min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kweli , maisha ya mjini siyawezi.Inaonekana unapata wakati mzuri sana kwenye mazingira hayo. Sema sasa sisi tunaoishi katikati ya jiji hayo mazingira tunayapata wapi
Kweli , maisha ya mjini siyawezi.Inaonekana unapata wakati mzuri sana kwenye mazingira hayo. Sema sasa sisi tunaoishi katikati ya jiji hayo mazingira tunayapata wapi
tushtuane bro, wana jf tuliopo humu naona tunakwepana😅
na handle kila situation lakin mpka nilie kwanza,, siwezi kupata utulivu kama moyo wangu unamajonzi
Kabisa broKaribu sana kiongozi, maisha ndo hayahaya na masisiemu ndio yashagomea yapo tayari kuua hata kizazi kizima yabaki na ulaji wote tutafanyaje sasa
Nirushie 10000 basi 😄kukaa 4-6 hrs bila kushika simu na nikishika sikuti missed calls au message ya kizinga, nakua na wakati mzuri sana tulivu na wa amani siku hiyo gentleman 🐒
umeanza sasa kunikosesha utulivu gentleman 🤣Nirushie 10000 basi 😄
Ova
Kufeni tu bwashee , sina la kuwasaidia.Huku wenzio hatuna namna kwakweli
huyu😅😅😅😅 kwakua ushajua sis ni wadhaifu kwenye kulipiza mabaya ndo maana eehNapenda sana mwanamke anayependa kulia, munisamehe😛
ndo mnatumiaga huo udhaifu kutuumiza😪,,, sio vizuri wanetuNaturally huwa wana huruma sana, nawapenda pia
huyu😅😅😅😅 kwakua ushajua sis ni wadhaifu kwenye kulipiza mabaya ndo maana eeh
hatukusamei