gwela2003
JF-Expert Member
- Mar 15, 2015
- 1,210
- 1,089
Hi inatofauti gani na uasherati...MUTAH ni kuchukua mwanamke kwa siku kadhaa na umlipe kwa mapatano , inaweza kuwa siku tatu na mkitaka mnaweza ongeza , sio kwa shia tu ipo pia kwa sunn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi inatofauti gani na uasherati...MUTAH ni kuchukua mwanamke kwa siku kadhaa na umlipe kwa mapatano , inaweza kuwa siku tatu na mkitaka mnaweza ongeza , sio kwa shia tu ipo pia kwa sunn
AAAh mzee ukafiri umetoka wapi?? Mimi najua kafiri ni mtu yoyote asiyefirwa...kinyume cha kafiri ni kafirwaMsaidie kafiri mwenzako kwanza
1 Wakorintho
25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Kitabu nachosoma ni Cha kingereza sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakibadilisha Sana Hicho kisa Chako Mpaka Umeamua Sasa Utunge Chako Kafiri Wa Kishetani
We Kilete kwa kiswahili Basi Kwani Kuna kichaka gani Hapo unajificha hutaki tusome Wengi huku Hawajui English..
Nimekuwekea mpaka Hadith number nenda kajiridhishe , ujionee devil kasema shahadaTuache kuwa hujui kiarabu wala maana ya Qareen kama ilivyotajwa kwenye hadith.
Ikiwa kama wewe ni mkweli hebu tupe andiko iwe kwenye Quran au hadith linalosema Mungu amewapa kazi majini/mashetani wawalinde waislam.
Nimeshakwambia kama wewe unapinga Hadith weka wazi? Kwamba haukubali Hadith zoteWe Kafiri Hicho unachokileta Wewe Kama kweli ndio ushahidi wa haya maneno yako hapa [emoji116] Na Huwezi kukileta kwa kiswahili na hakipo katika Qur'an Basi hakuna haja ya kuendelea na Mdahalo Kwakua Hakina Tafsiri so ni mafunzo fake yasiyofaa kutafsiriwa ndio Maana hutaki kuyatafsiri.pView attachment 2121140
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad mbele za watu , yeye ndio aliamrisha mutah alaweka wazi unachukua mwanamke siku tatu ukitaka kuongeza unaweza ongeza sikuHaina Tofauti Bali Ni Uasherati kabisa ndio Maana UISLAM ulikataza Hilo Jambo.. kwakua katika Historia liliwahi kuwa Ndio wapotoshaji wanatumia Kupotosha Watu ilihali wanajua katika UISLAM halipo Hata wewe Naamini Nikikuuliza umewahi ona Muislam anafanya hivyo au kusapoti hivyo hautampata..
Hilo Jamba Ni mfano wa Mambo wanayofanya mashahidi wa yehova katika Ukristo. Je tuwahukumu Wakristo Wote kwa Mufundisho Ya Mashahidi Wa Jehova..? Kuwa Hakuna Moto Wala Ufufuo Nk..?
Hadith haijasema kila muislam ila Mtume Muhammad s a.w amesema kuwa kila mwanadamu anaezaliwa huwa na huyu Qareen ( jini/sheytwaan) ambae kazi yake anapewa na iblis ili kumchochea mwanadamu atende maasi tu mpaka kufa kwake."I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
Hapa Muhammad anakiri shaitan ambae yupo nae Kawa muislamu
Siwezi kupinga maandiko yangu , ni kweli mapepo yalikuwa yanafahamu wazi Yesu ni naniNa wewe pinga hii Katika Biblia mapepo hayakuwafunza UKAFIRI wa kumuita Yesu mwaña Wa MUNGU...
Luka 4:41
Pepo waliwatoka watu wengi, wakapiga kelele wakisema: “Wewe ni Mwana wa Mungu!”
Na wewe piani SHETANI KWA HERUFI KUBWA. Maana ni mpotoshaji.AAAh mzee ukafiri umetoka wapi?? Mimi najua kafiri ni mtu yoyote asiyefirwa...kinyume cha kafiri ni kafirwa
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad mbele za watu , yeye ndio aliamrisha mutah alaweka wazi unachukua mwanamke siku tatu ukitaka kuongeza unaweza ongeza siku
Soma Sana maandiko Yako
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Heshimu maandiko Yako na maneno ya mtume wako ambayo ni maagizo ya allah
Kwangu hivyo viumbe tayari vinalaana na adhabu Yao ilishapitishwa ,H
Hadith haijasema kila muislam ila Mtume Muhammad s a.w amesema kuwa kila mwanadamu anaezaliwa huwa na huyu Qareen ( jini/sheytwaan) ambae kazi yake anapewa na iblis ili kumchochea mwanadamu atende maasi tu mpaka kufa kwake.
Qareen hamlindi mwanadamu , kazi yake ni kumpotosha mwanadamu kwa kumshawishi atende maovu, sawa?
ALLAH humpa ulinzi kila mwanadamu anapozaliwa huwa kuna kundi la malaika anaambatana nalo kuhakikisha hakuna kiumbe chochote /shari yoyote ( iwe uchawi, mnyama, jini, mdudu,ajali n.k) itakayomdhuru mwanadamu huyu mpaka ALLAH aridhie. Ndio maana unaona mtu anaweza akapona peke yake kwenye ajali ya gari huku wenzake wakifa, hapa malaika wanahakikisha kuwa huyu kiumbe hapati dhara lolote kwakuwa Mungu hajaridhia afe.
Qareen ni jini/shetani na anauwezo wa kutembea katika mishipa ya damu ya mwili wa binadamu kumshawishi atende maovu.
ALLAH alijaalia Qareen wa Mtume Muhammad kuwa ni muislam kwa maana kuwa Mtume amesalimika juu ya sifa mbaya ya kumuasi ALLAH. Qareen wake alikuwa akimuhimiza kutenda mema tu.
Ila kwa wanaadamu wengine wote tupo katika vita dhidi ya Qareen kuhakikisha kuwa tunashinda whispers (miluzi yake) ambayo inalenga kutushawishi kumuasi Mungu.
So yes, Mimi, wewe (Mkristo) , Baba yako, Mama yako ,bibi yako wote tunao hawa Qareen. Iwe ni muislam au sio muislam as long as wewe ni mwanadamu ujue unae huyu kiumbe wa kijini ambae anakazi moja tu ya kukushawishi utende maovu kuanzia unazaliwa mpaka pale utakapokufa. Sawa!
Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatuSheria ya Mut'ah ilikuwepo mwanzoni katika uislam, ni ndoa ya mkataba baina yako na mwanamke kwa muda fulani, hii iliwekwa kuwasaidia wapiganaji wa kiislam walipokuwa wakienda masafa ya mbali kupigana vita, kutokana na kukaa mbali na wake zao wakaruhusiwa kuoa mateka wa kike kwa kipindi maalumu.
Baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa!
Mleta hoja huna hoja!Kwani hata sasa hivi ndoa hizi za kimikataba zinaendelea hapa duniani ila huoneshwi kuzishangaa mnaita ndoa za bomani.
Sijakupinga juu ya hilo...qareen ni jini na jini anaweza akawa na sifa ya uislam au akawa hana sifa ya uislam (kafir/shetani). Sasa kuna ajabu gani kumuona jini mwenye sifa ya ushetani akaamua kusilimu kuwa muislam na kuachana na ushetani!Nimekuwekea mpaka Hadith number nenda kajiridhishe , ujionee devil kasema shahada
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah)Kwangu hivyo viumbe tayari vinalaana na adhabu Yao ilishapitishwa ,
Nyie ndio mmewekewa companion ya devil
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnahKwangu hivyo viumbe tayari vinalaana na adhabu Yao ilishapitishwa ,
Nyie ndio mmewekewa companion ya devil
Sema sasa uelimishwe uelewe ..Wewe Uislamu huujui.Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatu
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Hawa hapa mpaka Muhammad kafa walikuwa wanapiga mutah kama kawaidaSheria ya Mut'ah ilikuwepo mwanzoni katika uislam, ni ndoa ya mkataba baina yako na mwanamke kwa muda fulani, hii iliwekwa kuwasaidia wapiganaji wa kiislam walipokuwa wakienda masafa ya mbali kupigana vita, kutokana na kukaa mbali na wake zao wakaruhusiwa kuoa mateka wa kike kwa kipindi maalumu.
Baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa!
Mleta hoja huna hoja!Kwani hata sasa hivi ndoa hizi za kimikataba zinaendelea hapa duniani ila huoneshwi kuzishangaa mnaita ndoa za bomani.
NDio maana nimeweka wazi hao viumbe mpo nao waislamu kwa mujibu wa mafundisho yenu , devil ni companion kwenuKwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah)
Mut'ah ni ndoa ya muda mfupi mwanzo ilikuwa halali wapiganaji wakienda vitani akimuona mwanamke na kavutiwa nae, anamlipa mahari yake then wanakubaliana kuwa ndoa ile idumu kwa muda gani! Baada ya huo muda kuisha na ndoa inakuwa imekufa ila baadae ndoa ya mut'ah ilikuja kuharamishwa pamoja na kula nyama za punda!! Hadithi zipi wazi kabisa.Hii ndoa alikuja kuipinga nani? Maana naona mpaka Muhammad kafa walikuwa wanaendelea kupiga mutah , kumbuka mutah ni siku tatu unaweza acha ukachukuwa mwanamke mwingine siku tatu
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119