Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

You are still young, arrogant, narcistic, naive, myopic, flamboyant and probably an economic imbecile. Au simply Mhaya!

Maisha hayana fomyula. Cha muhimu tu ishi kwa kutambua kuwa hauko katika mashindano na mtu mwingine isipokuwa wewe mwenyewe. Hivyo jiboreshe sana eneo lako; na hakikisha kuwa leo yako ni bora kuliko jana yako. Ukianguka nyanyuka - bila kujali umri na mikatale mingine ya kimaisha na kijamii. Na hakikisha unafurahia safari yako maana maisha hakuna mengine ni haya haya! 📌📌📌

20250707_131030.png
 
You are still young, arrogant, narcistic, naive, myopic, flamboyant and probably an economic imbecile.

View attachment 3397248
Usiyaamini Sana hayo maneno mkuu utakufa masikini tafuta, save na uwekeze kwa umri ulokuwa nao ungefanya hayo nilioelekeza kwa ufasaha asahivi ungekuwa hata na kitu cha kujivunia kuwepo duniani
 
Ni kweli!

Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara

Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.

Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa

Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachelewa
Baah!Mbona unasangaza sana jinsi "unavyoshangaa"!?
 
umeongea ukweli mtupu,tuambie hapo home,baba yako anamzidi sh ngapi MONDI PLATNUM
 
You are still young, arrogant, narcistic, naive, myopic, flamboyant and probably an economic imbecile.

Maisha hayana fomyula. Cha muhimu tu ishi kwa kutambua kuwa hauko katika mashindano na mtu mwingine isipokuwa wewe mwenyewe. Hivyo jiboreshe sana eneo lako; na hakikisha kuwa leo yako ni bora kuliko jana yako. Ukianguka nyanyuka - bila kujali umri na mikatale mingine ya kimaisha na kijamii. Na hakikisha unafurahia safari yako maana maisha hakuna mengine ni haya haya! 📌📌📌

View attachment 3397248
Safi sana
 
Usiyaamini Sana hayo maneno mkuu utakufa masikini tafuta, save na uwekeze kwa umri ulokuwa nao ungefanya hayo nilioelekeza kwa ufasaha asahivi ungekuwa hata na kitu cha kujivunia kuwepo duniani
Nina miaka 78 sasa. Nina uzoefu mkubwa na maisha. Nimesoma sana. Nina exposure ya kutosha. Na simtegemei mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Naweza kula cho chote ninachotaka, kwenda po pote ninapotaka na nina uhakika wa kulala pazuri bila kudaiwa kodi na mtu. Na nimehakikisha kuwa wanangu hawapitii mapito ya shida niliyopitia mimi. Wako vizuri kuliko mimi. Na kwangu haya ni mafanikio makubwa sana!

Kinadharia uko sahihi lakini kiuhalisia hapana kwa sababu maisha hayako hivyo na kamwe hayajawahi kuwa na fomyula. Ninachojua mimi ni kwamba unaweza kujitahidi na kupambana sana lakini ukashindwa kutoboa. Huu ndiyo uhalisia maana kanuni za kiuchumi haziruhusu watu wengi kuwa matajiri. Hata huko Marekani matajiri ni chini ya asilimia 5% tu na wengine hawa wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa mtazamo wako huu, hawa 95% tuwahesabu kuwa wameshindwa maisha hata kama wanaweza kujipatia kila wanachokihitaji katika maisha yao?

Pengine umesikiliza sana motivesheno spikazi na tuvitabu twao twa misingi ya kutajirika. Mtu anakwambia ameandika kitabu chenye siri za utajiri halafu anakwambia kitabu chake kiko on sale kwa 5K tu. Halooooo!

Anyway, ukitaka uzoefu wa kweli kuhusu real life examples (siyo nadharia) kuhusu maisha na upambanaji, tunaweza kuwa na mazungumzo ya kina na yenye faida. Kama mtazamo wako ni huu wa kifomyula kwamba umri wako ni lazima uendane na kiasi cha assets ulizonazo, basi nikutakie kila la heri. Na nakuombea tu usije ukafika 50 huko halafu kila kitu kinakwama - biashara zinagoma, afya shida....

Na usije ukawaona hawa watu wazima huko 40s, 50s, 60s hawajajipata ukawahukumu kuwa ni wavivu au hawakupambana. Ongea nao na utajifunza mengi kuhusu harakati za utafutaji, familia na maisha kwa ujumla. Na pengine utaweza kuelewa ni kwa nini Mwijaku ana ghorofa na Profesa tena wa Uchumi hana! 😂

Asante!
 
tuambie hapo home,baba yako anamzidi sh ngapi MONDI PLATNUM
Hao ni watu wawili tofauti wenye malengo tofauti, zama tofauti na vipato tofauti usijilinganishe na wengine utawehuka na kupata visingizio vya umasikini wako tafuta uwiano wako
 
Una miaka mingapi na unamiliki kiasi gani acha kushangaa
Nikikutajia haitokisaidia kwa sababu humu JF nitakudanganya tu.Muhimu na uelewe kwamba umri hauna uhusiano na kumiliki mali,akili hata uwezo mwingine unaoufikiria.
 
Nina miaka 78 sasa. Nina uzoefu mkubwa na maisha. Nimesoma sana. Nina exposure ya kutosha. Na simtegemei mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Naweza kula cho chote ninachotaka, kwenda po pote ninapotaka na nina uhakika wa kulala pazuri bila kudaiwa kodi na mtu. Na nimehakikisha kuwa wanangu hawapitii mapito ya shida niliyopitia mimi. Wako vizuri kuliko mimi. Na kwangu haya ni mafanikio makubwa sana!

Kinadharia uko sahihi lakini kiuhalisia hapana kwa sababu maisha hayako hivyo na kamwe hayajawahi kuwa na fomyula. Ninachojua mimi ni kwamba unaweza kujitahidi na kupambana sana lakini ukashindwa kutoboa. Huu ndiyo uhalisia maana kanuni za kiuchumi haziruhusu watu wengi kuwa matajiri. Hata huko Marekani matajiri ni chini ya asilimia 5% tu na wengine hawa wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa mtazamo wako huu, hawa 95% tuwahesabu kuwa wameshindwa maisha hata kama wanaweza kujipatia kila wanachokihitaji katika maisha yao?

Pengine umesikiliza sana motivesheno spikazi na tuvitabu twao twa misingi ya kutajirika. Mtu anakwambia ameandika kitabu chenye siri za utajiri halafu anakwambia kitabu chake kiko on sale kwa 5K tu. Halooooo!

Anyway, ukitaka uzoefu wa kweli kuhusu real life examples (siyo nadharia) kuhusu maisha na upambanaji, tunaweza kuwa na mazungumzo ya kina na yenye faida. Kama mtazamo wako ni huu wa kifomyula kwamba umri wako ni lazima uendane na kiasi cha assets ulizonazo, basi nikutakie kila la heri. Na nakuombea tu usije ukafika 50 huko halafu kila kitu kinakwama - biashara zinagoma, afya shida....

Asante!
Mkuu kwa heshima ulizo nazo acha kubishana na wavuta bangi.....
 
Nina miaka 78 sasa. Nina uzoefu mkubwa na maisha. Nimesoma sana. Nina exposure ya kutosha. Na simtegemei mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Naweza kula cho chote ninachota, kwenda po pote ninapotaka na nina uhakika wa kulala pazuri bila kudaiwa kodi na mtu. Na nimehakikisha kuwa wanangu hawapitii mapito ya shida niliyopitia mimi.

Hauko sahihi; kwa sababu maisha hayako hivyo na kamwe hayajawahi kuwa na fomyula. Ninachojua mimi ni kwamba unaweza kujitahidi na kupambana sana lakini ukashindwa kutoboa. Huu ndiyo uhalisia maana kanuni za kiuchumi haziruhusu watu wengi kuwa matajiri. Hata huko Marekani matajiri ni chini ya asilimia 5% tu na wengi hawa wanaishi maisha ya kawaida tu. Kwa mtazamo wako huu, hawa 95% tuwahesabu kuwa wameshindwa maisha hata kama wanaweza kujipatia kila wanachokihitaji katika maisha yao?

Pengine umesikiliza sana motivesheno spikazi na tuvitabu vyao vya misingi ya kutajirika. Mtu anakwambia ameandika kitabu chenye siri za utajiri halafu anakwambia kitabu chake kiko on sale kwa 5K tu.

Anyway, ukitaka uzoefu wa kweli kuhusu real life examples (siyo nadharia) kuhusu maisha na upambanaji, tunaweza kuwa na mazungumzo ya kina na yenye faida. Kama mtazamo wako ni huu wa kifomyula kwamba umri wako ni lazima uendane na kiasi cha assets ulizonazo, basi nikutakie kila la heri. Na nakuombea tu usije ukafika 50 huko halafu kila kitu kinakwama - biashara zinagoma, afya shida....

Asante!
Utakubaliana namimi kuwa kwa jitihada ulizoweka miaka 58 ya utafutaji kuna mahali umefikia tofauti na ulivyokuwa na miaka 28 au 38 kwa maana ukiangalia uwiano wa umri na vitu ulivyonavyo na maisha unayoishi yana utofauti na nyuma na hiyo ndio point yangu
 
Nikikutajia haitokisaidia kwa sababu humu JF nitakudanganya tu.Muhimu na uelewe kwamba umri hauna uhusiano na kumiliki mali,akili hata uwezo mwingine unaoufikiria.
Umri ni namba na pesa ni namba pia kipi ambacho huelewi hivyo vitu vina uhusiano wa sumaku
 
Utakubaliana namimi kuwa kwa jitihada ulizoweka miaka 58 ya utafutaji kuna mahali umefikia tofauti na ulivyokuwa na miaka 28 au 38 kwa maana ukiangalia uwiano wa umri na vitu ulivyonavyo na maisha unayoishi yana utofauti na nyuma na hiyo ndio point yangu
Nakubaliana na wewe 100% 👇👇👇

20250707_140133.png
 
Back
Top Bottom