Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Ni kweli!

Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara

Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.

Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa

Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachelewa
 
Utoto unakusumbua aya wewe mtoa mada

Yamal ana trilioni kadhaa ana miaka 18 wewe una sh ngapi......
Neema na bahati, juhudi na connection zina play part kubwa...

Aya wewe na mtoto wa mo nani ana pesa punguza ujinga ....
Other wise umepata viela vya mboga unajiona genius stupid...
 
Wewe ndio punguani unaejifananisha na wengine hao wameweka malengo yao sawa acha kutafuta visingizio hata wewe waweza kuwa kisingizio kwa wengine
 
Ni kweli!

Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara

Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.

Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa

Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachelewa
Itakuwa poa ukianza wewe kama mfano
 
Kila mtu kapangiwa riziki yake mkuu wengine ume wazidi umri ila wamekuzidi kipato
Miaka hii bado unaamini katika riziki? Tafuta hiyo unayoita riziki huwa haiji tuu weka uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo kulingana na kipato chako
 
Wewe ndio punguani unaejifananisha na wengine hao wameweka malengo yao sawa acha kutafuta visingizio hata wewe waweza kuwa kisingizio kwa wengine
Tuonyeshe pesa ulizo nazo na malengo yako kama za Mo

Mpumbavu mmoja.... Naishia APA utakuta najibizana na kitoto cha elfu 2000 ata milioni kumi hakina kwa account...
 
Acha visingizio huyo Mo hajapata pesa ghafla bin vuu ni uwiano wa namba
 
Back
Top Bottom