Inategemea na Kazi unayofanya , fursa ambazo umekutana nazo katika maisha na sehemu ulipo.
Mfano Mimi ni Mwalimu na nipo kijijini kwa sasa nalipwa 700K Kama take home
Nina familia Nina watoto hivi unategemea nitakapokuwa na 50-40 unafikiri nitakuwa na kias gani bank
Na eneo nililopo hauwezi kulima wala kuanzisha biashara .
Ukisema uanzishe tuition n.k hauwezi
Tunaongea Sana nadharia na kulinganisha Life path way za kwako na za watu .
Umeajiriwa Ila tupo katika rat race na tunaishi paycheck to paycheck .
Achilia mbali kujenga Nyumba , Kali ,kuwa na Gari Kali na kula vizuri hauwezi .
Nawaza !!!!