Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts.
Bwashee umenikumbusha mbali sana, nakumbuka tulipokuwa shule tulikuwa hatuwachagui kwenye nafasi yoyote ya uongozi wa wanafunzi kwa sababu walikuwa na ubaguzi na upendeleo mwingi sana. Ilikuwa mnyakyusa akigombea watu wanaambia tu, huyo ni mwa, basi ndiyo imetoka hiyo!
 
Wewe unazungumzia wasukuma wakati topic ni wanyakyusa!
Sasa hao wasukuma mbona Vyuoni wamejaa!
Kwenye sekita ya madini,kilimo,ufugaji na biashara wanawakimbiza!
Mnyakyusa amebaki kulingia shule ila kwenye utafutaji Mkinga hamfikii na Msukuma kawaacha mbali!
Wasukuma wapo wengi mno takribani milioni 18, hata kwa idadi yao vyuoni bado ni chache sana kwa population yao na hapo bado wanaburuzwa na wahaya na wachaga hasa ukizingatia mikoa kama Simiyu, Geita na Shinyanga hali za elimu ni chini mno

Mkinga tatizo kajibanza tu kwenye business, ni kweli inamsaidia ila bado inabidi akaze. Power ya siasa kuwa ndani ya vitengo nyeti vya system ya nchi bado hapa nazungumzia nguvu ya maamuzi hasa katika vyeo vizito vya mamlaka bungeni, majeshini, mashirika ya serikali, nafasi za uongozi, n.k. hapa hata kodi inaweza kutafutwa kwa jasho kariakoo ila hao wenye maamuzi ndo wanaamua itumikaje na ndio maana hata huko Makete hali ni mbaya mno.

Na ndio maana wachaga wapo mbali zaidi maana wao wapo kwenye siasa, wamo kwenye system na biashara pia.
 
Angalia power structure sio Kucheki cheo kimoja tu maana hata raisi mchaga hajawahi kuwepo ila si kipimo sahihi cha power yao
Baba nimekwambia Leta hapa Rais Mnyakyusa aliewahi kujiongoza hii Nchi huna kaa kimya, hio crown haiendi huko Nyerere hakua fala
 
Wasukuma wapo wengi mno takribani milioni 18, hata kwa idadi yao vyuoni bado ni chache sana kwa population yao na hapo bado wanaburuzwa na wahaya na wachaga hasa ukizingatia mikoa kama Simiyu, Geita na Shinyanga hali za elimu ni chini mno

Mkinga tatizo kajibanza tu kwenye business, ni kweli inamsaidia ila bado inabidi akaze. Power ya siasa kuwa ndani ya vitengo nyeti vya system ya nchi bado hapa nazungumzia nguvu ya maamuzi hasa katika vyeo vizito vya mamlaka bungeni, majeshini, mashirika ya serikali, nafasi za uongozi, n.k. hapa hata kodi inaweza kutafutwa kwa jasho kariakoo ila hao wenye maamuzi ndo wanaamua itumikaje na ndio maana hata huko Makete hali ni mbaya mno.

Na ndio maana wachaga wapo mbali zaidi maana wao wapo kwenye siasa, wamo kwenye system na biashara pia.
Statistics zako za mwaka gani? Leo tuende hapo UDOM huhesabu wanyakyusa na wasukuma wanafunzi wengi ni wapi? Zungumzia uwiano na wingi wa watu wa kabila sawa ila wingi vyuoni wasukuma ni wengi kuliko wanyakyusa!
 
Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

Usiowaona wanafanya Mambo yao kimya kimya sio kwa mapambio, wakati Nyerere akiwa na Mkapa km mwanahabari wake ulijua kua siku moja Nyerere wa kutoka Butihama atamchagua Mwang'onda (TISS) wa Uyole Mbeya aiongize Nchi ya Tanzania au angempa kijiti ndugu Mkapa wa Kusini Ntwara kule Masasi Kijiji cha Lupaso ndio awe mrithi wa kuiongoza Nchi ? Ulishawahi kujiuliza ? Alafu Mambo ya ukabila ndio maana akayapiga Vita sababu ndio hizi mwisho mtaanza kujitapa ovyo ovyo km hivi, au acha mengine nisiseme Ila kikubwa ujue Nchi sio ya Wanyakyusa wa Kusini Nchi hii ni ya Watanzania
 
Baba nimekwambia Leta hapa Rais Mnyakyusa aliewahi kujiongoza hii Nchi huna kaa kimya, hio crown haiendi huko Nyerere hakua fala
Ok tufanye bas tu kwamba hata wachaga hawana power maana raisi hajawahi tokea huko
 
Yes that's how it's unafikiri power unapewapewa tu kijingajinga, lazima uangalie na mtu wa kumpa power, we si unaona majivuno ya Mnyakyusa yaan kapenyezwa kwenye vitengo kidogo tu kashaanza kujiona yeye ndio wa kupewa Crown ukanda wa Kusini 🚮
 
ila wanyakyusa walijitahidi kuona mbali, hakuna ofisi utaingia uwakose...
 
Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

Usiowaona wanafanya Mambo yao kimya kimya sio kwa mapambio, wakati Nyerere akiwa na Mkapa km mwanahabari wake ulijua kua siku moja Nyerere wa kutoka Butihama atamchagua Mwang'onda (TISS) wa Uyole Mbeya aiongize Nchi ya Tanzania au angempa kijiti ndugu Mkapa wa Kusini Ntwara kule Masasi Kijiji cha Lupaso ndio awe mrithi wa kuiongoza Nchi ? Ulishawahi kujiuliza ? Alafu Mambo ya ukabila ndio maana akayapiga Vita sababu ndio hizi mwisho mtaanza kujitapa ovyo ovyo km hivi, au acha mengine nisiseme Ila kikubwa ujue Nchi sio ya Wanyakyusa wa Kusini Nchi hii ni ya Watanzania
Nyerere imebaki history tu mkuu,

Ukitaka kuamini hilo angalia tu alivyopinga kuwepo raisi anaetokea kabila kubwa, kilitokea nini 2015 ?

Dunia inasonga Mbele haisimami
 
Yes that's how it's unafikiri power unapewapewa tu kijingajinga, lazima uangalie na mtu wa kumpa power, we si unaona majivuno ya Mnyakyusa yaan kapenyezwa kwenye vitengo kidogo tu kashaanza kujiona yeye ndio wa kupewa Crown ukanda wa Kusini 🚮
Kwako wewe power ya jamii flani ni kuwa na raisi tu wamemaliza kazi na ndipo uelewa wako ulipoishia, your point of view is so narrow you cant think out of the box
 
Nyerere imebaki history tu mkuu,

Ukitaka kuamini hilo angalia tu alivyopinga kuwepo raisi anaetokea kabila kubwa, kilitokea nini 2015 ?

Dunia inasonga Mbele haisimami
Nyerere hakua Fala, tangu TAA alikua anawapangua tu hakua Fala yule Mzee apumzike pazuri huko aliko
 
ila wanyakyusa walijitahidi kuona mbali, hakuna ofisi utaingia uwakose...
Hiyo elimu ilikuwa ni dili sana kipindi kile ila saizi inabidi kufanya vyote mambo yamebadilika sana!
Makabila yanayofanya multi economy kama wachaga na wasukuma wanafanya wizuri zaidi kwenye mambo mengi!
 
Kwako wewe power ya jamii flani ni kuwa na raisi tu wamemaliza kazi na ndipo uelewa wako ulipoishia, your point of view is so narrow you cant think out of the box
Wewe haujaelewa nilichomaanisha read between the lines acha kua bogus, this is the home of GT acha kukurupuka kijana
 
Hiyo elimu ilikuwa ni dili sana kipindi kile ila saizi inabidi kufanya vyote mambo yamebadilika sana!
Makabila yanayofanya multi economy kama wachaga na wasukuma wanafanya wizuri zaidi kwenye mambo mengi!
Elimu bado ni dili mkuu, not to be rude but reality is hata bungeni Musukuma inakuwa ngumu kupata uwaziri sababu ya elimu.
 
Sasa Mnyakyusa anauchumi gani wa maana tofauti na watu wanaofanya kazi kwenye taasisi au mji gani aliotokea mnyakyusa una maendeleo ya tofauti kama ilivyo moshi, arusha kwa mchaga na Mwanza,kahana kwasukuma?
 
Mkuu nahisi hata elimu ya directions inakupiga chenga

Unajua maana ya ksuini / south ??

Moshi ipo kusini ??
 
Elimu bado ni dili mkuu, not to be rude but reality is hata bungeni Musukuma inakuwa ngumu kupata uwaziri sababu ya elimu.
Kwa hio unamaanisha Namungo na pale Lindi Mahuta Shimoni mpaka huko Nantumbo huko Masasi na Luagala kuna vilaza hawajasoma kazi yao ni wanawinda ndege tu na kucheza ngoma za asili, au hawajulikani Ila wamesoma ?
 
Back
Top Bottom