Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

Hakuna kipimo cha muda.

We ukijiona hauwezi kuishi bila "fud" ni bora uolewe.
 
Naomba kuuliza kwa wakristo,

Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.

Mwenza akifariki Dunia.

Wanakuwa single upya.

Mwenza mpya akipatikana ndoa ifungwe tu fatsa maana hawana kinachowazuia.
 
1 Wakorintho 7:8-9
[8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.
I say therefore to the unmarried and widows, It is good for them if they abide even as I.
[9]Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
But if they cannot contain, let them marry: for it is better to marry than to burn.

Akijiona pale ambapo hawezi jizuia basi aolewe au aoe.
Haizungumzii mjane, huyo ni paulo anazungumzia ambao hawajaolewa,halafu kwa kukusaidia usifuate mafundisho ya paulo huyo alikuwa binadamu kama wewe na hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, ni kama mwamposa vile
 
Ina maana neno "wajane" hujaiona?
Hata neno "widows" hujaiona ya kiingereza Cha KJV bible?
Usisome kwa kukurupuka.
 
Haizungumzii mjane, huyo ni paulo anazungumzia ambao hawajaolewa,halafu kwa kukusaidia usifuate mafundisho ya paulo huyo alikuwa binadamu kama wewe na hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, ni kama mwamposa vile
Mimi namuabudu Mungu wa Yesu Kristo bro, huyo mwamposa simfatilii kabisa.
 
Naomba kuuliza kwa wakristo,

Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
Ni kwanini miezi mitatu
Kwanini miezi 4 na siku 10
 
Kanisani wanasema mpaka kifo kitakapowatenganisha, hata kesho yake fresh tu
 
Mtoto ni wa marehemu. Huyu anakuwa baba mlezi tu.
Sasa atajuaje kama mimba ya siku moja au wiki ni ya marehemu sababu hakuna ki
Ni kwanini miezi mitatu
Kwanini miezi 4 na siku 10
yaani zamani kulikuwa hakuna vpimo vya mimba, kwa hiyo hicho kipindi cha miezi 4 na siku 10 kama mwanamke alinasa hata mimba ya saa moja kabla mme wake ajafariki, basi kwa kipindi hicho anachosubiri basi kama mimba iliingia basi kitumbo kitajitokeza
 
Sasa atajuaje kama mimba ya siku moja au wiki ni ya marehemu sababu hakuna ki

yaani zamani kulikuwa hakuna vpimo vya mimba, kwa hiyo hicho kipindi cha miezi 4 na siku 10 kama mwanamke alinasa hata mimba ya saa moja kabla mme wake ajafariki, basi kwa kipindi hicho anachosubiri basi kama mimba iliingia basi kitumbo kitajitokeza
Hapo Mungu ndio atajua ila wote muoaji na muolewaji hawatajua. Kikubwa mtoto ni zawadi na ni mali ya Mungu anayowapa wanadamu
 
Sasa atajuaje kama mimba ya siku moja au wiki ni ya marehemu sababu hakuna ki

yaani zamani kulikuwa hakuna vpimo vya mimba, kwa hiyo hicho kipindi cha miezi 4 na siku 10 kama mwanamke alinasa hata mimba ya saa moja kabla mme wake ajafariki, basi kwa kipindi hicho anachosubiri basi kama mimba iliingia basi kitumbo kitajitokeza
Mkuu kuna wanawake huweza kukaa na ujauzito bila kujulikana utasikia tu kakimbizwa kwenda kujifungua
 
Hakuna muda maalumu Wala zuio kimaandiko kuolewa Tena,sema tu aibu kwa watu na mambo ya kuogopa midomo ya watu check kaolewa fasta atakuwa kamuua mmewe ili aolewe.
Wengi wakishazaa ubakia wajane wanaishia kuzini tu
 
Back
Top Bottom