Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Yaani maana yake wakifiwa hawaolewi tenaUpande wangu sijawahi kuona wanawake wakikristo wajaoleea Tena wakifiwa labda wengine waje kutoa maelezo.
Naona hii maada ya moto wakristo wanapita kimyakimyaMkuu unatarajia mumeo kufa hivi karibuni?
Wanaolewa maana bado mwili unatamaa, ujane wa mwanamke wa kikristo unaanzia miaka 60Upande wangu sijawahi kuona wanawake wakikristo wajaoleea Tena wakifiwa labda wengine waje kutoa maelezo.
Tuwekee kifungu kwa faida ya woteWanaolewa maana bado mwili unatamaa, ujane wa mwanamke wa kikristo unaanzia miaka 60
Soma biblia 1Timotheo 5:11
Usiwaandikie wajane vijana, kwani kama tamaa zao za kimaumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena...Tuwekee kifungu kwa faida ya wote
Kwa hiyo hili andiko linawazui wasiolewe? Na kama wasipoolewa wataishije?Usiwaandikie wajane vijana, kwani kama tamaa zao za kimaumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena...
Haliwazuii, linawaruhusu waoleweKwa hiyo hili andiko linawazui wasiolewe? Na kama wasipoolewa wataishije?
Pole kwa masaibu Mungu akutie nguvu... ushauri wangu unge relax kwa muda kidogo kabla ya kuwaza kuolewa tena.Naomba kuuliza kwa wakristo,
Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
Kwa mila hizo za kizungu na kiarabu kwa kweli mie sifahamu,
Ila kwa Mila zangu za kiafrika anatakiwa akae kwao mume hamna tena kuolewa labda arithiwe na ndugu wa mume wako.
Upendo NkoneUpande wangu sijawahi kuona wanawake wakikristo wajaoleea Tena wakifiwa labda wengine waje kutoa maelezo.
Kurithishana mke/mume ni mila za kizamani, Agano la Kale. Ni mila za kishenzi kwa kuzingatia pia zama hizi za maradhi yapatikanayo kwa njia ya ngono.Kwa mila hizo za kizungu na kiarabu kwa kweli mie sifahamu,
Ila kwa Mila zangu za kiafrika anatakiwa akae kwao mume hamna tena kuolewa labda arithiwe na ndugu wa mume wako.