Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Naomba kuuliza kwa wakristo,

Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
 
Mine akifa na agano kanndoa limekufa pia! Hivyo mda wote akijisikia kuolewa anaolewa hakuna timeframe!
 
Usiwaandikie wajane vijana, kwani kama tamaa zao za kimaumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena...
Kwa hiyo hili andiko linawazui wasiolewe? Na kama wasipoolewa wataishije?
 
Naomba kuuliza kwa wakristo,

Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
Pole kwa masaibu Mungu akutie nguvu... ushauri wangu unge relax kwa muda kidogo kabla ya kuwaza kuolewa tena.
 
Kwa utaratibu wa Dini ya kikristo, km walifunga ndoa ya kanisani baada ya kifo cha m1, yule anae baki muda huo huo anakua huru kuolewa tena.

Ila kwa taratibu za kwetu, mke ndo ana amua aolewe tena au abaki kuwa mjane, km ana amua kuolewa bas anatakiwa kukaa mwaka m1, ndo aolewe tena.
 
Kwa mila hizo za kizungu na kiarabu kwa kweli mie sifahamu,

Ila kwa Mila zangu za kiafrika anatakiwa akae kwao mume hamna tena kuolewa labda arithiwe na ndugu wa mume wako.
Kurithishana mke/mume ni mila za kizamani, Agano la Kale. Ni mila za kishenzi kwa kuzingatia pia zama hizi za maradhi yapatikanayo kwa njia ya ngono.

JESUS IS LORD
 
Kama ana nyege mshindo,yampasa kupata Bwana siku ya msiba.....kikubwa awe makini kuchagua kwa macho wanaokuja mpa pole🤒
 
Back
Top Bottom