Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂

At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads?

Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi, hajui kusoma wala kuandika.. Kuvuka barabara tu ni shida😓😓

Screenshot_20230714-110306_1.jpg
 
Inategemea na malezi kama baba hawasaidii watoto basi lazima wote mtaburuzana tu
Hata baba kuvuka mpaka anaona ataibiwa

Wenzetu kuanzia elimu yao ya chini wanafundishwa maisha
Wakiwa na miaka 4 wanafundishwa namna ya kukatisha barabarani zebra crossing na jinsi ya kujichunga na hatari

Wenzetu wanafundishwa hata kupika wakiwa wadogo sana tena shuleni

Mwanangu amejua kupika keki hajatimiza hata miaka 10
 
Kuna namna wenzetu wanalea watoto kwa kuwapa uhuru ambao huku kwetu hatufanyi hivyo as tunaamini kwenye containment ya watoto ili wasideviate!
Ule uhuru wanaopata una mawili,either uibue vipaji na kumjengea mtoto confidence au ulete deviance!
Mzazi utachagua mwenyewe,
 
Umri huo shule zenu wanafundishwa namna ya kuvaa condom et ili kujikinga na magonjwa ya zinaa.
 
Jambo la kawaida kabisa , mpwa wangu ana miaka sawa na huyo dogo na ukimpa pikipiki boxer anacheza nayo kama mtu mzima kabisa

Naamini kama anaweza pikipiki basi gari haliwezi kumshinda
 
Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani[emoji23][emoji23][emoji23]

At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads?

Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi, hajui kusoma wala kuandika.. Kuvuka barabara tu ni shida[emoji29][emoji29]

View attachment 2687559
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe,


Ni kwl Kuna tofauti kubwa sn kwa mtoto wa kiafrica na wazungu.

Mtoto wa kiafrica wa kiume miaka 10 ujiandae na kesi zifuatazo.

-- kuchungulia watu chooni wakienda haja.
--kudandia Magari ya watu barabarani.
--kukataa kuoga.
--kwenda kushinda baharini au mtoni na kuogelea.
-- katukana watu wazima huko mitaani.
Nk.
 
Back
Top Bottom