Wasukuma wapo wengi mno takribani milioni 18, hata kwa idadi yao vyuoni bado ni chache sana kwa population yao na hapo bado wanaburuzwa na wahaya na wachaga hasa ukizingatia mikoa kama Simiyu, Geita na Shinyanga hali za elimu ni chini mno
Mkinga tatizo kajibanza tu kwenye business, ni kweli inamsaidia ila bado inabidi akaze. Power ya siasa kuwa ndani ya vitengo nyeti vya system ya nchi bado hapa nazungumzia nguvu ya maamuzi hasa katika vyeo vizito vya mamlaka bungeni, majeshini, mashirika ya serikali, nafasi za uongozi, n.k. hapa hata kodi inaweza kutafutwa kwa jasho kariakoo ila hao wenye maamuzi ndo wanaamua itumikaje na ndio maana hata huko Makete hali ni mbaya mno.
Na ndio maana wachaga wapo mbali zaidi maana wao wapo kwenye siasa, wamo kwenye system na biashara pia.