Ukiangalia hata wewe ndio malengo yako ya kuwa jinsi umri wako unavyosonga ndio utengeneze maisha yako yawe bora zaidi utofauti ni uthubutu na njia ya kuyafikia hayo malengo yako hakuna ambacho kinashindikanaSio rahisi kihivyo hata hao motivational speakers hawana hizo pesa kwa uwiano wa umri ,ikiwa ni pamoja na wewe.. Binadamu anafanya mambo automatically hizo motives hii kukosa kazi mpaka uanze kuwaaambiwa watu wafanye nn.
Hata uende kwenye ambazo ni promitive bado wanajitafutia ili kuishi ..Hizi pesa ni Mbwembwe sio kila mtu atashika ,kikubwa kila mtu ana mitikasi yake ..Hakuna aliyekuja kuomba kwa wazazi wake pesa .
Mmm Mengi alikufa masikini?Mungu haweki fedha mfukoni mwa masikini anatumia roho za watu wanaomwani kuwapa masikini na sijaona wakifilisikaWanaoamini maandiko wengi hufa masikini au kutumiwa kuwatajirisha wajanja stuka mapema
Sina jitihadi ila nilipo nadhani haujafika labda miaka 5 mbele ,maisha ni rahisi sana ukiangalia mambo yako.Ukiangalia hata wewe ndio malengo yako ya kuwa jinsi umri wako unavyosonga ndio utengeneze maisha yako yawe bora zaidi utofauti ni uthubutu na njia ya kuyafikia hayo malengo yako hakuna ambacho kinashindikana
Kabisa manNa wengi wao walianziaga hivyo hivyo
Elewa neno wengi, after all mengi alikuwa mfanyabiashara acha kuamini maandiko ya kijamaa utakufa masikini pekeakoMmm Mengi alikufa masikini.Mungu haweki fedha mfukoni mwa masikini anatumia roho za watu wanaomwani kuwapa masikini na sijaona wakifilisika
Swadakta kuangalia mambo yako ni jambo jema kwani ukijipima na wengine utaona kama hujafanikiwa cha umuhimu ni kucheza mechi zako kulingana na msimu umri ni factor muhimu sana katika utafutajiSina jitihadi ila nilipo nadhani haujafika labda miaka 5 mbele ,maisha ni rahisi sana ukiangalia mambo yako.
Mtu alieenda step by step kuutafuta utajiri kufirisika ni ngumu sana na hata akifirisika haanzi na sifuriKuna kupata utajiri na baadae kuja kufilisika kwa sababu mbalimbali zikiwemo zilizo nje ya uwezo wako kama majanga ya kiasili,ugonjwa n.k.
Nakazia, atajua hajuiUkifika umri huo njoo tena usome Uzi wako!
Hawa tuwasamehe tu, siku hizi wanabalehe vibayaIds fake hizi zinatufanya tufanye mazungumzo na wehu,the frustrated ones,watoto na waigizaji kwenye ubishani.Ni vema dj akatutwangia goma la "YATAKA MOYO" kutoka Profesa Jay.
Utoto raha sanaMnapingana na uhalisia msikate tamaa bado hamjachelewa tafuta njia sahihi kulingana na malengo yako uanze kukimbizana na namba uepuke majuto ya uzeeni
Hela na mali huwezi kunizidi, kama unabisha na unajuamini weka battle na useme mwenyewe battle ifanyikeje.Kwa cash ni nina zaidi ya milion 1 kwa salio nina zaidi ya million 2 kwa ninavyo miliki ni zaidi ya hizo pesa mara kumi yake na nipo under 30 hapo sisemi nimejipata bado najitafuta huenda sijafika hata robo ya malengo yangu ila unachosema ni upuuzi
Chukua ushauri acha kukaza fuvu
Umebadili vigezo mara hii mwanzo ulisema nikuoneshe milion moja cashHela na mali huwezi kunizidi, kama unabisha na unajuamini weka battle na useme mwenyewe battle ifanyikeje.
Iwe ni battle ya kuonesha pesa na mali.
Let's go..