win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
oooh I gat you brooo,,Hahaha usijeshindisha "watu" njaa wanasubiri upasue kuni uwapikie wale.
Anyway machozi yanatrigger positive emotions ndio maana hata Yesu alimlilia baba yake kwa kuwa alijua maombi pekee hayatamgusa, na mtoto anapozaliwa anaomba kila kitu kwa machozi na kila mtu aliye around anatoa attention, so machozi yanaweza kufungua pochi, kuvunja structures hata za concrete, kufungua safe, kufungua strong rooms na cases, yanaweza kukupa tenda, biashara, kazi, na maisha, machozi yanampigisha mfalme magoti, hamna bingwa anakosa kuguswa na machozi genuine.
Trick kubwa ni namna ya kuyatumia yakafanya hayo ni sanaa na watu wengi wa kisasa sanaa hawataki, wanataka kutumia manguvu tu kila mahali!
In summary...
mafigani nipo pekeangu ndo maana nimeshika mawili 🤣🤣🤣🤣