Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

Ipo tofauti kubwa Kati ya mizimu na HolyGhost.
Ni SAwa na majini na malaika.u.
Lakini kwann unakuta sehemu wote mfumo wa maisha wote ni level moja za uharibifu.
Mkuu unajimix vibaya, ila tu basi acha nisiongee sana ngoja Anigrain aje akujibu mwenyewe
 
Kuna mtu humu kaandika mizimu ikikasirika!
Nina jiuliza mizimu ndio kitu gani. Na mimi nikifa ntakuwa mzimu? Na mimi nita kasirika?
Tulio bado hai tunajuaje leo mizimu imefurahi au imekasirika?
Kwahiyo hiyo mizimu inafuatilia mambo yetu kila siku?
Ina uwezo juu yetu tulio hai?
Tukiipotezea ina tuadhibu?
Na hiyo mizimu ilipokuwa hai kabla haijawa mizimu kama ilipuuza mizimu inaadhibiwa ikifika huko kuzimuni?
Na kama ndivyo inapataje uwezo juu ya walio hai?
Kama sivyo ina maana tulio hai pekee ndio tunaweza teseka kwa kuipuuza mizimu lakini tukifika kuzimuni hali ni shwari?
Bado sija shawishika na kuamini mizimu na mambo yake.
Hata imani ina mantiki zake. Hapa sioni mantiki kabisa.
 
ACHA WIVU NA HASIRA
Huyu anazingua tu humu eti Yesu watu wanatoa hadi Sadaka za kujimaliza na ajira hawapati, nini Yesu unamzungumzia Yesu yupi? fafanua maelezo sio unataja taja tu Yesu labda una Yesu wako behind the scenes ambae ni tofauti na yule anaefahamika na wengi
 
Back
Top Bottom