindi mwanadamu , kazi yake ni kumpotosha mwanadamu kwa kumshawishi atende maovu, sawa?

ALLAH humpa ulinzi kila mwanadamu anapozaliwa huwa kuna kundi la malaika anaambatana nalo kuhakikisha hakuna kiumbe chochote /shari yoyote ( iwe uchawi, mnyama, jini, mdudu,ajali n.k) itakayomdhuru mwanadamu huyu mpaka ALLAH aridhie. Ndio maana unaona mtu anaweza akapona peke yake kwenye ajali ya gari huku wenzake wakifa, hapa malaika wanahakikisha kuwa huyu kiumbe hapati dhara lolote kwakuwa Mungu hajaridhia afe.

Qareen ni jini/shetani na anauwezo wa kutembea katika mishipa ya damu ya mwili wa binadamu kumshawishi atende maovu.

ALLAH alijaalia Qareen wa Mtume Muhammad kuwa ni muislam kwa maana kuwa Mtume amesalimika juu ya sifa mbaya ya kumuasi ALLAH. Qareen wake alikuwa akimuhimiza kutenda mema tu.

Ila kwa wanaadamu wengine wote tupo katika vita dhidi ya Qareen kuhakikisha kuwa tunashinda whispers (miluzi yake) ambayo inalenga kutushawishi kumuasi Mungu.

So yes, Mimi, wewe (Mkristo) , Baba yako, Mama yako ,bibi yako wote tunao hawa Qareen. Iwe ni muislam au sio muislam as long as wewe ni mwanadamu ujue unae huyu kiumbe wa kijini ambae anakazi moja tu ya kukushawishi utende maovu kuanzia unazaliwa mpaka pale utakapokufa. Sawa!
 
Na wewe pinga hii Katika Biblia mapepo hayakuwafunza UKAFIRI wa kumuita Yesu mwaña Wa MUNGU...

Luka 4:41

Pepo waliwatoka watu wengi, wakapiga kelele wakisema: “Wewe ni Mwana wa Mungu!”
Siwezi kupinga maandiko yangu , ni kweli mapepo yalikuwa yanafahamu wazi Yesu ni nani

Huku yakiwa yanatokea huku
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
AAAh mzee ukafiri umetoka wapi?? Mimi najua kafiri ni mtu yoyote asiyefirwa...kinyume cha kafiri ni kafirwa
Na wewe piani SHETANI KWA HERUFI KUBWA. Maana ni mpotoshaji.
Maana ya Kafiri kwa mujibu wa Bibilia soma 1:4. YUDA.
Utajua jinsi ulivyo kafiri.
 
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad mbele za watu , yeye ndio aliamrisha mutah alaweka wazi unachukua mwanamke siku tatu ukitaka kuongeza unaweza ongeza siku

Soma Sana maandiko Yako
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Heshimu maandiko Yako na maneno ya mtume wako ambayo ni maagizo ya allah

Sheria ya Mut'ah ilikuwepo mwanzoni katika uislam, ni ndoa ya mkataba baina yako na mwanamke kwa muda fulani, hii iliwekwa kuwasaidia wapiganaji wa kiislam walipokuwa wakienda masafa ya mbali kupigana vita, kutokana na kukaa mbali na wake zao wakaruhusiwa kuoa mateka wa kike kwa kipindi maalumu.

Baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa!
Mleta hoja huna hoja!Kwani hata sasa hivi ndoa hizi za kimikataba zinaendelea hapa duniani ila huoneshwi kuzishangaa mnaita ndoa za bomani.
 
H

Hadith haijasema kila muislam ila Mtume Muhammad s a.w amesema kuwa kila mwanadamu anaezaliwa huwa na huyu Qareen ( jini/sheytwaan) ambae kazi yake anapewa na iblis ili kumchochea mwanadamu atende maasi tu mpaka kufa kwake.

Qareen hamlindi mwanadamu , kazi yake ni kumpotosha mwanadamu kwa kumshawishi atende maovu, sawa?

ALLAH humpa ulinzi kila mwanadamu anapozaliwa huwa kuna kundi la malaika anaambatana nalo kuhakikisha hakuna kiumbe chochote /shari yoyote ( iwe uchawi, mnyama, jini, mdudu,ajali n.k) itakayomdhuru mwanadamu huyu mpaka ALLAH aridhie. Ndio maana unaona mtu anaweza akapona peke yake kwenye ajali ya gari huku wenzake wakifa, hapa malaika wanahakikisha kuwa huyu kiumbe hapati dhara lolote kwakuwa Mungu hajaridhia afe.

Qareen ni jini/shetani na anauwezo wa kutembea katika mishipa ya damu ya mwili wa binadamu kumshawishi atende maovu.

ALLAH alijaalia Qareen wa Mtume Muhammad kuwa ni muislam kwa maana kuwa Mtume amesalimika juu ya sifa mbaya ya kumuasi ALLAH. Qareen wake alikuwa akimuhimiza kutenda mema tu.

Ila kwa wanaadamu wengine wote tupo katika vita dhidi ya Qareen kuhakikisha kuwa tunashinda whispers (miluzi yake) ambayo inalenga kutushawishi kumuasi Mungu.

So yes, Mimi, wewe (Mkristo) , Baba yako, Mama yako ,bibi yako wote tunao hawa Qareen. Iwe ni muislam au sio muislam as long as wewe ni mwanadamu ujue unae huyu kiumbe wa kijini ambae anakazi moja tu ya kukushawishi utende maovu kuanzia unazaliwa mpaka pale utakapokufa. Sawa!
Kwangu hivyo viumbe tayari vinalaana na adhabu Yao ilishapitishwa ,
Nyie ndio mmewekewa companion ya devil
 
Sheria ya Mut'ah ilikuwepo mwanzoni katika uislam, ni ndoa ya mkataba baina yako na mwanamke kwa muda fulani, hii iliwekwa kuwasaidia wapiganaji wa kiislam walipokuwa wakienda masafa ya mbali kupigana vita, kutokana na kukaa mbali na wake zao wakaruhusiwa kuoa mateka wa kike kwa kipindi maalumu.

Baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa!
Mleta hoja huna hoja!Kwani hata sasa hivi ndoa hizi za kimikataba zinaendelea hapa duniani ila huoneshwi kuzishangaa mnaita ndoa za bomani.
Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatu

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Nimekuwekea mpaka Hadith number nenda kajiridhishe , ujionee devil kasema shahada
Sijakupinga juu ya hilo...qareen ni jini na jini anaweza akawa na sifa ya uislam au akawa hana sifa ya uislam (kafir/shetani). Sasa kuna ajabu gani kumuona jini mwenye sifa ya ushetani akaamua kusilimu kuwa muislam na kuachana na ushetani!

Shida nini hapa inayokufanya huelewi! Je mwanamke kahaba kafungiwa na milango na Mungu kuwa asiweze kuacha ukahaba na kumrudia Mungu?
 
Kwangu hivyo viumbe tayari vinalaana na adhabu Yao ilishapitishwa ,
Nyie ndio mmewekewa companion ya devil
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah)
 
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah
Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatu

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Sema sasa uelimishwe uelewe ..Wewe Uislamu huujui.

It was narrated from ‘Ali (may Allaah be pleased with him) that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) forbade mut’ah marriage and the meat of domestic donkeys at the time of Khaybar. According to another report, he forbade mut’ah marriage at the time of Khaybar and he forbade the meat of tame donkeys.

Narrated by al-Bukhaari, 3979; Muslim, 1407.
 
Sheria ya Mut'ah ilikuwepo mwanzoni katika uislam, ni ndoa ya mkataba baina yako na mwanamke kwa muda fulani, hii iliwekwa kuwasaidia wapiganaji wa kiislam walipokuwa wakienda masafa ya mbali kupigana vita, kutokana na kukaa mbali na wake zao wakaruhusiwa kuoa mateka wa kike kwa kipindi maalumu.

Baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa!
Mleta hoja huna hoja!Kwani hata sasa hivi ndoa hizi za kimikataba zinaendelea hapa duniani ila huoneshwi kuzishangaa mnaita ndoa za bomani.
Hawa hapa mpaka Muhammad kafa walikuwa wanapiga mutah kama kawaida

....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah)
NDio maana nimeweka wazi hao viumbe mpo nao waislamu kwa mujibu wa mafundisho yenu , devil ni companion kwenu
 
Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatu

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Mut'ah ni ndoa ya muda mfupi mwanzo ilikuwa halali wapiganaji wakienda vitani akimuona mwanamke na kavutiwa nae, anamlipa mahari yake then wanakubaliana kuwa ndoa ile idumu kwa muda gani! Baada ya huo muda kuisha na ndoa inakuwa imekufa ila baadae ndoa ya mut'ah ilikuja kuharamishwa pamoja na kula nyama za punda!! Hadithi zipi wazi kabisa.

Back
Top Bottom