Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Tunatofautiana uwezo, nyenzo na vigezo, hivi hupelekea kukimbizana na muda katika hitaji la kumiliki nyumba zetu binafsi.

Lakini richa ya muda na umri, kila mtu atapambana hadi mwisho amiliki ngome yake.

So mwana jamii, katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Be honest.
Kwa umri huu wa Miongo kadhaa, bado giza nene mbeleni.

Hongereni wote mliopiga hatua..
 
Tusaidie na wengine mkuu,mi nakwama yaan
Mwombe Mungu atakusaidia, sometimes inakatisha tamaa, sometimes unaweza kuwa na pesa lakini macho yako yameumba hadi Mungu akikufumbua au milango yako ya baraka ikifunguka au wakati wa Bwana unakuwa umeshaika, utajenga hata kama kipato chako kidogo. ila kipato kiwe kikubwa au kidogo, ujenzi una maumivu mno, ukiona mtu ana kwake mheshimu. hela inakutoka balaa unafika kipindi unakuwa kama umemsusia fundi jengo hahahaha.

Unashusha nondo la milioni moja hapo hapo anakwambia hapa inatakiwa mifuko 50 ya cement, hapohapo anakwambia kokoto lori kubwa hapohapo mchanga wa kutosha, na hujampa ya ufundi, hapohapo vijana wa kumwagilia, hujamaliza hiki akifika kwenye lenter anakwambia hii inatakiwa iwekwe lenter haraka ili nyumba isitanuke, kwenye lenter hapo maumivu ya kutosha, ukimailza hapo kwenye mbao za kupaulia, roofiing, madirisha na nondo zake, milango, floor/tiles hujapiga lipu hujaweka fensi...., kwa kipato changu cha kawaida kabisa nimeshavumilia maumivu ya kutosha, ila ikiisha, ndio utaona utamu wake.
 
Pambana, fikiria kwenda zaidi na ulipo, epuka mikopo ya pupa, epuka matumizi makubwa, sevu pesa hata kama ni miaka 20, haijalishi umri utakaojenga...

Utafikia ndoto yako
Mikopo ya pupa ndo ipi?
 
mwombe Mungu atakusaidia, sometimes inakatisha tamaa, sometimes unaweza kuwa na pesa lakini macho yako yameumba hadi Mungu akikufumbua au milango yako ya baraka ikifunguka au wakati wa Bwana unakuwa umeshaika, utajenga hata kama kipato chako kidogo. ila kipato kiwe kikubwa au kidogo, ujenzi una maumivu mno, ukiona mtu ana kwake mheshimu. hela inakutoka balaa unafika kipindi unakuwa kama umemsusia fundi jengo hahahaha.

unashusha nondo la milioni moja hapo hapo anakwambia hapa inatakiwa mifuko 50 ya cement, hapohapo anakwambia kokoto lori kubwa hapohapo mchanga wa kutosha, na hujampa ya ufundi, hapohapo vijana wa kumwagilia, hujamaliza hiki akifika kwenye lenter anakwambia hii inatakiwa iwekwe lenter haraka ili nyumba isitanuke, kwenye lenter hapo maumivu ya kutosha, ukimailza hapo kwenye mbao za kupaulia, roofiing, madirisha na nondo zake, milango, floor/tiles hujapiga lipu hujaweka fensi...., kwa kipato changu cha kawaida kabisa nimeshavumilia maumivu ya kutosha, ila ikiisha, ndio utaona utamu wake.
Mmh hongeren jaman
 
Mwombe Mungu atakusaidia, sometimes inakatisha tamaa, sometimes unaweza kuwa na pesa lakini macho yako yameumba hadi Mungu akikufumbua au milango yako ya baraka ikifunguka au wakati wa Bwana unakuwa umeshaika, utajenga hata kama kipato chako kidogo. ila kipato kiwe kikubwa au kidogo, ujenzi una maumivu mno, ukiona mtu ana kwake mheshimu. hela inakutoka balaa unafika kipindi unakuwa kama umemsusia fundi jengo hahahaha.

Unashusha nondo la milioni moja hapo hapo anakwambia hapa inatakiwa mifuko 50 ya cement, hapohapo anakwambia kokoto lori kubwa hapohapo mchanga wa kutosha, na hujampa ya ufundi, hapohapo vijana wa kumwagilia, hujamaliza hiki akifika kwenye lenter anakwambia hii inatakiwa iwekwe lenter haraka ili nyumba isitanuke, kwenye lenter hapo maumivu ya kutosha, ukimailza hapo kwenye mbao za kupaulia, roofiing, madirisha na nondo zake, milango, floor/tiles hujapiga lipu hujaweka fensi...., kwa kipato changu cha kawaida kabisa nimeshavumilia maumivu ya kutosha, ila ikiisha, ndio utaona utamu wake.
Mpaka nimeogopa
 
30 kwa mama,but now nina 33 naangaika na yangu sifanikiwi nimeishia uwanja tu
Pole sana mm ndio nimeishia hapo
FB_IMG_1598595080572.jpg
 
Daah nimepambanaa kwa jasho na dam nimejenga..ile namalizia kuweka geti tu mke ananipeleka bakwata et tuachane tugawane nyumba daah...na hawa watoto wetu wawili tuwafanyaje?..kumbe alikua kwa maslahi tu sio mapenz
Duuuh pole mkuu
 
Kiuhalisia huu ujenzi unaendana na sehem husika , kuna jamaa yangu anaishi shinyanga alinieleza kua alijenga nyumba yake tena kubwa tu kanionyesha kwenye picha kabisa , mpaka inaisha katumia 10 M tu ,
Mm nipo naendelea kujenga nimetumia zaid ya pesa hiyo na nyumba bado kabisa yaani
Ujenzi wa dar ni gharama sana ukilinganisha na mikoani aisee
 
Back
Top Bottom