Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni YESU wake yeye,na wewe mtafute yesu wako akupe unachokihitaji.mbona una hasira sana mzeeHuyu anazingua tu humu eti Yesu watu wanatoa hadi Sadaka za kujimaliza na ajira hawapati, nini Yesu unamzungumzia Yesu yupi? fafanua maelezo sio unataja taja tu Yesu labda una Yesu wako behind the scenes ambae ni tofauti na yule anaefahamika na wengi
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
Tunashukuru kwa mafanikio yako. Je, hawa ndugu umewaomba pia wamtegdmee Mungu katikz maisha yao? Mungu ni kila kitu, waeleweshe na nduguzo. Hawajajachelewa. Kwa Mungu alofika asubuhi na alofika jioni wote wa Mungu.Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba.
Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe, Kilakala, Tabora Boys n.k lakini yeye hata shule ya sekondari ya wilaya hafiki. Akibahatika basi atapata kuchaguliwa shule ya ufundi seremala.
Sometimes mtu anafanya usaili wa kwenda jeshi kila kitu kinakaa sawa, mara mambo yanacease mtu anaendelea kuwa fukara.
Brother wetu mmoja alikubalika sana mpaka aliweza kupewa kuwa kaka mkuu kuanzia la nne mpaka siku anamaliza la saba, kwenye michezo ndiyo alikuwa balaa, kila mchezo anaoshiriki lazima afike mkoani na huko mkoani hakuna wa kushindana naye. Leo hii ni maskini kabisa.
Mimi nikiwa darasa la saba nikampokea Yesu na kuokoka. Kwa mara ya kwanza katika ukoo wetu nachaguliwa kwenda sekondari tena shule ya kitaifa si ya kata au wilaya. Nilihakikishiwa kabisa kuwa sitavuka la saba na kutolewa mifano ya wenzangu, lakini Yesu akavunja mipaka mpaka sasa ni mwajiriwa wa serikali.
Nimesoma mpaka chuo kikuu, ndiyo mtu wa kwanza kuwa na degree katika ukoo wetu na ndiyo mtu wa kwanza kuionja sekondari katika Ukoo wetu, na ndiye mtu wa kwanza katika ukoo wetu kuwa Mkristo.
Yesu ndiye kiboko ya uchawi, laana, mikosi na kila hila. Ukimpokea kwa lengo jema ukiamini kuwa yeye ni njia ya kweli na uzima hatakuacha.
Kuna mambo mengi kanitendea ila napenda kwa leo tuishie hapa.
Yes.Sasa kwenye hii dua namuomba yesu au mungu? Mana umewachanganya wote.
yesu sini binadamu Kama wewe mkuu.Yes.
😂😂😂Ohhh kwa yesu ndio kuna mafanikio na uzima wa milele unataka kuishi milele ili ugundue nini? Ohhho Kuna mafanikio, mafanikio gani hayo ya kujazana ujinga na kutajirisha wanaojiita manabii na nyie kubakia Maskini wa kutupwa
Hakuna hasira mkuu, ni self expression tu don't take it personalHuyo ni YESU wake yeye,na wewe mtafute yesu wako akupe unachokihitaji.mbona una hasira sana mzee
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Yeye anamzungumzia Yesu mkuu usichanganye madesaMungu ni kila kitu, waeleweshe na nduguzo. Hawajajachelewa. Kwa Mungu alofika asubuhi na alofika jioni wote wa Mungu.
Kumbe anatangatanga na dunia? Anachokitafuta atakipata, umefanya vizuri mkuu kufukua makaburiWewe mimi nakuombea Allah akuongoze urudi katika njia ya sawa. Unatangatanga, ushachanganyikiwa.
Nimefuta Biblia kwenye simu yangu
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...www.jamiiforums.com
![]()
8. (Na hao husema): Mola wetu Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji
(Qur'aan 3:8)
Allah atuongoze na atuhifadhi na atufishe katika Uislam, tena katika Sunnah.
Soma hioHuyo ni YESU wake yeye,na wewe mtafute yesu wako akupe unachokihitaji.mbona una hasira sana mzee
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Ipo tofauti kubwa Kati ya mizimu na HolyGhost.Alietuletea hizi dini ndio kaleta huu mkanganiyiko
Unadhani mizimu ipo Africa tu Peke yake mkuu? Unajua lakini maana ya mizimu?
Unajua kama kuna mataifa mengine ambayo yenyewe ibada zao zimeelekezwa kwenye mizimu tu na sio Mungu wala vitu vingine kama sie?
Ukisema waafrica wengi wako connected na mizimu ndomana wengi Maskini unaweza nitajia taifa ambalo lenyewe halipo connected na mizimu ndomana wao ni matajiri?
Unajua kama China au karibia nchi zote za Asia ibada zao ni mizimu,ukarimu,upendo na hawataki kuskia habari za Mungu mingine tofauti na mizimu Yao na maisha yanaenda
Unajua kama hawa waliotuletea hizi dini waga kuna muda wanafanya matambiko kwa ajili ya kutimiza mahitaji ya mizimu yao? Wao wanaanimi kama mizimu ikikasirika basi ndo unapata majanga na Mambo yako hayataenda Sawa sawa
ila kama utafanya jambo mizimu yako ikafurahi basi utafanikiwa kwenye Mambo yako the same thing walichokuwa wanafanya wazee wetu miaka kibao nyuma kabla ya kuletewa hizi dini za kigeni
Na wapo watu kibao ambao ni Christian ila hawajaacha utamaduni wa kwenda kuwaenzi wazee wao ambao ni mizimu Kwa sasa Kwa kufanya matambiko kama Mila zao zinavosma ili tu katika familia zao mambo yaende vizuri mfano wachaga na wakinga
Sasa nyie mmekazana kusema mara cut off mizimu mara kukata sijui nini ilhali ni ujinga mtupu, kufanikiwa kwa mtu kunakuja na Mambo mengi ila baadhi ya hayo ni pamoja na kujitambua,kujua unataka nini,kuamini katika unachokifanya,kujituma,nidhamu ya kazi, upendo na mwisho kabisa connection
Haijarishi huyo mtu atakuwa ni Christian/Muslim/pagan/Buddha/Hindu/ akifata hiyo misingi basi ni Jambo la Muda tu kufanikiwa kulingana na sehemu alipo na juhudi zake
Dini ya kweli hapa Duniani ni UPENDO tu, haya mengine ni utashi wetu binadamu tu na yanaleta kujigawa na kujiona wengine ni Bora kuliko wengine ila hayana faida yoyote katika jamii zetu na hasa sie ambao ujinga ni sehemu ya maisha yetu
kutwa kumsingizia Mungu mambo ambayo ata yeye anashangaa ohooo Dini ya kweli sasa ingekuwa Dini ya kweli si tungezaliwa kila binadamu teyari anaijua na kuifata sasa iweje kuwe na Dini ya kweli alafu duniani kuwe na Dini zingine zaidi ya 3000 Zingine
Yani dini mpya kuliko zote duniani ndio ije kuwa Dini ya Kweli na Dini zilizoanza maelfu ya miaka huko nyuma zenyewe ziwe za uongo, Mambo mengine bana ukifikilia unaishia kucheka tu
Ohhh kwa yesu ndio kuna mafanikio na uzima wa milele unataka kuishi milele ili ugundue nini? Ohhho Kuna mafanikio, mafanikio gani hayo ya kujazana ujinga na kutajirisha wanaojiita manabii na nyie kubakia Maskini wa kutupwa
Mchungaji/Nabii akitaka Gari mnamchangia pesa akanunue ila muumini akitaka Gari anaombewa na mchungaji, yani Akili zenu mnazijua wenyewe, sasa kama maombi yanaleta Gari/ mafanikio iweje mchungaji achangiwe pesa na sio kuombewa apate Gari?
Katika King James version Bible
Matthew 3:11
"indeed baptize you with water unto repentance. but he that cometh after me is mightier than I, whose shoes I am not worthy to bear: he shall baptize you with the Holy Ghost, and with fire"
Sasa kazaneni kusema mna cut connection na mizimu hivo hivo ilhali ata Bible inajua ukubwa na umuhimu wa mizimu, najua mtapinga Kwa kuleta version za Bible ambazo zipo edited ili mtoe neno Holy Ghost
Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba.
Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe, Kilakala, Tabora Boys n.k lakini yeye hata shule ya sekondari ya wilaya hafiki. Akibahatika basi atapata kuchaguliwa shule ya ufundi seremala.
Sometimes mtu anafanya usaili wa kwenda jeshi kila kitu kinakaa sawa, mara mambo yanacease mtu anaendelea kuwa fukara.
Brother wetu mmoja alikubalika sana mpaka aliweza kupewa kuwa kaka mkuu kuanzia la nne mpaka siku anamaliza la saba, kwenye michezo ndiyo alikuwa balaa, kila mchezo anaoshiriki lazima afike mkoani na huko mkoani hakuna wa kushindana naye. Leo hii ni maskini kabisa.
Mimi nikiwa darasa la saba nikampokea Yesu na kuokoka. Kwa mara ya kwanza katika ukoo wetu nachaguliwa kwenda sekondari tena shule ya kitaifa si ya kata au wilaya. Nilihakikishiwa kabisa kuwa sitavuka la saba na kutolewa mifano ya wenzangu, lakini Yesu akavunja mipaka mpaka sasa ni mwajiriwa wa serikali.
Nimesoma mpaka chuo kikuu, ndiyo mtu wa kwanza kuwa na degree katika ukoo wetu na ndiyo mtu wa kwanza kuionja sekondari katika Ukoo wetu, na ndiye mtu wa kwanza katika ukoo wetu kuwa Mkristo.
Yesu ndiye kiboko ya uchawi, laana, mikosi na kila hila. Ukimpokea kwa lengo jema ukiamini kuwa yeye ni njia ya kweli na uzima hatakuacha.
Kuna mambo mengi kanitendea ila napenda kwa leo tuishie hapa.
Asante kwa ujumbe mzuri na imani yangu inaendelea kukua napopata shuhuda kama hizi. Bwana Yesu asifiwe sana!Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba.
Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe, Kilakala, Tabora Boys n.k lakini yeye hata shule ya sekondari ya wilaya hafiki. Akibahatika basi atapata kuchaguliwa shule ya ufundi seremala.
Sometimes mtu anafanya usaili wa kwenda jeshi kila kitu kinakaa sawa, mara mambo yanacease mtu anaendelea kuwa fukara.
Brother wetu mmoja alikubalika sana mpaka aliweza kupewa kuwa kaka mkuu kuanzia la nne mpaka siku anamaliza la saba, kwenye michezo ndiyo alikuwa balaa, kila mchezo anaoshiriki lazima afike mkoani na huko mkoani hakuna wa kushindana naye. Leo hii ni maskini kabisa.
Mimi nikiwa darasa la saba nikampokea Yesu na kuokoka. Kwa mara ya kwanza katika ukoo wetu nachaguliwa kwenda sekondari tena shule ya kitaifa si ya kata au wilaya. Nilihakikishiwa kabisa kuwa sitavuka la saba na kutolewa mifano ya wenzangu, lakini Yesu akavunja mipaka mpaka sasa ni mwajiriwa wa serikali.
Nimesoma mpaka chuo kikuu, ndiyo mtu wa kwanza kuwa na degree katika ukoo wetu na ndiyo mtu wa kwanza kuionja sekondari katika Ukoo wetu, na ndiye mtu wa kwanza katika ukoo wetu kuwa Mkristo.
Yesu ndiye kiboko ya uchawi, laana, mikosi na kila hila. Ukimpokea kwa lengo jema ukiamini kuwa yeye ni njia ya kweli na uzima hatakuacha.
Kuna mambo mengi kanitendea ila napenda kwa leo tuishie hapa.
May be your rabish yourselfRubbish.
Akirudi nishtue mkuuSoma hio
Nimefuta Biblia kwenye simu yangu
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...www.jamiiforums.com
Asante Kwa ushuhudw nakwambia Yesu ndio KiLa kitu....Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba.