umenichekesha khaaa๐ ๐ , mim sijui ni malezi au nidhamu ya uoga siwezi kuongeleshwa na mtu mzima alf niwe namtizama machoni mwanzo mwisho,, huwa nainamisha kichwa kupokea maelekezoDah! sio udhaifu yani hiyo ni feminity trait na ni wachache sana bado wanapatikana nayo miaka hii, majority wamekodoa mimacho tu kama lidume jenzio, yani naona aibu mie! ๐ ๐
Nisamehewe tu wandugu...
Road trip. Huwaga naformat matatizo yangu tote nikiwa na drive kwenda mkoa. Yani nikirudi Dar naanza mwanzo.
umenichekesha khaaa๐ ๐ , mim sijui ni malezi au nidhamu ya uoga siwezi kuongeleshwa na mtu mzima alf niwe namtizama machoni mwanzo mwisho,, huwa nainamisha kichwa kupokea maelekezo
Hongera ndugu yangu.Ninapoenda kusaidia watu wenye uhitaji kwenye charity organization,
Hii hunipa amani ya nafsi na kurelax.
๐ ๐ ๐ ๐ et unapapasa kweny triangle upate uhakika,, Kwan maziwa huwa hauyaoni?Ndo mana nmesema ni trait (kipaji yani) wachache sana wanacho siku hizi, wengi wanakodoa macho hadi gizani unayaona yani, lazima mwanaume upoteze confidence, ikitokea hii mi napapasa kule kwa triangle nipate uhakika kama sio dume jingine hili!
So sad, kuwapata wanawake wanaotoa chozi siku hizi ni full gospel yani!
๐ ๐ ๐ ๐ et unapapasa kweny triangle upate uhakika,, Kwan maziwa huwa hauyaoni?
bado wapo,
kwan maziwa fake na org ukiyaona yanafanana? eh vipi sura au unachukuaga wenye makeup 24/7,, kwenye kuongea je? hebu usinichekeshe๐ ๐ kwamba unaweza usivione hivyo vitu vyoteMengine feki mama yangu! All in all mwanamke machozi bana asikwambie ntu!
kwan maziwa fake na org ukiyaona yanafanana? eh vipi sura au unachukuaga wenye makeup 24/7,, kwenye kuongea je? hebu usinichekeshe๐ ๐ kwamba unaweza usivione hivyo vitu vyote
zamani nilikua naitwa crying bby maana yalikua yanamwagika sehemu yoyote tu nikikwazika,, ila saivi nalilia chumbani kwangu๐คญ hakuna kufaidisha watu maumivu yangu
hiyo paragraph ya mwisho imenichekesha,, yule mpuuzi alikuaga akihisi naongea sauti ya tofauti utamsikia anasema "naweza kuja kukuona?๐ ๐ ๐ sijui hata nataka kuandika nini,,,, kwaheri naenda zangu kupasua kuni nipikie watu chakula cha mchanaYes yanafanana kwa kupapasa ndio maana sina interest ya kupapasa hayo naelekea kunako triangle coz ndipo kwnye hatari zaidi, men usipocross check unaweza ukaingia room ukachenjiwa ukakuta ana mkia wa maana, hapo ukicheza si umeliwa? Hasara 2 zinakua, bora nipapase km hamna kitu najua basi huyu ni mkodoa macho lakini anayo! Unaweza kufunika na pillow tu hayo macho ukaendelea
Hapo kulilia chumbani sasa ndio pigia mstari yani, nisamehewe tu mie mkosefu, coz hiyo image unayonipa dah, huko sio ndio pa kupewa pole maalum ya hayo maumivu yako sasa! Hayo machozi yanareflect machozi mengine kule kwa triangle.
Yani "mwake" vijana wanasema ๐๐๐
hiyo paragraph ya mwisho imenichekesha,, yule mpuuzi alikuaga akihisi naongea sauti ya tofauti utamsikia anasema "naweza kuja kukuona?๐ ๐ ๐ sijui hata nataka kuandika nini,,,, kwaheri naenda zangu kupasua kuni nipikie watu chakula cha mchana
mod wanifanyie jambo niwe na uwezo wa kuweka reaction tatu kwenye comment moja๐คญ๐ ๐ ,,Hahahaha eti kukuona, unaonekana una kitu special aisee, anyway thanks for ya tym na machozi.
Haya bana hope watu wataenjoy chakula chako cha mchana, halafu watakula tena, kila la kheri...
Napenda wanawake wanaolia, wanaweza kuwa karibu zaidi na Mungu...wakitambua nafasi yao...na handle kila situation lakin mpka nilie kwanza,, siwezi kupata utulivu kama moyo wangu unamajonzi
eh fafanua kidogo hapo kuwa karibu na Mungu๐Napenda wanawake wanaolia, wanaweza kuwa karibu zaidi na Mungu...wakitambua nafasi yao...
mod wanifanyie jambo niwe na uwezo wa kuweka reaction tatu kwenye comment moja๐คญ๐ ๐ ,,
hawa wanakula tu hakuna kula tena maan wamama na wadada,, tunakulaga mara moja huku kijijini kwetu,,, karibu pia ๐
haujaboa ila unanifurahisha๐๐Hahahah kwa kweli tuanzishe petition mods wakuwekee special chance ya multiple reactions, coz u look special wala sio utani, kama mpitanjia mie nae nimeona, anyway kupikia "watu" ni baraka na zikutangulie tu!
Ila pale kwenye machozi ni somo muhimu sn kwa leo, ujue haya Yesu alilia mara 2, alilia Yesuralemu, akamlilia baba yake amuepushe na kile kikombe na akalia tena alipowaona Marita na Mariamu wakimlilia Lazaro so, mwanamke anayemwaga chozi ni baraka kubwa na hawapo kabisa siku hizi kwnye kizazi hiki cha nyoka ๐ ๐ ๐ ๐
Hope sijaboa...
haujaboa ila unanifurahisha๐๐
mimi sina huo uspecial Walah hisia zako zimekudanganya hebu zikatae tafadhari,,, kupika ni wajibu na nijukumu letu kubwa esp sisi wanawake,,, hizo baraka nimezipokea kwa mikono yote๐
hilo somo la machozi hebu nipe kidog maan mi naonaga ni kawaida coz nimeyaish toka mdogo, shida yangu ni moja nishashindwa na siwezi kumchukia mtu alie niumiza hata nifanye nini๐ sasa kuna viumbe vina-nichukulia point hapa na sina cha kuvifanya huwa nabaki kuvitizama tu