Hahahah kwa kweli tuanzishe petition mods wakuwekee special chance ya multiple reactions, coz u look special wala sio utani, kama mpitanjia mie nae nimeona, anyway kupikia "watu" ni baraka na zikutangulie tu!
Ila pale kwenye machozi ni somo muhimu sn kwa leo, ujue haya Yesu alilia mara 2, alilia Yesuralemu, akamlilia baba yake amuepushe na kile kikombe na akalia tena alipowaona Marita na Mariamu wakimlilia Lazaro so, mwanamke anayemwaga chozi ni baraka kubwa na hawapo kabisa siku hizi kwnye kizazi hiki cha nyoka 😛 😛 😛 😛
Hope sijaboa...