nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Huyo ni mwehu kashachanganyikiwa ktk umri huo unafikiri atafika wapi. Hiyo siyo akili ya kuwa na helaPesa haipo hivyo bwa mdogo!
Narudia tena, pesa haipogo hivyo dogo.
Huyo ni mwehu kashachanganyikiwa ktk umri huo unafikiri atafika wapi. Hiyo siyo akili ya kuwa na helaPesa haipo hivyo bwa mdogo!
Narudia tena, pesa haipogo hivyo dogo.
Sawa tajiri mtotoTafuta pesa uendane na uwiano wa miaka yako mzee jua linazama usije tafuta lawama kwa watoto wako kwa kukosa dira ya maisha
Wewe ndio uhesabu yakwako uanze bidii kabla jua halijazama weka malengo yaendane na umri wako otherwise watafuta kuwalaumu watu uzeeniWe una miaka mingapi, acha kutuka mamba kabla hujavuka mto, subiri we bwege na uje ufungue tena huu uzi wako.
Ids fake hizi zinatufanya tufanye mazungumzo na wehu,the frustrated ones,watoto na waigizaji kwenye ubishani.Ni vema dj akatutwangia goma la "YATAKA MOYO" kutoka Profesa Jay.
Tunabishana na mtu ananuka uvundoWewe ndio uhesabu yakwako uanze bidii kabla jua halijazama weka malengo yaendane na umri wako otherwise watafuta kuwalaumu watu uzeeni
Na wengi wao walianziaga hivyo hivyoHawa madogo wananaabudu pesa na kutamani maisha wanayoyaona mjini na Instagram. Hawa Mwisho wao huwa ni kubomolewa donut. 🍩
Huyo Kizibo anataka kujua kama nina cash 1mil ambayo hata akitaka aje achukue asaivi ataikuta hapa na zaidiKumbe wewe ni chizifresh?Basi yameisha.Hata swali nililouliza usijibu.Nimekuelewa.
Saa hizi umetulia home au upo sehemu unabugia chombo?Huyo Kizibo anataka kujua kama nina cash 1mil ambayo hata akitaka aje achukue asaivi ataikuta hapa na zaidi
Issue sio kuwa na pesa tu ila kuwa na maisha yanayolingana na umri wako mtu una miaka 40+ huna mbele wala nyuma waishi kwa nyumba ya urithi, huna kazi inayoeleweka, huna saving yoyote ukija angalia sio kuwa umri wako wote hujapata pesa ila ni full starehe na kufuja pesa
Ukiwa na malengo thabiti jinsi unavyokua na uchumi au hali ya maisha huboreka zaidi ya mwanzo mifano ipo mingi sana
Watu wengi wamefanikiwa ila scale za mafanikio yao ndio ndogo kulinganisha na wengineNimekusikia maana nipo 30's ila sina nyumba wala gari na bank ipo empty. Nitafuata ushauri wako..
Lakini nikuulize unadhani kwa nini watu hawafanikiwi. Ni udhembe au kukosa maarifa sahihi, watu sahihi na kutokuwa katika mahali sahihi au la bahati haijatokea..
Mimi nipo mjini kati nakula kalimati zenye muundo wa kimiminikai.Karibu mdogo wangu ufurahie maisha upunguze sonona.Endelea kukaza fuvu siku moja utaurudia huu uzi na kuusoma kwa makini ukiwa na majuto ya hali ya juu
Hope una maisha na kipato sawa kulingana na umri wako otherwise unakula kalimati kwa sonona kubwa kutoka kwenye uzi wangu maana nimekukata maini very sorryMimi nipo mjini kati nakula kalimati zenye muundo wa kimiminikai.Karibu mdogo wangu ufurahie maisha upunguze sonona.
Humu wazee mpo wengi sana na wengi wenu mmekula mbususu na visungura ujanani sasahivi mnaleta makasiriko bado hamjachelewa mnaweza anza sasahivi na mkapata matokeo chanya tofauti na mlivyokata tamaaTunabishana na mtu ananuka uvundo
Ili ufurahi na uendelee na utoto wako ngoja nikueleze nipo bustanini nimepewa kazi ya kumwagilia mchicha.Saa hizi usinijibu nawajibika.Ukinijibu tu naku-block.Hope una maisha na kipato sawa kulingana na umri wako otherwise unakula kalimati kwa sonona kubwa kutoka kwenye uzi wangu maana nimekukata maini very sorry
Sio rahisi kihivyo hata hao motivational speakers hawana hizo pesa kwa uwiano wa umri ,ikiwa ni pamoja na wewe.. Binadamu anafanya mambo automatically hizo motives hii kukosa kazi mpaka uanze kuwaaambiwa watu wafanye nn.Nashukuru kwa kunielewa hivyo hivyo ungeweka jitihada ya utafutaji kwa uwiano wa umri na vitu unavyohitaji kuvifikia huenda ungefikia au ungepata zaidi ya malengo
Kuna watu wanaamini katika vitu havipo wanadhani waliopata pesa zimekuja zenyewe tu, una miaka 25 bado upo kwa wazazi unadhani pesa zitakutafuta? Amka pambana muda haumsubiri mtu that's my point