kukaa 4-6 hrs bila kushika simu na nikishika sikuti missed calls au message ya kizinga, nakua na wakati mzuri sana tulivu na wa amani siku hiyo gentleman 🐒Habari za wakati huu wana-jukwaa wenzangu,
Maisha ya sasa yamekuwa na kasi sana. Kila mmoja wetu anapambana na majukumu, foleni, kazi, na changamoto mbalimbali za kimaisha. Katika mihangaiko hii yote, ni rahisi sana kujisahau na kupoteza ule utulivu wa ndani (inner peace).
Lengo la uzi huu si kulalamika, bali ni kupeana hamasa na ukumbusho wa upendo. Natamani tufanye uzi huu kuwa "kijiwe cha kupumzisha akili."
Hebu tushirikiane kwa upendo hapa: Ni kitu gani kidogo sana unachokifanya kwenye ratiba yako, au unachokiangalia, kinachokurudishia amani na utulivu wa moyo?
Kwangu mimi, ni ile nusu saa ya asubuhi kabla jua halijachomoza, nikipiga kimoja cha nguvu kwenye utulivu bila kushika simu. Inanipa nguvu ya kukabili siku.
Elewa neno "kimoja cha nguvu"
Karibu ushee chako, huenda ikawa tiba au hamasa kwa mtu mwingine mwenye siku ngumu leo. Upendo utawale! ❤️
Blue Monday
Leo mapovu hayaruhusiwi.
Bwashee sijaona uhusika wa Bia hapo?Kufanya meditation, na kukaa mazingira ya porini nikisikiliza sauti za ndege na vijito vya maji, bila kelele za watu ,viwanda na magari
Kufanya meditation, na kukaa mazingira ya porini nikisikiliza sauti za ndege na vijito vya maji, bila kelele za watu ,viwanda na magari
Inaonekana hivyo vizinga unavyopigwa mara kwa mara vinakupa wakati mgumu kwelikukaa 4-6 hrs bila kushika simu na nikishika sikuti missed calls au message ya kizinga, nakua na wakati mzuri sana tulivu na wa amani siku hiyo gentleman 🐒
kwasababu haviishi na wananchi ni wengi mno na haijulikani nani atapiga kizinga cha nini au kiasi gani 🐒Inaonekana hivyo vizinga unavyopigwa mara kwa mara vinakupa wakati mgumu kweli
tushtuane bro, wana jf tuliopo humu naona tunakwepana😅Kupiga kazi usiku na kurara muchana huku nikitazama viji$$$ vinaingiapo kwa acc huku napata rumba za kale za Congo na kavasha